Najua una uchungu sana mkuu, Ukraine anampa urusi " homework" kumbuka ni vijiji 74 vimeshatwaliwa,na hiyo ni Kwa mujibu wa hesabu za mapema Jana,bila shaka hesabu za Leo zutakaunt kwenye vijiji 120+.., tunajua urusi Huwa ana staili yake ya carpet bombing na kuharibu kila kila kitu kwenye ground kabla ya kuukomboa eneo lolote, tumeona maeneo kama arepo Syria, bakhumut., Mariupol..,kila mtu mara hii ana shahuku kubwa kuona urusi atatumia staili gani kukomboa miji yake mwenyew..,hapa Kwa kweli ni patam mno�
Finnish President Alexander Stubb, commenting on the advance of Ukrainian forces in Russia's Kursk region, has said that Ukraine has every right to defend itself and can use the weapons provided by Finland on Russian soil.
Yani Kipanya unapoteza tu muda wako bure,wameshindwa kuwatoa Warusi kwenye Ardhi yao leo hii waweze kushikilia bomba hapo Kursk😂😂😂