Jamaa anamaanisha kilometa za eneo yani nikama wilaya moja ya dar es salaam au useme wanechukua 1/3 ya mkoa wa dar es salaam πUna zijua km540 wewe .vifaru plus izo convoy havina iyo Speed tena mna enda kwa tahadhari ndo kabsa huwezi fika km 540 mda mfupi ivyo ..mashoga amna senses
Hao hakuna ataetoka jilisheni upepo tuDuh,hii offensive sijui Ukraine walikuwa wanatumia magic powers! Sijui
πΊπ¦The Armed Forces of Ukraine control about 1,000 kmΒ² (!) in the Kursk region, - Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Sirskyi
πΉ: Bravo Team from Sudzha, the city is completely under the control of the Armed Forces of Ukraine.View attachment 3068050
Basi tena Piga Wambie Raia hameni hameni mstulaumuMimi nasubiria majibu toka Moscow..hawa wavamizi wanapaswa kuondolewa na kiev igeuke gaza...
Unajua matusi sana. ILA alichoandika ni kilometers za eneo. Siyo kilometa za umbali. Zingatia kale kambili juu ya kmUna zijua km540 wewe .vifaru plus izo convoy havina iyo Speed tena mna enda kwa tahadhari ndo kabsa huwezi fika km 540 mda mfupi ivyo ..mashoga amna senses
Wengi hawajui kutofautisha kmΒ² na kmUnajua matusi sana. ILA alichoandika ni kilometers za eneo. Siyo kilometa za umbali. Zingatia kale kambili juu ya km
Kinachoshangaza ni kuona viongozi wa urusi wenyewe wanalalamika Hali mbaya huku Russian keyboard worriers wakijipa matumainMimi nasubiria majibu toka Moscow..hawa wavamizi wanapaswa kuondolewa na kiev igeuke gaza...
Unaambiwa hiyo sehemu walikuwepo hao kadyrovites ni waoga wanakimbia hovyo ndiomana Ukraine waliadvance haraka sana hapo. Ni kama hakukuwa na resistance kabisaπ 13.08.2024 We see how Russia really moves in the times of Putin: 24 years ago, there was the Kursk disaster β the symbolic beginning of his rule; and now we can see what the end for him is. And it is also Kursk. The disaster of his war.
This always happens to those who despise people and any rules. Russia brought war to others, and now it is coming home. Ukraine has always wished only for peace, and we will definitely ensure peace.
I thank everyone who helps! Glory to all those who fight, who work for Ukraine!
Glory to Ukraine!
Russia kashafanya training ya nuclear zaidi ya mara tatu, mara ya mwisho ilikuwa kama wiki mbili zilizopita.Nyuklia wanatumia watu walio au wanaotaka kushindwa kama vile alivyofanya marekani
Russia kwampaka sasa hana nia wala sababu yakutumia Nyuklia sababu anashinda na kaishashinda bado tu kufanya fanya usafi
Ukitaka kujua kama Russia hana haja yakutumia nyuklia kaitazame Mauriopol Bakhmut nk