kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Waasi wa houth wamefungi bahari nyekudu kwa meli za biashara za marekani uwingereza na Israeli na marekani imeshindwa kulinda chochote kileSupapawa uchwara huyo. Uliwahi sikia wapi Marekani amevamiwa na yeyote yule. Unachoweza fanya dhidi ya Marekani ni kushambulia, sio kuvamia ukakaa siku ngapi uko akiwa anapuyanga.
Leo hii uchukue jeshi la kawaida kama Ukraine upeleke kikosi cha jeshi lake kuivamia China unadhani utakaa hata siku moja.
Asante kwa kukili kuwa taifa teule ni supa pawa uchwara maana hamas halivamia na kukaa zaidi ya siku tano kwenye ardhi yake.Supapawa uchwara huyo. Uliwahi sikia wapi Marekani amevamiwa na yeyote yule. Unachoweza fanya dhidi ya Marekani ni kushambulia, sio kuvamia ukakaa siku ngapi uko akiwa anapuyanga.
Leo hii uchukue jeshi la kawaida kama Ukraine upeleke kikosi cha jeshi lake kuivamia China unadhani utakaa hata siku moja.
Air force yao haina air dominance miezi yote hii ya vita. Wanalazimika kutegemea ndege kama Tu-22, Tu-95 na Su-34 kurusha makombora na kudondosha mabomu makubwa kwa mbali, miezi ya hivi karibuni ndio walifunga zaidi glide kits kwenye mabomu.Inashangaza sana, yaani Ukraine wameteka zaidi ya Sq km 1000 na bado wanasonga mbele alafu bado Kuna raia wanaiona Urusi hii dhaifu eti 'supapawa'.
Huenda hata China kwa Sasa Ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko Urusi, labda angalau Urusi inaweza kuchuana kidogo na India.
Inawezekanaje air force ya Supapawa imeshindwa kuangamiza convoy ya Ukraine iliyovamia Kursk?....
TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef
Bahati nzuri hata ww una andika haya huku ukiwa unajua unayaandika kwa sababu ya kishabiki na sio kitaalamu.Inashangaza sana, yaani Ukraine wameteka zaidi ya Sq km 1000 na bado wanasonga mbele alafu bado Kuna raia wanaiona Urusi hii dhaifu eti 'supapawa'.
Huenda hata China kwa Sasa Ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko Urusi, labda angalau Urusi inaweza kuchuana kidogo na India.
Inawezekanaje air force ya Supapawa imeshindwa kuangamiza convoy ya Ukraine iliyovamia Kursk?....
TUJITEGEMEE Gagnija lee Vladimir cleef
Nadhani hili ndio itabidi liitwe Counter offensive ya Ukraine.Air force yao haina air dominance miezi yote hii ya vita. Wanalazimika kutegemea ndege kama Tu-22, Tu-95 na Su-34 kurusha makombora na kudondosha mabomu makubwa kwa mbali, miezi ya hivi karibuni ndio walifunga zaidi glide kits kwenye mabomu.
Uhalisia upo wazi kuwa vijiji 74 huko Kursk vimetekwa, Urusi imefedhehekaBahati nzuri hata ww una andika haya huku ukiwa unajua unayaandika kwa sababu ya kishabiki na sio kitaalamu.
Meli za kijeshi za Marekani na Uingereza zinazunguka hapo bahari nyekundu na ya Sham. Hakuna cha Houthi wala mjukuu wake. Mambo ya kujilipua hayo yanadhibitiwa, sasa Houthi wamelipua nchi yao wenyewe ikawa magofu ndio waumize watu kichwa namna ya kuwakabili. Ni kuwahurumia tu unawapiga kidogo kidogo. Ila Israel haielewi ukileta mchezo inakujibu.Waasi wa houth wamefungi bahari nyekudu kwa meli za biashara za marekani uwingereza na Israeli na marekani imeshindwa kulinda chochote kile
Israel haijawahi kuwa superpower wala kujaribu kuwa, wala kati ya majeshi bora 6 duniani haijawahi kuwa. Ila sasa huwa inawabonda warugaruga wote wanaojichanganya kuivamia. Kwa sasa inapiga kuanzia misikitini, hospitalini, shuleni, kwenye maandaki, Tehran kwenye maximum security zones, milimani uko kwa kutumia ukungu, bandarini, angani na ni katika nchi za Yemen, Lebanon, Syria, Iran na Iraq.Asante kwa kukili kuwa taifa teule ni supa pawa uchwara maana hamas halivamia na kukaa zaidi ya siku tano kwenye ardhi yake.
