Wengi wa wachangiaji wanatumia hisia zao tu na ushabiki maandazi.Naomba kuuliza swali wataalam wa taarifa, hivi hawa mateka wa kivita wanajeshi wa Urusi walikamatwa hapo Kursk wanasafirishwa kupelekwa Ukraine au wanatunzwa hapo uwanja wa vita? Na kama wanasafirishwa kwenda Ukraine wanapitia njia gani wakati wadau wanasema hapa kuwa wanajeshi waliopo ndani ya Urusi wamazingirwa hakuna kutoka wala kuingia.
Maoni yangu nje ya Swali: Hivi unaweza kuzingira adui kwa urahisi hivyo yaani wanajeshi wote zaidi ya 10,000 ukawaweka mtu kati? hiyo ni vita au mchezo wa kubembea.
Kumbe Putin tunamshabikia bure tu jamaa alisema siku mtu akikanyanga Russia watamyandua leo hii vita iko Ndani kwao kabisa yaani kuna Warusi ni Wakimbizi naona aibu sana kutokea hapa Litapwasi.Hii vita ina propaganda kubwa sana kwa pande zote mbili.
Ila ndani ya mwaka huu ukweli utabaki wazi.
Niliwahi kusema tangu zamani kuwa Urusi kuremba muandiko kwenye imla itamponza.
Hatimae mvamiwaji kavamia nae hii inaonesha tuliekuwa tunaaminishwa dhaifu sana kumbe sio dhaifu namna hyo.
Yaani Putin anapambana na watu wanaotaka kuibomoa nchi yake halafu analeta ujuaji.
Ndio maana huwa nasema Netanyahu ndio anajua hizo show.
Kama Netanyahu angekuwa pale Urusi sasa hivi kilio kingekuwa kila kona ya dunia na Ukraine ingekuwa imebaki magofu.
Japo siungi mkono anachokifanya Gaza lakini namna anavyochukua hatua kuhusu kulinda nchi yake ndio Russia alipaswa kufanya.
Mmarekani ameshafanikiwa kuingia ndani kwa Mrusi kazi ipo.
Maneno ya kijifariji - hata Ukraime nao wanaweza kusema bila usaidizi wa Iran na Korea kaskazini Urusi asingekuwa lolote wala chochote.Urusi kabak kulalamika kama mtoto wa kambo View attachment 3071614
Yule mzee wa matamko - alisema NATO ama Taifa lolote la magharibi likijihusisha na Ukraine basi litapata pigo la Dunia - hadi wa leo hamna kitu.Kumbe Putin tunamshabikia bure tu jamaa alisema siku mtu akikanyanga Russia watamyandua leo hii vita iko Ndani kwao kabisa yaani kuna Warusi ni Wakimbizi naona aibu sana kutokea hapa Litapwasi.
Najiuliza Yaani Russia tunaemuaminia ndio Bouncer wetu anapigwa hivi???
Sasa kama wako Ndani kule Urusi atajikomboaje??? Inatakiwa apige shoo sasa ua Zelesnky ua budanov kama Netenyahu anavyokula vichwa hajali..
Mbona BBC waliliripoti wananchi wa eneo la Kursk walikua wanawadanganya wanajeshi wa ukrein kuhusu walipo wanajeshi wa urusi..Russia: Italian journalists visited Sudzha and interviewed the locals who stayed.Russian civilians there welcomed Ukrainian forces as liberators and say they're very kind.Ukraine is also actively distributing humanitarian aid.
Putin ni gaidi mavi kabisa. Kwa alichokifanya Ukraine kule Buscha na maeneo mengine huyu mbwa afe mdomo wazi
Of course huu ni ukweli hambao hatuwez kupinga kwamba Ile " free meals" waliyoinjoi Ukraine Kwa wiki takriban 2 hapo Kursk itazidi kupungua au hata kuisha kabisa!..,huo upande wa Kursk unaadopt Hali ileile kama iliyoko Frontline nyinginezo kadri muda unavyosonga..,Sasa hivi kila upande utakaotaka kupata mafanikio huko Kursk utalazimika kulipia ghalama zilezile kama zinavyolipwa huko Donbass na kwingineko.., somewhat Ukraine bado ana initiative huko, lakini siku chache zijazo mizani itabalance na kila Mmoja ataanza kugain kwa kadri alivyowekeza!Maji mtaita mma! Vipi wataponyoka??
MoD: Russian forces deployed in 'greater force' to Kursk region after 'disarray'
Russian forces are being deployed in "greater force" to Kursk after initial "disarray and disorganisation", the UK Ministry of Defence has said.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Kinyonge sana mwamba, siyo kawaida! Ukweli ni kwamba kamari imeshindwa kulipa!Of course huu ni ukweli hambao hatuwez kupinga kwamba Ile " free meals" waliyoinjoi Ukraine Kwa wiki takriban 2 hapo Kursk itazidi kupungua au hata kuisha kabisa!.
sijui njia imefungwa waongoNaomba kuuliza swali wataalam wa taarifa, hivi hawa mateka wa kivita wanajeshi wa Urusi walikamatwa hapo Kursk wanasafirishwa kupelekwa Ukraine au wanatunzwa hapo uwanja wa vita? Na kama wanasafirishwa kwenda Ukraine wanapitia njia gani wakati wadau wanasema hapa kuwa wanajeshi waliopo ndani ya Urusi wamazingirwa hakuna kutoka wala kuingia.
Maoni yangu nje ya Swali: Hivi unaweza kuzingira adui kwa urahisi hivyo yaani wanajeshi wote zaidi ya 10,000 ukawaweka mtu kati? hiyo ni vita au mchezo wa kubembea.
Ndio maana nikikwambia kwamba Kasi ya Ukraine itapungua lakini bado kipondo dhidi ya urusi kitaendelea,na urusi atapata wakati ngumu kumstopisha Ukraine hapo Kursk,achilia mbali kumuondoa!Russia wamepata kichapo sawa huko Kursk, lakini haitawafanya waweke silaha chini na kujisaimisha, Ukraine anasonga mbele lakini si Kwa Kasi ileile