LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zelenskyy turned to Syrskyi and hinted that the operation in the Kursk region is just the beginning.
- I would also like to ask you not to forget and continue to develop the next important steps
1723578402288.jpg
.
 
Zelensky's "white triangle" replaces Putin's "Z". The symbolism of the Ukrainian incursion into Kursk...It first appeared in June but went unnoticed. Now, in an unprecedented victory for Ukraine on Russian territory, the "white triangle" tells the world that Kiev also conquers.
1723578596844.jpg
 
Supapawa uchwara huyo. Uliwahi sikia wapi Marekani amevamiwa na yeyote yule. Unachoweza fanya dhidi ya Marekani ni kushambulia, sio kuvamia ukakaa siku ngapi uko akiwa anapuyanga.

Leo hii uchukue jeshi la kawaida kama Ukraine upeleke kikosi cha jeshi lake kuivamia China unadhani utakaa hata siku moja.
Waasi wa houth wamefungi bahari nyekudu kwa meli za biashara za marekani uwingereza na Israeli na marekani imeshindwa kulinda chochote kile
 
Asante kwa kukili kuwa taifa teule ni supa pawa uchwara maana hamas halivamia na kukaa zaidi ya siku tano kwenye ardhi yake.
 
Inashangaza sana, yaani Ukraine wameteka zaidi ya Sq km 1000 na bado wanasonga mbele alafu bado Kuna raia wanaiona Urusi hii dhaifu eti 'supapawa'.

Huenda hata China kwa Sasa Ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko Urusi, labda angalau Urusi inaweza kuchuana kidogo na India.

Inawezekanaje air force ya Supapawa imeshindwa kuangamiza convoy ya Ukraine iliyovamia Kursk?....

TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef
Air force yao haina air dominance miezi yote hii ya vita. Wanalazimika kutegemea ndege kama Tu-22, Tu-95 na Su-34 kurusha makombora na kudondosha mabomu makubwa kwa mbali, miezi ya hivi karibuni ndio walifunga zaidi glide kits kwenye mabomu.
 
Inashangaza sana, yaani Ukraine wameteka zaidi ya Sq km 1000 na bado wanasonga mbele alafu bado Kuna raia wanaiona Urusi hii dhaifu eti 'supapawa'.

Huenda hata China kwa Sasa Ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko Urusi, labda angalau Urusi inaweza kuchuana kidogo na India.

Inawezekanaje air force ya Supapawa imeshindwa kuangamiza convoy ya Ukraine iliyovamia Kursk?....

TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef
Bahati nzuri hata ww una andika haya huku ukiwa unajua unayaandika kwa sababu ya kishabiki na sio kitaalamu.
 
Waasi wa houth wamefungi bahari nyekudu kwa meli za biashara za marekani uwingereza na Israeli na marekani imeshindwa kulinda chochote kile
Meli za kijeshi za Marekani na Uingereza zinazunguka hapo bahari nyekundu na ya Sham. Hakuna cha Houthi wala mjukuu wake. Mambo ya kujilipua hayo yanadhibitiwa, sasa Houthi wamelipua nchi yao wenyewe ikawa magofu ndio waumize watu kichwa namna ya kuwakabili. Ni kuwahurumia tu unawapiga kidogo kidogo. Ila Israel haielewi ukileta mchezo inakujibu.
Vipi ile bandari ya Hodeidah ambayo Israel iliishambulia kama onyo inaendeleaje.
 
Asante kwa kukili kuwa taifa teule ni supa pawa uchwara maana hamas halivamia na kukaa zaidi ya siku tano kwenye ardhi yake.
Israel haijawahi kuwa superpower wala kujaribu kuwa, wala kati ya majeshi bora 6 duniani haijawahi kuwa. Ila sasa huwa inawabonda warugaruga wote wanaojichanganya kuivamia. Kwa sasa inapiga kuanzia misikitini, hospitalini, shuleni, kwenye maandaki, Tehran kwenye maximum security zones, milimani uko kwa kutumia ukungu, bandarini, angani na ni katika nchi za Yemen, Lebanon, Syria, Iran na Iraq.

Sasa cha ajabu iliyokuwa nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi duniani iliamua yenyewe bila kushurutishwa ikapanga na kuivamia nchi ambayo hata top 20 kijeshi haikuwepo, nchi ambayo bado inazidiwa na jeshi la Egypt mpaka sasa. Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?
 
Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?
Urusi ni mnyonge mno na tegemezi kwa China hivi Sasa kuliko wakati wake wowote ule.
 
