TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Umejiuliza kwa nini UN human rights wameiomba Russia kuingia Kursk kufanya ukaguzi wa kilichotokea badala ya kuiomba Ukraine "inayoikalia" Kursk kinadharia?Inawezekanaje air force ya Supapawa imeshindwa kuangamiza convoy ya Ukraine iliyovamia Kursk?....
Najua una uchungu sana mkuu, Ukraine anampa urusi " homework" kumbuka ni vijiji 74 vimeshatwaliwa,na hiyo ni Kwa mujibu wa hesabu za mapema Jana,bila shaka hesabu za Leo zutakaunt kwenye vijiji 120+.., tunajua urusi Huwa ana staili yake ya carpet bombing na kuharibu kila kila kitu kwenye ground kabla ya kuukomboa eneo lolote, tumeona maeneo kama arepo Syria, bakhumut., Mariupol..,kila mtu mara hii ana shahuku kubwa kuona urusi atatumia staili gani kukomboa miji yake mwenyew..,hapa Kwa kweli ni patam mno😇😇Kati ya watu vichaa..basi ni Ukraine..yaani mnafanya suicide mission ya kijinga sana, kwa ajili ya nini sasa?? Haya mkiua raia, mkateka baadhi ya wanajeshi..then what??
Hawa jamaa akili zao wanazielewa wenyewe. Okey now wanauwawa huko Kursk...frontline nyingine wanaendelea kusogezwa nyuma...at the same time wanashida ya manpower..
AU waliiga ile ya Hamas kuingia Israel kuchukua mateka na kurudi nao Gaza??? Hawa East Europeans kuna kitu hakiko sawa
Urusi kapewa homework Moja matata sana!Ukraine kuchalo