kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lipetsk airfield in Russia after a nighttime arrival by Ukrainian missiles.
HATOKI MTUWaliingia na magari sasa wana rudi kwa miguu hata hivyo mabomu yanawashukia tuView attachment 3065024View attachment 3065025
Ukraine’s Defense Intelligence (HUR) has conducted a raid on the Russia-occupied Kinburn Spit, Mykolayiv Oblast, destroying six armored vehicles and eliminating about 30 Russian troops.FALL OF RUSSIA. EMPIRE? CANT BELIEVE SUCH SIMPLE
Putin kajitafutia balaa.Ukraine’s Defense Intelligence (HUR) has conducted a raid on the Russia-occupied Kinburn Spit, Mykolayiv Oblast, destroying six armored vehicles and eliminating about 30 Russian troops.
hajawa mkali amejaribu tu kuwa honest.Dagny amekuwa mkali, sijui Urusi wanataka dalili gani.
View attachment 3065664
Wakati huo pia anapigana akiwa na limitations za matumizi ya silaha anazopewa!. Angekuwa na uhuru ingeemwongezea tija.Kinachochekesha ni watu wanaosema et Ukraine hawez kulikalia eneo la urusi hata kwa wiki Moja
Wanasahau kwamba mwanzoni mwa uvamizi hakuna aliyetegemea kwamba Ukraine angeweza kuhimili mapigo ya urusi hata kwa wiki 2
Huu Msafara niliuona RT kumbe ulipigwa kweli Urusi imechoka hivi kweli Urusi ni ya kupigwa hivi??? Mbona ni aibu sana hata kama kweli NATO WOOTE wanapigana nae lakini alitakiwa kutoa shoo moja watawanyike yaani hata kumuua budanov yule anaepanga haya wameshindwa???? Jinga sanaMsafara wa reinforcement huko Kursk ulivyochakazwaView attachment 3065766