Uhalisia upo wazi kuwa vijiji 74 huko Kursk vimetekwa, Urusi imefedheheka
Urusi imefedheheka kwa mtazamo wako wa kishabiki na kichuki tu.
Mbona hukuja kusema hivyo baada ya hamas kuivamia Israel yenye mipaka sawa na wilaya ya kahama tena iliyo zungushiwa na kuta za zege,ila uje useme kwa Urusi inayo shea mpaka wenye km1200 na Ukraine?
Urusi haijafedheheka, itafedheheka pale iwapo atashindwa kuwaondoa hao wanajeshi wa Ukraine kwenye ardhi yake kama ambavyo Ukraine imeshindwa.
Hilo ni shambulizi la kushutukiza ambalo Urusi haikulitegea hivyo ni razima ijipange kulikabili na sio kukurupuka tu.
Pia kingine Urusi inatambua kabisa kuwa Ukraine haijavamia mipaka ya Urusi kwa nia ya kuyakalia kwa sababu huo uwezo hawana, anacho jaribu kufanya Ukraine ni kujaribu kuivuruga Urusi ili Urusi ifocas na kuilinda mipaka yake badala ya vita vinanyo endelea msitari wa mbele na hilo Ukraine imelisema wazi.
Hivyo Urusi anaenda kwa taadhari ili operation ya kuviondoa vikosi vya Ukraine kwenye ardhi yake kusiathiri vita inayo endelea msitari wa mbele.
 
Israel sio supapawa kama Urusi halafu Urusi ndie aliyeanzisha vita kwa Uvamizi wake, basi tuseme Urusi imepigwa 'KO' ya kushtukiza.
 
Israel haijawahi kuwa superpower wala kujaribu kuwa, wala kati ya majeshi bora 6 duniani haijawahi kuwa. Ila sasa huwa inawabonda warugaruga wote wanaojichanganya kuivamia. Kwa sasa inapiga kuanzia misikitini, hospitalini, shuleni, kwenye maandaki, Tehran kwenye maximum security zones, milimani uko kwa kutumia ukungu, bandarini, angani na ni katika nchi za Yemen, Lebanon, Syria, Iran na Iraq.

Sasa cha ajabu iliyokuwa nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi duniani iliamua yenyewe bila kushurutishwa ikapanga na kuivamia nchi ambayo hata top 20 kijeshi haikuwepo, nchi ambayo bado inazidiwa na jeshi la Egypt mpaka sasa. Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?
Kama hujui Misri ina nguvu za kijeshi kuizidi mpaka Uturuki ,na ipo nafasi ya 9 kwa nguvu za kijeshi duniani kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2024 kwa hiyo misri sio kipimo sahihi acha kuwa unaichukulia poa.
Kumbe kushambulia misikiti,na shule ni sifa? mbona sasa ulikuwa una shinda humu unajiliza eti Urusi inashambulia shule na hospital badala ya vituo vya kijeshi?
Basi mwambie huyo China avamie airudishe hiyo mipaka yake tumuone kama ataweza.
Au tuachane na China basi waambie Japan ambaye ni kibaraka wa supa pawa wa ukweli aende kuvikomboa visiwa vyake ambavyo anashinda aalalamika kunyanganywa na Urusi tuone.
 
Meli za kijeshi za Marekani na Uingereza zinazunguka hapo bahari nyekundu na ya Sham. Hakuna cha Houthi wala mjukuu wake. Mambo ya kujilipua hayo yanadhibitiwa, sasa Houthi wamelipua nchi yao wenyewe ikawa magofu ndio waumize watu kichwa namna ya kuwakabili. Ni kuwahurumia tu unawapiga kidogo kidogo. Ila Israel haielewi ukileta mchezo inakujibu.
Vipi ile bandari ya Hodeidah ambayo Israel iliishambulia kama onyo inaendeleaje.
Kwanini meli za biashara zinaogopa kupita wakati marekani iliziahidi ulinzi?

Hivi uliona ile drone ya waasi wa houth ilivyo penya kwenye anga ya Israeli kiurahisi aisee?
1722790982662.jpg
vita haina ada bu
1719169535634.jpg
 
Israel sio supapawa kama Urusi halafu Urusi ndie aliyeanzisha vita kwa Uvamizi wake, basi tuseme Urusi imepigwa 'KO' ya kushtukiza.
Sio supa pawa wakati humu nyinyi ndo huwa mnatuambia kuwa Israel ni taifa teule na inategemewa na mataifa yote makubwa kuanzia Marekani mpaka Urusi kiteknolojia?
 
Back
Top Bottom