LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
We dogo kwenye Military strategy hio inaitwa mtego unamsogeza adui ndani kama vile wewe ni dhaifu, afu unamzunguka ndicho alicho kifanya Mrusi.
Acha uzuzu dogo!

Kwamba kashindwa kuwafuata walipo hadi awatoe raia wake kafara kiasi hicho?
 
Jukumu la kuwang'oa vichwa wavamizi limeachwa kwa AKHMAT.
Tayari wameshafunga njia zote walizoingilia Hawa NATO na pia wamefunga njia ambazo wangeweza kutokea.
Sasa hivi ni msako wa pori kwa pori
Kazi Yao kuu ni kuhakikisha hakiingii kitu wala mtu na wala hatoki mtu na kitu chochote.
Mtoto kayataka mwenyewe.
 
Nimetoka kuwaambia mchana hapo askari wa Ukraine watavaa sketi na magauni na hijab na watajipaka make up na kuvaa hereni kukimbia kipigo cha Russia.

Inasemekana intel za Russia zilijua mapema kabisa mwezi nyuma kwamba Ukraine inapanga kuvamia Kursk, na wameachiwa waingie halafu wahuni wanafunga milango hapo hakuna misaada ya silaha kuingia wala chakula, watakufa kifo kibaya sana.

Walivyo wajinga Ukraine walikiri ilikuwa rahisi kwao kuingia Kursk, na Russia walivyo na roho mbaya wamewaacha wasonge ndani zaidi ili kifinyo kikianza hamna kurudi ulipotoka.

Hii itakua onyo.
 
Kwenye mapambano casualties kila upande lazima ziwepo ,kikubwa mwishoni nani mshind
Miili ya Wanamgambo Ukraine imetapakaa kila mahali uko Kursk

Holy sh*t 👀

The Ukrainian terrorists are suffering catastrophic losses as they are being ambushed in every village in Kursk Oblast

There are bodies everywhere!

This is unsustainable!
 

Attachments

  • IMG_20240814_184548.jpg
    192.6 KB · Views: 3
  • IMG_20240814_184549.jpg
    158.3 KB · Views: 4
  • IMG_20240814_184552.jpg
    176.6 KB · Views: 5
  • IMG_20240814_184556.jpg
    170.8 KB · Views: 4
Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweee
 
Urusi ni nchi yenyewe jeshi kubwa maarifa na mipango thabiti kabisa.
Ulinzi ni umeimatishwa katika kinu Cha nyukilia,adui anafuatiliwa nyendo zake , maficho yake na shauku yake.
Jukumu hili limepewa kikosi maalumu na jukumu la kuwasaka na kuwakata vichwa wavamizi limepewa kwa kikosi Bora kabisa Cha AKHMAT.
Msako unaendelea na ulinzi kwa kinu alichokua anakitamani zelensky ili awe anatoa masharti umepewa kikosi maalumu

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
14 AUG, 14:25
Rosgvardiya enhances security measures to protect Kursk NPP
According to the statement, Rosgvardiya units conduct terrain reconnaissance, track enemy movement, identify hidden Ukrainian armed forces’ strongholds, correct artillery fire
MOSCOW, August 14. /TASS/. The Russian Federal National Guard Service has adopted additional security measures to protect the Kursk nuclear power plant (NPP), the agency’s press service told TASS.

"Rosgvardiya officers are working to maintain law and order. They have clamped down on arms trafficking in border areas. Additional measures have been taken by Rosgvardiya to protect the Kursk NPP," the report reads.

The agency added that countering enemy drones is an area of focus. "Special anti-drone units are actively operating. Rosgvardiya units conduct terrain reconnaissance, track enemy movement, identify hidden Ukrainian armed forces’ strongholds, correct artillery fire, and conduct remote mining of the Ukrainian armed forces' positions," the Federal National Guard Service said.

On August 6, Russia’s borderline Kursk Region came under a massive attack from Ukraine. Shelling and drone strikes killed 12 civilians and injured 121 people, including ten children. Over 120,000 people have either left or been evacuated from the Kursk Region. According to the Russian Defense Ministry, Kiev has lost up to 2,030 troops, 35 tanks and 31 armored personnel carriers since fighting began in the Kursk area.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…