kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Ukraine kitu atakachofanyiwq utakuja badili na ID...Hivi ndivyo Hali ilivyo kila Kona ya dunia,watu wanasahau hata kulala na wenza wao wakifuatilia Jin's Ukraine anavyochanja mbuga!View attachment 3069768
Kupitia hii comment yako Nafikiri sasa watu wamenielewa kwanini nilisema vileKwa hiyo hutaki kwamba Putin anabokolewa...
Hilo gari liliishapoteza muelekeo zamani sanaaaKupitia hii comment yako Nafikiri sasa watu wamenielewa kwanini nilisema vile
Atafanyiwa nini chief advisor wa jeshi la Russia tuambie😅Ukraine kitu atakachofanyiwq utakuja badili na ID...
Kama watairudisha ulikua unawapiga sana spana hawa jamaa wa ukro nazi ndio maanaAsante comrade,Nimefungua akaunti mpya na napenda watu wajue kua "Maonihuru" ndio "Lee Vladimir Creef"Hadi pale akaunti yangu itakaporudishwa
Hivyo Vitisho vilishapitwa na wakati. Afanye nini? Mwaka wa pili sasa hajafanya chochote. Ukraine ikiwa na mafanikio uwanja wa Vita, Wafuasi wa Urusi unasikia eti kitu atakacho kuja kufanya. Afanye kwanza. Nachojua Kursk Wanajeshi wa Urusi 400+ wamechinjwa. Kila Mtu ashinde mechi zake. Urusi wakitudaka watuchinje, na sisi tukiwadaka tuwachinje. Haya ya kutishana hayana nafasiUkraine kitu atakachofanyiwq utakuja badili na ID...
Sio 400+ acha kuleta data za uongo kijanaHivyo Vitisho vilishapitwa na wakati. Afanye nini? Mwaka wa pili sasa hajafanya chochote. Ukraine ikiwa na mafanikio uwanja wa Vita, Wafuasi wa Urusi unasikia eti kitu atakacho kuja kufanya. Afanye kwanza. Nachojua Kursk Wanajeshi wa Urusi 400+ wamechinjwa. Kila Mtu ashinde mechi zake. Urusi wakitudaka watuchinje, na sisi tukiwadaka tuwachinje. Haya ya kutishana hayana nafasi
Kinachokwenda kutokea ni onyo kwa NATO na Ukraine yenyewe...Atafanyiwa nini chief advisor wa jeshi la Russia tuambie😅
By the way Kipanya yupo hapa sikuzote miaka 2 sasa ya vita anawatoa jasho kweny huu uzi , wengine tunakuja na kutoka.
Kinaenda kutokea nini na lini kama kweli unajua? au unasubiri kudura za Mungu tu?Kinachokwenda kutokea ni onyo kwa NATO na Ukraine yenyewe...
Hawatorudia tena kuingia ndani ya Russia.
Ni upumbavu kudhani Ukraine ataishinda Russia kwa msaada wa NATO, mi sina hata wasi wasi na hili nasubiri tu kusikia Zelensky kakimbia Ukraine.Hivyo Vitisho vilishapitwa na wakati. Afanye nini? Mwaka wa pili sasa hajafanya chochote. Ukraine ikiwa na mafanikio uwanja wa Vita, Wafuasi wa Urusi unasikia eti kitu atakacho kuja kufanya. Afanye kwanza. Nachojua Kursk Wanajeshi wa Urusi 400+ wamechinjwa. Kila Mtu ashinde mechi zake. Urusi wakitudaka watuchinje, na sisi tukiwadaka tuwachinje. Haya ya kutishana hayana nafasi
[emoji1787][emoji1787] ukiona ivyo ujue hao US, UK, na Israel hawana sababu ya kupambana na hao houth vingine you hawana hata nucta ya kuwatunishia misuli hao jamaa.Waasi wa houth wamefungi bahari nyekudu kwa meli za biashara za marekani uwingereza na Israeli na marekani imeshindwa kulinda chochote kile
Tatizo warusi wa BUZA hatujajua Putin kawalisha nini... anabokolewa hadi anaitisha mkutano wa hadhara na makamanda wake nyie huku HAMTAKI.Kupitia hii comment yako Nafikiri sasa watu wamenielewa kwanini nilisema vile