Kwahiyo urusi anapokuwa anavunja madaraja na miundo mengine ukraine huwa hapati mafanikio?Hiyo ni njia ya kumpunguza Kasi adui baada ya kuzidiwa,Ukiona hivyo hali ni ngumu Kwa Ukraine katika Hali ya kawaida ukiwa unapata mafanikio vitani huwezi kuharibu chochote wala kuvunja darajq.
Inaonekana wanajeshi wa Urusi wanamgomea Putin kupigana. Kuna tatizo either ya motisha.Another large column of the Russian Armed Forces was destroyed near Korenevo in the Kursk region, — Z-publics
Yanaendaga kama manyumbu haya marusi
Huenda hii ni kweli, urusi hata kama amekuwa dhaifu si wa kuchakazwa namna hiiInaonekana wanajeshi wa Urusi wanamgomea Putin kupigana. Kuna tatizo either ya motisha.
Vipanya wewe ni muongo sana kuliko hata hao wazunguHuenda hii ni kweli, urusi hata kama amekuwa dhaifu si wa kuchakazwa namna hii
Wewe unaona kawaida jeshi la nchi kubwa kama urusi kuchakazwa namna hii?!Vipanya wewe ni muongo sana kuliko hata hao wazungu
Hiyo ni one way ticket to death, NATO soldiers uko Kursk hawatarudi makwao. Hila western media na propaganda hawawezi kutangaza hizi habari, watasema tu Ukraine anasonga mbele na kuteka miji. Kumbe habari nyingi nilizokuwa naangalia CNN, BBC, CBS news, toka zamani hazikuwa za kweli, hawa jamaa wanajitahidi kuwabuluza watu duniani kwa stupid false news. Sema ndani ya km 20 ni umbali mfupi sana mtu unaweza kutembea kwa mguu kwa saa tatu au nne ukafika. Kwa gari ni dakika 20, kwa bodaboda ni dakika 30-40 , pili hayo maeneo ni mashamba na vijiji vichache vilivyoko mpakani. Hivyo kuteka mashamba kwamba uko ndani ya nchi nyingine ni ujinga. Hata USA veterans wa vita wanasema Ukraine amebugi step, kwenda kuteka mashamba badala ya kumufuata adui aliko mpambane uso kwa uso. Haya Sasa zaidi ya asikari wa NATO 3,000 wameshapoteza maisha yao na vifaa lukuki.17 AUG, 05:38
Kiev forces lost over 530 servicemen in Battlegroup Center responsibility zone in a day
Two counterattacks of the assault groups of the 23rd and 31st Mechanized Brigades of the Ukrainian armed forces were repelled, the head of the group’s press center Alexander Savchuk said
MOSCOW, August 17. /TASS/. The losses of the Ukrainian armed forces in the area of responsibility of the Battlegroup Center of the Russian armed forces in one day amounted to over 530 servicemen, the head of the group’s press center Alexander Savchuk told TASS.
"The enemy lost over 530 servicemen. Four vehicles, an M777 howitzer, a D-20 gun and two D-30 howitzers were destroyed," Savchuk said.
He specified that the 32nd Mechanized Brigade, the 14th and 15th Brigades of the National Guard of Ukraine in the areas of Dzerzhinsk (Ukrainian name - Toretsk), Grodovka and Mirolyubovka were also defeated. Two counterattacks of the assault groups of the 23rd and 31st Mechanized Brigades of the Ukrainian armed forces were repelled.
Hii ni kweli comred maana adui wanayejiandaa kwa ajili yake ni kama hayupo au amedhohifika kabisa!haina maajabu hii
Hizi hapa za moto comred kutokea huko Kursk 🔥 🔥haina maajabu hii
Taarifa zake kwa asilimia 98.9 (98.9%) ni za uongo.kp kipanya44 kwa sasa hana kazi ya kufanya zaidi ya ktafuta taatifa mitandaoni aje kutamba hapa.
Ila kwa sasa umeshika dimba.
Warusi wamebak kulalamika kama mjusi kabanwa na mlango😍🤩Taarifa zake kwa asilimia 98.9 (98.9%) ni za uongo.
Warusi wameamua kujiondoa wenyewe kwenye maeneo ya Kursk yaliyobaki.,wameona wasiwaongezee Ukraine mtaji wa matekaTaarifa zake kwa asilimia 98.9 (98.9%) ni za uongo.