LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Waliepusha mapigano yaso muhimn kati ya friendly forces yaani Wagner na Russian army . Shida ilikua kubwa inayotatulika. Hivyo suluhisho likawa ni mazungumzo. Putin ni mtu wa visasi alichomfanyia Kwa msela ake wa zamani wote tulishangaa
Prigozhin alikuwa sahihi kukasirika. Alafu hakuwa na lengo la kufanya mapinduzi ndio maana hakufanya recruitment wala hakumshirikisha kiongozi yeyote wa kijeshi au usalama.

Prigozhin alitaka Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi waondolewe. Yeye aliwaona ni dhaifu na wanaochelewesha vita kuisha. Sijajua alitumia vigezo gani, ila ukizingatia yeye ni mpishi kwa taaluma wala sio mwanajeshi ila aliweza iongoza Wagner vizuri na kila ilichokifanya kinaonekana. Lazima tu alikuwa anajua kwa uwezo wa jeshi la Urusi, kwa resources na ukubwa ni performance ipi ilitakiwa na matokeo gani yapatikane. Nani asiyejua kazi nzuri ya Wagner kule Syria kupambana na ISIS? Nani asiyejua kazi ya Wagner kule Bakhmut?

Kiasili Prighozin ni mhuni, mhalifu, jambazi, fighter wa kuzaliwa. Pale jeshini kuna wale majamaa waliajiriwa ili wapate mishahara, jeshi ni ajira sio asili yao. Maofisa ni kamlete, zamani wengine walikuwa wanahonga kupanda vyeo, mwenye utii na unyenyekevu "chawa" ndio anapanda.

Mwisho wa siku jeshi linajikuta na watu wa kawaida wengi juu. Akitokea aliyenyooka kama Surovikin anaonekana mnoko, anajipendekeza au anatafuta vyeo, na kawaida mtu kama huyo sio ndio mzee hivyo hapendelewi kivile na serikali.
Akitokea kama boss wa Wagner alivyokuwa basi maofisa wanaogopa anaonyesha udhaifu wao, wanamcheleweshea supplies na ammunition wanampa kwa kumpimia. Wanafanya apate vifo na majeruhi wengi makusudi.
 
Lakini shida ipo kubwa kwenye Jeshi la Urusi naona kabisa hawa Nato wakiamua wanampiga kama angekua mtu smart angemlabua huyu Ukraine ndio wale waone kweli huyu jamaa ukimchezea ni hatari au aue hao Wakuu wa Ukraine sasa anapigwa pigwa tu kila leo..
Unadhani SMO ingeisha mapema tungeweza kuona kinachotokea Uingereza? Mimi nimekubali Russia ni "wanamahesabu".
 
Invasions of Russia
Napoleon 600,000 men
Hitler 3.5 million men
Zelenski 1000 men

Weka wachumba wako wa NATO apo ..wote hao wali liwa kichwa
Kasome History ya WWII kama Hitler asingekuwa anapigana fronts mbili basi Leo Moscow ingekuwa Germany.

Vita ya Hitler na USSR ilibadilika after 3 years baada ya war resources za Hitler kukauka.

Hitler alianzia uvamizi kutolea Poland from there to Russia unatembea hata na IST bila gari kuaribika sababu ya Geographical features.

Ukraine can do those incursions into Russia, issue ni hatujui what is their long time plans
 
Ukraine hana long plan ndani ya kursk nisuala la muda tuuuu
Suala la RUSSIA kuishinda SMO inayoendelea halikwepeki nisuala la muda tuuuu
 
Sote tumesikia na kuona katika mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuhusina na mashambulizi makali yaliyoanza mnamo Agosti 6 katika mkoa wa Kursk Oblast na vitongoji vyake baina ya jeshi la Ukraini (Ukraine Armed Forces-UAF) na Urusi (Russia Armed Forces -RAF).

•Mkoa wa Kusrk Oblast ni moja ya maeneo ambayo yametwaliwa au kukombolewa (liberated) na RAF.

Update ya kinachoendelea
•Taarifa zilizopo ni kuwa AFR imepokea kipigo kizito cha kushtukiza kutoka kwa UAF.

•Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema jeshi lake linapambana na vikosi vya Ukraini katika mipaka ya mipakani ya Sudzhansky na Korenovsky iliyopo katika mkoa huo wa Kursk Oblast.

•Mpaka sasa, jesi la Urusi (RAF) limesema limefanikiwa kurudisha nyuma vikosi vya AFU vyalivyokuwa vinataka kuingia ndani zaidi mwa mkoa huo.