Urusi ni mnyonge mno na tegemezi kwa China hivi Sasa kuliko wakati wake wowote ule.Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?
Urusi imefedheheka kwa mtazamo wako wa kishabiki na kichuki tu.Uhalisia upo wazi kuwa vijiji 74 huko Kursk vimetekwa, Urusi imefedheheka
Israel sio supapawa kama Urusi halafu Urusi ndie aliyeanzisha vita kwa Uvamizi wake, basi tuseme Urusi imepigwa 'KO' ya kushtukiza.Urusi imefedheheka kwa mtazamo wako wa kishabiki na kichuki tu.
Mbona hukuja kusema hivyo baada ya hamas kuivamia Israel yenye mipaka sawa na wilaya ya kahama tena iliyo zungushiwa na kuta za zege,ila uje useme kwa Urusi inayo shea mpaka wenye km1200 na Ukraine?
Urusi haijafedheheka, itafedheheka pale iwapo atashindwa kuwaondoa hao wanajeshi wa Ukraine kwenye ardhi yake kama ambavyo Ukraine imeshindwa.
Hilo ni shambulizi la kushutukiza ambalo Urusi haikulitegea hivyo ni razima ijipange kulikabili na sio kukurupuka tu.
Pia kingine Urusi inatambua kabisa kuwa Ukraine haijavamia mipaka ya Urusi kwa nia ya kuyakalia kwa sababu huo uwezo hawana, anacho jaribu kufanya Ukraine ni kujaribu kuivuruga Urusi ili Urusi ifocas na kuilinda mipaka yake badala ya vita vinanyo endelea msitari wa mbele na hilo Ukraine imelisema wazi.
Hivyo Urusi anaenda kwa taadhari ili operation ya kuviondoa vikosi vya Ukraine kwenye ardhi yake kusiathiri vita inayo endelea msitari wa mbele.
Kama hujui Misri ina nguvu za kijeshi kuizidi mpaka Uturuki ,na ipo nafasi ya 9 kwa nguvu za kijeshi duniani kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2024 kwa hiyo misri sio kipimo sahihi acha kuwa unaichukulia poa.Israel haijawahi kuwa superpower wala kujaribu kuwa, wala kati ya majeshi bora 6 duniani haijawahi kuwa. Ila sasa huwa inawabonda warugaruga wote wanaojichanganya kuivamia. Kwa sasa inapiga kuanzia misikitini, hospitalini, shuleni, kwenye maandaki, Tehran kwenye maximum security zones, milimani uko kwa kutumia ukungu, bandarini, angani na ni katika nchi za Yemen, Lebanon, Syria, Iran na Iraq.
Sasa cha ajabu iliyokuwa nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi duniani iliamua yenyewe bila kushurutishwa ikapanga na kuivamia nchi ambayo hata top 20 kijeshi haikuwepo, nchi ambayo bado inazidiwa na jeshi la Egypt mpaka sasa. Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?
Kwanini meli za biashara zinaogopa kupita wakati marekani iliziahidi ulinzi?Meli za kijeshi za Marekani na Uingereza zinazunguka hapo bahari nyekundu na ya Sham. Hakuna cha Houthi wala mjukuu wake. Mambo ya kujilipua hayo yanadhibitiwa, sasa Houthi wamelipua nchi yao wenyewe ikawa magofu ndio waumize watu kichwa namna ya kuwakabili. Ni kuwahurumia tu unawapiga kidogo kidogo. Ila Israel haielewi ukileta mchezo inakujibu.
Vipi ile bandari ya Hodeidah ambayo Israel iliishambulia kama onyo inaendeleaje.
Sio supa pawa wakati humu nyinyi ndo huwa mnatuambia kuwa Israel ni taifa teule na inategemewa na mataifa yote makubwa kuanzia Marekani mpaka Urusi kiteknolojia?Israel sio supapawa kama Urusi halafu Urusi ndie aliyeanzisha vita kwa Uvamizi wake, basi tuseme Urusi imepigwa 'KO' ya kushtukiza.
Hapana, Israel anaitegemea mno MarekaniSio supa pawa wakati humu nyinyi ndo huwa mnatuambia kuwa Israel ni taifa teule na inategemewa na mataifa yote makubwa kuanzia Marekani mpaka Urusi kiteknolojia?
Basi ww utakuwa unaamini biblia yako tofauti na inayo sema ni taifa teule.Hapana, Israel anaitegemea mno Marekani