and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hivi umewaza silaha zitawafikia vipi? Chakula?mkuu kwanza kuteka kashateka hivo hilo weka akilini na halihitaji discussions.
Kuyakalia kwa muda gani bado ni suala la kuachia muda. una point gani? mmeshakomboa vijiji vyote?
Milango imefungwa mipakani, hiko kikosi cha uokoaji kinapita wapi?