•Kwa upande wa Ukraini, kwa mujimbu wa chanzo kimoja kiitwacho "Institute for the Study of War" kimeripoti ya kuwa UAF wamefanikiwa kuingia ndani ya mkoa huo kilomita 10 (sawa na maili 6) baada ya kuvunja ng'ome mbili za RAF.

•Hali kadhalika, Urusi imetangaza hali ya dharula Kursk na kuhimiza raia wake waondoke haraka katika maeneo hayo.

Ukweli wa mambo
•Inaaminika ya kuwa wanajeshi na mamluki wa NATO ndio wanaoongoza uvamizi huo wa Kursk Oblast huku wakishirikiana na wanajeshi wa UAF wapatao Elfu kumi.

•Kwa muda mrefu jeshi la NATO lilikuwa likijipanga na operesheni hii ambayo ni muendelezo wa kumchokoza Urusi ili aingie mazima vitani.

View attachment 3065955
•Tukirudi nyuma wakati wa vita ya pili ya dunia, mnamo July 5 hadi Agosti 23 mwaka 1943 eneo hilo hilo la mkoa wa Kusrk kulitokea mapigano makali baina ya jeshi la Nazi chini ya Adolf Hitler dhidi ya jeshi ya iliyokuwa urusi ya zamani (Soviet Union -USSR) . Mapigano hayo almaarufu kama "Battle of Kursk" yaliyokuwa ni matokeo ya operesheni ya wajerumani ijulikanayo kama "Operation Citadel", yaliyokuwa na nia ya kulizunguka na kuvishambulia vikosi vya urusi kwa kushtukiza vilivyokuwa Kursk.

Ingawaje wanajeshi wapatao laki tisa (900,000) wa Kinazi,
-tena huku wakiwa na silaha nzito na vifaru, walijikuta wakiishia "kujisuprise wao wenyewe" badala ya adui yao na kuishia kupokea kichapo kikali kutoka kwa majeshi ya Starlin ambayo yalikuwa yamekwisha kujiandaa vilivyo baada ya kupokea taarifa za kiintelijensia kutoka kwa KGB.

Unaambiwa "The Battle of Kursk" ndio battle kali katika historia ya vita vya sasa (modern warfare) iliyohusisha vifaru vingi.

Kichapo hicho kitakatifu cha Kursk alichopokea ujerumani kilipelekea kubadilika kabisa kwa upepo wa vita hiyo haswa katika maeneo ya Ulaya ya Mashariki, na ndipo ukawa mwanzo wa ushindi wa jeshi la Kisovieti ambapo mwisho wa siku kila mtu anafahamu nani aliibuka kidedea katika vita ya pili ya dunia.

•Historia inajirudia. Anayoyafanya NATO leo Kursl Oblast ni wazi kuwa anafuata nyayo za mwasisi wake Nazi.
Hivyo usishangae kusikia Putin anafanya "Special military Opereshen" yenye lengo haswa la kung'oa mizizi ya kinazi (Denazification) nchini Ukraine.

Bila shaka operesheni hii ya Kursk Oblast inaenda kufeli vibaya, na ni dhahiri ndio utakuwa mwisho wa vita hii.

Slava Russia.
IMG_20240810_103859.jpg
 
Kuna vita kuu kuliko zote inayoendelea dunia nzima kwa sasa, ni zaidi ya hizi vita na mapigano tunayasikia kwenye vyombo vya habari. Vita ya ukweli iliyopo haitangazwi isipokuwa na wachahe sana.

Vita ya watenda mema na watenda maovu.

Nashauri siku zote tuwe kwenye kundi la watenda mema, ndilo lenye heri.
 
Huu Msafara niliuona RT kumbe ulipigwa kweli Urusi imechoka hivi kweli Urusi ni ya kupigwa hivi??? Mbona ni aibu sana hata kama kweli NATO WOOTE wanapigana nae lakini alitakiwa kutoa shoo moja watawanyike yaani hata kumuua budanov yule anaepanga haya wameshindwa???? Jinga sana
Unaijua vita vizuri ndugu yangu?
Hivi vitani mkipigwa ambush na magari mawili au matatu kati ya magari mia moja mtakua ni wadhaifu?
Hivi unadhani hao askari wa Ukraine wameenda Kursk kupeleka posa?
Unajua kua wanajua kua Urusi watajibu kwa nguvu?
Kumbuka vitani ni piga nikupigie.
Hivyo nao wa Ukraine Wana haki ya kujitetea na kushambulia misafara ya Urusi.
Kama hizo picha ni za kweli Haina shida wala haishangazi ila nakuhakikishia kua hawatadumu wiki mbili watakua wamesambaratishwa wote.
Hiyo ya Kursk kwa Urusi haitakua OP Bali itakua ni vita kamili.
 
