LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naomba kuuliza swali wataalam wa taarifa, hivi hawa mateka wa kivita wanajeshi wa Urusi walikamatwa hapo Kursk wanasafirishwa kupelekwa Ukraine au wanatunzwa hapo uwanja wa vita? Na kama wanasafirishwa kwenda Ukraine wanapitia njia gani wakati wadau wanasema hapa kuwa wanajeshi waliopo ndani ya Urusi wamazingirwa hakuna kutoka wala kuingia.
Maoni yangu nje ya Swali: Hivi unaweza kuzingira adui kwa urahisi hivyo yaani wanajeshi wote zaidi ya 10,000 ukawaweka mtu kati? hiyo ni vita au mchezo wa kubembea.
 
Wengi wa wachangiaji wanatumia hisia zao tu na ushabiki maandazi.
 
Hii vita ina propaganda kubwa sana kwa pande zote mbili.

Ila ndani ya mwaka huu ukweli utabaki wazi.

Niliwahi kusema tangu zamani kuwa Urusi kuremba muandiko kwenye imla itamponza.

Hatimae mvamiwaji kavamia nae hii inaonesha tuliekuwa tunaaminishwa dhaifu sana kumbe sio dhaifu namna hyo.

Yaani Putin anapambana na watu wanaotaka kuibomoa nchi yake halafu analeta ujuaji.

Ndio maana huwa nasema Netanyahu ndio anajua hizo show.

Kama Netanyahu angekuwa pale Urusi sasa hivi kilio kingekuwa kila kona ya dunia na Ukraine ingekuwa imebaki magofu.

Japo siungi mkono anachokifanya Gaza lakini namna anavyochukua hatua kuhusu kulinda nchi yake ndio Russia alipaswa kufanya.

Mmarekani ameshafanikiwa kuingia ndani kwa Mrusi kazi ipo.
Kumbe Putin tunamshabikia bure tu jamaa alisema siku mtu akikanyanga Russia watamyandua leo hii vita iko Ndani kwao kabisa yaani kuna Warusi ni Wakimbizi naona aibu sana kutokea hapa Litapwasi.

Najiuliza Yaani Russia tunaemuaminia ndio Bouncer wetu anapigwa hivi???

Sasa kama wako Ndani kule Urusi atajikomboaje??? Inatakiwa apige shoo sasa ua Zelesnky ua budanov kama Netenyahu anavyokula vichwa hajali..
 
Haya mambo ni moto kupanga ni kuchagua! Ukiona wanaripoti wao ujue hali ni..............

Ukraine orders evacuation of eastern city as Russian forces advance​

Ukraine has ordered the evacuation of Pokrovsk, a city in the Donetsk Oblast, as Russian forces approach the region.

In a post on Telegram, the head of the city's military administration says it's important residents "don't delay" their evacuation, as Russian troops are "rapidly approaching the outskirts of Pokrovsk".

Kumbe Putin tunamshabikia bure tu jamaa alisema siku mtu akikanyanga Russia watamyandua leo hii vita iko Ndani kwao kabisa yaani kuna Warusi ni Wakimbizi naona aibu sana kutokea hapa Litapwasi.

Najiuliza Yaani Russia tunaemuaminia ndio Bouncer wetu anapigwa hivi???

Sasa kama wako Ndani kule Urusi atajikomboaje??? Inatakiwa apige shoo sasa ua Zelesnky ua budanov kama Netenyahu anavyokula vichwa hajali..
Yule mzee wa matamko - alisema NATO ama Taifa lolote la magharibi likijihusisha na Ukraine basi litapata pigo la Dunia - hadi wa leo hamna kitu.
 
Russia: Italian journalists visited Sudzha and interviewed the locals who stayed.Russian civilians there welcomed Ukrainian forces as liberators and say they're very kind.Ukraine is also actively distributing humanitarian aid.

Putin ni gaidi mavi kabisa. Kwa alichokifanya Ukraine kule Buscha na maeneo mengine huyu mbwa afe mdomo wazi
Mbona BBC waliliripoti wananchi wa eneo la Kursk walikua wanawadanganya wanajeshi wa ukrein kuhusu walipo wanajeshi wa urusi..
Hii inaonyesha wananchi wako loyal na nchi yao
 
Wakati huohuo..........................je hawakujua???Tupende kutumia akili zetu, hawa si tuliambiwa wanateka maeneo kwa kasi kubwa?? Jamaa ni waongo sana!

Ukrainian forces vulnerable as their advance slows

Ukraine’s advance into Russia has slowed in recent days and there’s likely to be a point soon when it stops.

There’ll be more logistical challenges the further Ukraine advances – keeping forces supplied with ammunition, food and fuel.

Maji mtaita mma! Vipi wataponyoka??

MoD: Russian forces deployed in 'greater force' to Kursk region after 'disarray'​

Russian forces are being deployed in "greater force" to Kursk after initial "disarray and disorganisation", the UK Ministry of Defence has said.

