and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hivi umewaza silaha zitawafikia vipi? Chakula?mkuu kwanza kuteka kashateka hivo hilo weka akilini na halihitaji discussions.
Kuyakalia kwa muda gani bado ni suala la kuachia muda. una point gani? mmeshakomboa vijiji vyote?
maskini zeleeeee
View attachment 3070679
Ukraine wanaendelea kuadvance kila siku, logistics wanapata wapi kama wamefungiwa🤣😅Hivi umewaza silaha zitawafikia vipi? Chakula?
Milango imefungwa mipakani, hiko kikosi cha uokoaji kinapita wapi?
Umeandika kwa wepesi sana, hadi sasa unakuta wanatumia silaha wanazo okota na zile walizokuwa nazo, muda kidogo tu utasikia wanahitaji misaada ya silaha, chakula na matibabu...Ukr
Ukraine wanaendelea kuadvance kila siku, logistics wanapata wapi kama wamefungiwa🤣😅View attachment 3070697View attachment 3070697View attachment 3070697
Kuna wakati mnabishana na watu ambao hata ujuzi wa kimapigano ya mgambo hawana wakitoka kwenye uzi wa simba na yanga wanahamia humu kitendo alichokifanya Ukraine kwa elimu ya mgambo tu wamekosea sanaUmeandika kwa wepesi sana, hadi sasa unakuta wanatumia silaha wanazo okota na zile walizokuwa nazo, muda kidogo tu utasikia wanahitaji misaada ya silaha, chakula na matibabu...
Wanasonga mbele ili wakamalizwe vizuri.
Tupo hapa..
Hata mi sijui ndio walichanganyikiwa na vita?Kuna wakati mnabishana na watu ambao hata ujuzi wa kimapigano ya mgambo hawana wakitoka kwenye uzi wa simba na yanga wanahamia humu kitendo alichokifanya Ukraine kwa elimu ya mgambo tu wamekosea sana
Mnavyokoment Sasa ,utafikir mnawahururumia sana Ukraine! Ukraine haiitaji huruma ya mtu, mwachen aendelee kuwachakaza warusi Kwa njia atakayoona yeye inafaa!Hata mi sijui ndio walichanganyikiwa na vita?
Hata mimi hapa ningekuwa kwenye kamati ya ulinzi Ukraine, ningepinga hili aisee...
Russia walipoteza askari zaidi ya 10 million world war 2...More Russian prisoners of war from the Kursk region. The number for this night and morning is 102 among Kadyrov soldiers, officers and Chechens. Some channels say that there are soldiers from units of the 488th Guards Motorized Rifle Regiment and Akhmat. This is a huge mass catch all at once.View attachment 3070773View attachment 3070774View attachment 3070775
We unaona ni sawa?Mnavyokoment Sasa ,utafikir mnawahururumia sana Ukraine! Ukraine haiitaji huruma ya mtu, mwachen aendelee kuwachakaza warusi Kwa njia atakayoona yeye inafaa!
Hii kweli superpower khaaa!More Russian prisoners of war from the Kursk region. The number for this night and morning is 102 among Kadyrov soldiers, officers and Chechens. Some channels say that there are soldiers from units of the 488th Guards Motorized Rifle Regiment and Akhmat. This is a huge mass catch all at once.View attachment 3070773View attachment 3070774View attachment 3070775
Wewe ndio umezeshwa propaganda mapinduzi na uasi vilifanyika chini ya uungaji mkono wa western wakampindua yanukovich (kama jina ntakua nimelikumbuka)Propaganda tu hizi, waanzilishi na wafadhali wa uasi kule Ukraine mashariki toka mwaka 2014 ni Urusi na mashirika yao ya kijasusi.
Labda kateka maji😀mkuu kwanza kuteka kashateka hivo hilo weka akilini na halihitaji discussions.
Kuyakalia kwa muda gani bado ni suala la kuachia muda. una point gani? mmeshakomboa vijiji vyote?
Nikiona picha kama hizi za wanazi nafurahia sanaamaskini zeleeeee
View attachment 3070679
Maji huwa yanatekwa? sijafahamu hili.Labda kateka maji😀