Kuna vita kuu kuliko zote inayoendelea dunia nzima kwa sasa, ni zaidi ya hizi vita na mapigano tunayasikia kwenye vyombo vya habari. Vita ya ukweli iliyopo haitangazwi isipokuwa na wachahe sana.

Vita ya watenda mema na watenda maovu.

Nashauri siku zote tuwe kwenye kundi la watenda mema, ndilo lenye heri.
According to scripture, Hiyo vita iliasisiwa na Lucifer alipoasi mbinguni.

Turudi kwenye mada Sasa madame.

Je, unadhani the battle between Russia and the West is the battle between good and Evil 😈?
 
Unaijua vita vizuri ndugu yangu?
Hivi vitani mkipigwa ambush na magari mawili au matatu kati ya magari mia moja mtakua ni wadhaifu?
Hivi unadhani hao askari wa Ukraine wameenda Kursk kupeleka posa?
Unajua kua wanajua kua Urusi watajibu kwa nguvu?
Kumbuka vitani ni piga nikupigie.
Hivyo nao wa Ukraine Wana haki ya kujitetea na kushambulia misafara ya Urusi.
Kama hizo picha ni za kweli Haina shida wala haishangazi ila nakuhakikishia kua hawatadumu wiki mbili watakua wamesambaratishwa wote.
Hiyo ya Kursk kwa Urusi haitakua OP Bali itakua ni vita kamili.
Walienda kumtikisa RUSSIA ila hatingishiki
Wanataka RUSSIA aondoe baadhi ya vikosi kuvipeleka KURSK pole zao sana kwakweli
Wataikimbia KURSK kwa aibu sana nisuala la muda tuuuu
 
Sote tumesikia na kuona katika mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuhusina na mashambulizi makali yaliyoanza mnamo Agosti 6 katika mkoa wa Kursk Oblast na vitongoji vyake baina ya jeshi la Ukraini (Ukraine Armed Forces-UAF) na Urusi (Russia Armed Forces -RAF).

•Mkoa wa Kusrk Oblast ni moja ya maeneo ambayo yametwaliwa au kukombolewa (liberated) na RAF.

Update ya kinachoendelea
•Taarifa zilizopo ni kuwa AFR imepokea kipigo kizito cha kushtukiza kutoka kwa UAF.

•Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema jeshi lake linapambana na vikosi vya Ukraini katika mipaka ya mipakani ya Sudzhansky na Korenovsky iliyopo katika mkoa huo wa Kursk Oblast.

•Mpaka sasa, jesi la Urusi (RAF) limesema limefanikiwa kurudisha nyuma vikosi vya AFU vyalivyokuwa vinataka kuingia ndani zaidi mwa mkoa huo.

•Kwa upande wa Ukraini, kwa mujimbu wa chanzo kimoja kiitwacho "Institute for the Study of War" kimeripoti ya kuwa UAF wamefanikiwa kuingia ndani ya mkoa huo kilomita 10 (sawa na maili 6) baada ya kuvunja ng'ome mbili za RAF.

•Hali kadhalika, Urusi imetangaza hali ya dharula Kursk na kuhimiza raia wake waondoke haraka katika maeneo hayo.

Ukweli wa mambo
•Inaaminika ya kuwa wanajeshi na mamluki wa NATO ndio wanaoongoza uvamizi huo wa Kursk Oblast huku wakishirikiana na wanajeshi wa UAF wapatao Elfu kumi.

•Kwa muda mrefu jeshi la NATO lilikuwa likijipanga na operesheni hii ambayo ni muendelezo wa kumchokoza Urusi ili aingie mazima vitani.

View attachment 3065955
•Sasa endapo kama operesheni ya Kursk Oblast itafeli, basi ni dhahiri ndio utakuwa mwisho wa vita hii.
Ndugu yangu unawajua wanajeshi elfu kumi?
Wanaweza kuingia bila kuonekana?
Ok tufanye ni sawa.
Je unayajua madhara ya vikosi vya NATO vikiingia ndani ya Urusi?
Sikupingi wewe najua umeipata mahala.
Lkn nakuambia NATO katiu hawawezi kufanya ujinga huo,maana madhara yake ni makubwa mno katika usobwa Dunia.
Huu mchezo wameufanya Ukraine wenyewe.
Lakini kwa vila walifanya shambulio la kushiitukiza kwa kipindi hiki Wacha watambe lkn kwa Urusi Sasa hii ndio itakua vita kamili.
Na vita kamili kwa Urusi maana yake ni maangamizi kwa wavamizi.
Tujipe muda.
 
Back
Top Bottom