Of course huu ni ukweli hambao hatuwez kupinga kwamba Ile " free meals" waliyoinjoi Ukraine Kwa wiki takriban 2 hapo Kursk itazidi kupungua au hata kuisha kabisa!..,huo upande wa Kursk unaadopt Hali ileile kama iliyoko Frontline nyinginezo kadri muda unavyosonga..,Sasa hivi kila upande utakaotaka kupata mafanikio huko Kursk utalazimika kulipia ghalama zilezile kama zinavyolipwa huko Donbass na kwingineko.., somewhat Ukraine bado ana initiative huko, lakini siku chache zijazo mizani itabalance na kila Mmoja ataanza kugain kwa kadri alivyowekeza!
 
ANOTHER CHANGE IN EUROPE BECAUSE OF THE RUSSIAN INVASION- Croatia's Defense Minister said today that the country is forced because of the Russian INVASION to introduce compulsory military service from January 1, 2025, due to the global and European Union security situation. MANY THINGS WILL CHANGE AND THEY WILL NOT BE IN FAVOR OF THE RUSSIANS.
 
Wote wamesafirishwa kwenda Ukraine. Wanaosema
Naomba kuuliza swali wataalam wa taarifa, hivi hawa mateka wa kivita wanajeshi wa Urusi walikamatwa hapo Kursk wanasafirishwa kupelekwa Ukraine au wanatunzwa hapo uwanja wa vita? Na kama wanasafirishwa kwenda Ukraine wanapitia njia gani wakati wadau wanasema hapa kuwa wanajeshi waliopo ndani ya Urusi wamazingirwa hakuna kutoka wala kuingia.
Maoni yangu nje ya Swali: Hivi unaweza kuzingira adui kwa urahisi hivyo yaani wanajeshi wote zaidi ya 10,000 ukawaweka mtu kati? hiyo ni vita au mchezo wa kubembea.
sijui njia imefungwa waongo
 
Russia wamepata kichapo sawa huko Kursk, lakini haitawafanya waweke silaha chini na kujisaimisha, Ukraine anasonga mbele lakini si Kwa Kasi ileile
Ndio maana nikikwambia kwamba Kasi ya Ukraine itapungua lakini bado kipondo dhidi ya urusi kitaendelea,na urusi atapata wakati ngumu kumstopisha Ukraine hapo Kursk,achilia mbali kumuondoa!
 
Russians, why do you store tanks in the Galaktika shopping center in occupied Donetsk?
1723813238487.jpg
 
Early afternoon news:
The zone of presence of the Armed Forces in the Kursk region is increasing, — Bil
1723813352749.jpg
d
 
9 more Russian officers were successfully demobilized in Ukraine and will return to Putin in black bags:
  • Major Ospanbayev Ruslan;
  • captain Zverev Ivan;
  • company commander of the 1307th motorized rifle regiment, captain Nikolai Kozlovsky;
  • guard captain Teplov Igor;
  • senior lieutenant Karavaev Sergey;
  • Orc Lieutenant Babichev Sergey (Kamyshevakha settlement, Donetsk region);
  • Lieutenant Mobik Osipov Vyacheslav;
  • junior lieutenant Urkumbayev Erlan;
  • junior lieutenant Nurmanov
    1723813440577.jpg
    Zhaksat;
 
Up to 6,000 Ukrainian troops are currently deployed in Russia’s Kursk Oblast, supported by up to 4,000 auxiliary personnel from Ukrainian territory.
 
Situation in the region
- Russia’s Battlegroup North has repelled an attack toward Russky Porechny and Gordeyevka in the Kursk Region.

- Ukrainian mobile groups trying to advance deeper inside Russia’s territory were eliminated one kilometer west of Anastasyevka and 1.5 kilometer southeast of Kauchuk.

- Ukrainian troops and vehicles were hit near Alexandria, Snagosti, Mirny, Kazachya Loknya, Korenevo, Pleskhovo, and Pushkarny.

- Russian aircraft struck Ukrainian reserves, munitions and fuel depots nea Yuryevo, Khotneya, Vorozgba, Ivolzhanka, Zhuravka, and Boyaro-Lezhachi in the Sumy Region.

Ukraine’s losses
- Ukraine’s daily losses stand at up to 220 troops and 19 armored vehicles, including four tanks, eight armored infantry carriers and seven armored combat vehicles, as well as seven automobiles, three HIMARS launchers, two guided missile transporters, and two artillery systems.

- Ukraine’s overall losses over the period of combat operations include up to 2,860 troops, 41 tanks, 40 armored personnel carriers, 23 combat infantry carriers, 213 armored combat vehicles, 102 automobiles, four air defense systems, six multiple launch missile systems, including three HIMARS launchers, two guided missile transporters, 22 artillery systems, and three electronic warfare stations.

Statements by local authorities
- More than 140 civilians, including ten children, have been taken to hospitals after Ukraine’s attacks on the Kursk Region since August 6, according to Pavel Alimenko, the region’s acting deputy health minister.

- Local medical establishments have enough medicine, medical equipment and articles of daily necessity, he added.

- Medical teams of more than 400 people have arrived to the Kursk Region from other Russian regions.
 
Back
Top Bottom