Nadhani Kursk haikua na askari wengi wa Urusi kwa sababu naamini Urusi haikuwaza kama Ukraine wataivamia.Ukraine bado wanasonga mbele huko Kursk mpaka kuteka maeneo kadhaa.
Urusi ni dhaifu sana wakati huu kuliko kabla ya hii vita ndio maana imeshindwa kulinda ardhi yake.
lee Vladimir cleef T14 Armata Gagnija TUJITEGEMEE dudus
Lkn huko mbele Ukraine watashindwa TU hapo mkoani Kursk.
Urusi watasumbuka sana Kwa sababu ya kuhofia raia wengi kupoteza maisha na kinu Cha nyukilia.
Vita ni kama chess TU Kila mtu anawaza njia za kumuumiza mwenzake.