Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Samahani lakini. Huna akili. Askari walioingia kwa idadi isozidi 15,000 wanakufa kwa mamia kila saa? Si wangeshaisha kitambo? Kahawa zenu vijiweni zinawalevya mnaropokaHuko Kursk Kila saa Kila siku askari wa Ukraine walioingia wanakufa kwa mamia.
Pia napenda kuweka kumbukumbu sawa kua hii ni habari ya Kursk TU.
Huko Ukraine Urusi anaua wengi zaidi Kwa sababu huko wamebaki askari vilaza TU,maana askari wote Bora wamepelekwa kursk.
17 August.
Ukraine Loses Up to 300 Soldiers, 31 Vehicles in Kursk Region Over Past Day
3 minutes ago
MOSCOW (Sputnik) - The Russian military destroyed up to 300 Ukrainian militants, 31 armored vehicles, including three tanks, an infantry fighting vehicle, and three armored personnel carriers in the border areas of Russia's Kursk Region over the past 24 hours, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
The operation to eliminate the Ukrainian units is underway, the statement stressed.
"Over the past 24 hours, the losses of the Ukrainian armed forces amounted to 300 soldiers, 31 armored vehicles, including three tanks, an infantry fighting vehicle, three armored personnel carriers, 25 armored combat vehicles, as well as eight vehicles, an IRIS-T air defense missile launcher, a field artillery gun and an electronic warfare station," the ministry said in a statement.
For example, Ukrainian military lost one tank and 11 armored vehicles as a result of the strikes carried out by the Russian air forces in the Kursk border area, the statement said.
The Ukraine military’s heavy losses in Russia’s Kursk region are “particularly considerable” in light of the fact that the Kiev regime “has committed its most capable military assets to the… pic.twitter.com/k1515c93ka
August 17, 2024
Since the fighting started in the Kursk Region, the Ukrainian military lost up to 3,160 soldiers, 44 tanks, 43 armored personnel carriers, 24 infantry fighting vehicles, 244 armored combat vehicles, 111 vehicles, five anti-aircraft missile systems, six multiple launch rocket launchers, including three HIMARS multiple rocket launchers, 24 field artillery guns and four electronic warfare stations, the statement read.
Hahahah mwana mgambo wa Ukraine kaunguzwa makende 😂Ila ukija uwanja wa vita sas😂😂😂
Punguza hasira Ndugu yangu..Muda utaongea...Ila Askari WA NATO na Ukraine wanakufa Kweli Kweli. Fahamu tu kwamba Kursk is a cursed region for invaders...history tells us so...Wale waliosoma history ya WWIi wataniuelewa. Hakuna mvamizi aliyewahi kupona Kwa kuivamia Russia kupitia Kursk.. Hata WWIi baadhi ya wataalamu WA War studies huainisha kuwa Vita hivyo vya pili vya dunia viliamliwa Kwa kipigo cha Hitler pale Kursk..Samahani lakini. Huna akili. Askari walioingia kwa idadi isozidi 15,000 wanakufa kwa mamia kila saa? Si wangeshaisha kitambo? Kahawa zenu vijiweni zinawalevya mnaropoka
Anawaua kama anaua ndege yani😂😂😂 dah ******* wana roho ngumu sana
Hali ni tete nchini Ukraine na pia Kursk. Ukraine wamekalia kuti kavu.
Russia inawabomoa sana NATO na Ukraine, patriotic moja ni $3 billions mbili jumla $6 billions karibu na Budget ya Samia/ Mwigulu Nchemba (Tanzania). Zote hizo patriotic zimeenda na maji na kuwa vipande vipande kwa siku moja. Ni hasara kubwa sana kwa walipa kodi wa America, wakati uchumi wao hauko vizuri. Pia zaidi ya wanajeshi 2000 wamesharudi kwa muumba wao sijui watazikwa wapi. Kursk wajerumani walishindwa na kuuwawa karibu million 5, wajerumani walipoteza maisha yao hapo Kursk, leo roho za wanajeshi kutoka NATO zinaungana na roho za wajerumani waliotangulia mbele ya haki.Our soldiers report that Korenevo is under the control of the Armed Forces. Our eagles are finishing off the remains of the fruits, which are still left somewhere.View attachment 3072660
Leo umeifanya siku yangu kuwa burudani
View: https://youtu.be/82PIaQtbBmA?si=n88k6Fnn364wTPMMKule Ukraine wanajeshi wa Russia hawapati upinzani Tena Odessa itangukia kwa Russia next week. Ukraine wamebugi sana steps, walitaka kupiga picha selfie wakiwa Kursk Russia na propaganda nyingi za west Media. Wamepeleka wanajeshi mahili na vifaa vya kutosha uko Kursk vyote na wanajeshi mahili wanaozea uko Kursk. Ni kama wako kwenye banda la kuku maana wamezungukwa sehemu zote, Russia anatumia ndege kuwagonga vichwa kama koboko. Ardhini wanakutana na na vifaru, mizinga ya kutosha na AK 47, hawana pa kupenya Sasa hivi wanasalimu amri tu.
Hizi nguvu za propaganda mgekuwa mnatumia huko battlefield huenda super power asingekuwa analalamika hivi😁
View: https://youtu.be/82PIaQtbBmA?si=n88k6Fnn364wTPMMKule Ukraine wanajeshi wa Russia hawapati upinzani Tena Odessa itangukia kwa Russia next week. Ukraine wamebugi sana steps, walitaka kupiga picha selfie wakiwa Kursk Russia na propaganda nyingi za west Media. Wamepeleka wanajeshi mahili na vifaa vya kutosha uko Kursk vyote na wanajeshi mahili wanaozea uko Kursk. Ni kama wako kwenye banda la kuku maana wamezungukwa sehemu zote, Russia anatumia ndege kuwagonga vichwa kama koboko. Ardhini wanakutana na na vifaru, mizinga ya kutosha na AK 47, hawana pa kupenya Sasa hivi wanasalimu amri tu.
Nimekuwa upande wa Russia tangu mwaka 1986.Russia inawabomoa sana NATO na Ukraine, patriotic moja ni $3 billions mbili jumla $6 billions karibu na Budget ya Samia/ Mwigulu Nchemba (Tanzania). Zote hizo patriotic zimeenda na maji na kuwa vipande vipande kwa siku moja. Ni hasara kubwa sana kwa walipa kodi wa America, wakati uchumi wao hauko vizuri. Pia zaidi ya wanajeshi 2000 wamesharudi kwa muumba wao sijui watazikwa wapi. Kursk wajerumani walishindwa na kuuwawa karibu million 5, wajerumani walipoteza maisha yao hapo Kursk, leo roho za wanajeshi kutoka NATO zinaungana na roho za wajerumani waliotangulia mbele ya haki.