Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mrusi anachowafanyia Ukraine hapo mjini Kursk
Kwenye mapambano casualties kila upande lazima ziwepo ,kikubwa mwishoni nani mshindi?Acha uzuzu dogo!
Kwamba kashindwa kuwafuata walipo hadi awatoe raia wake kafara kiasi hicho?
Huyu ni raia so ajui kituKwenye mapambano casualties kila upande lazima ziwepo ,kikubwa mwishoni nani mshindi?
Sijui mtoa mada kama anaelewa chochote kuhusu vitaJe za wanajeshi wa Urusi umeziona?
Au unadhani hawafi?
Akhamat na Wagner wameshatangaza hawatakua na mida wa kishikilia mateka wanakazi ya kuua tuAkhmat wameshaanza kazi chafu
Watapigwa mpaka kipanya apotee humuMrusi anachowafanyia Ukraine hapo mjini Kursk
View attachment 3070015
View attachment 3070016
View attachment 3070024View attachment 3070025
Watapigwa mpaka kipanya apotee humu
Miili ya Wanamgambo Ukraine imetapakaa kila mahali uko KurskKwenye mapambano casualties kila upande lazima ziwepo ,kikubwa mwishoni nani mshind
Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweeeJukumu la kuwang'oa vichwa wavamizi limeachwa kwa AKHMAT.
Tayari wameshafunga njia zote walizoingilia Hawa NATO na pia wamefunga njia ambazo wangeweza kutokea.
Sasa hivi ni msako wa pori kwa pori
Kazi Yao kuu ni kuhakikisha hakiingii kitu wala mtu na wala hatoki mtu na kitu chochote.
Mtoto kayataka mwenyewe.
Ni kweli mkuu, lakini Ukraine hachomoki kwenye hili. Lazima askari walioingia Kursk wamalizwe kiroho mbaya.Kwenye mapambano casualties kila upande lazima ziwepo ,kikubwa mwishoni nani mshindi?
Watakula timbwili hawajawahi kuonaUkraine wamejichanganya sana