kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
🤣🤣Huyu ni mgombea Urais huko Marekani anaona haya,anatambua kabisa Ukraine bila misaada ya USA si lolote si chochote mbele ya Mighty Russia,anasema USA ndio inachochea vita Ukraine Kwa kumwagia mafuta kwenye vita hiyo,hivyo anaitaka serikali iliyopo iache kupeleka hela Ukraine ili vita iishe.
Maana yake ni kwamba Ukraine Haina uwezo wa kukabiliana na Urusi bila misaada ya USA.
Lkn Cha ajabu utakikita kiji Mtanzania kimoja kimetoka huko Ngudu kinasema Ukraine inatoa jasho Urusi,ooh Putin alisema ataipiga Ukraine Kwa siku Tatu.
Sis tukiwaambia anapigana na Urusi ni NATO vijitu vya Ngudu vinabisha.
Sasa kadaraja kama haka hata wewe jamaa ni hovyo haka si kamtaa tu kama Hapa Tanzania nako mnatangaza??Another bridge was blown up in the village of Zvane in Kurshchyna, Kursk region, russia. One more left.View attachment 3073083
Msaada wa north Korea,aaah haha hahahaha.Huyo Mrusi mwenyewe bila msaada wa Iran North Korea unafikir angekuwa wapi sasa hivi?
Hainipunguzii wala kuniongezea kitu.🤣🤣
Eti vijitu vya ngudu! 😂😂😂
Kwani ikitokea Russia kapigwa, itakupunguzia nini chiefu na kupigwa kwa Ukraine inakusaidia nini mkuu
Then kuna uwezekano wa askari wa Russia kuiba kwani hawakuwa wamezingirwa. Sasa ndugu hivi kweli unaamini kabisa kwamba aliyezungukwa na kuzibia njia zote anaweza kuiba TV?. Kama ni propaganda ndo hizo.Hawakuzingirwa ila walizidiwa acc to Ukraine
Ila chaajabu hawakukimbia badala yake wakawa wanabaka kina mama na watoto
Hio kuiba ndio point ya msingi hilo la tv nisuala dogo sanaThen kuna uwezekano wa askari wa Russia kuiba kwani hawakuwa wamezingirwa. Sasa ndugu hivi kweli unaamini kabisa kwamba aliyezungukwa na kuzibia njia zote anaweza kuiba TV?. Kama ni propaganda ndo hizo.
Unaishi dunia gani?Msaada wa north Korea,aaah haha hahahaha.
Ni lini Urusi kapokea msaada ya north Korea?
Ama nchi nyingine?
Kula ugali wa
Usipaniki mkuu ukweli ni kwamba ukrein wanafiki kitu ambacho hawawezi fika even one dayKula ugali wa mihogo utulie, hivi unawajua hawajui wanatafuta nini?
Nyakalilo, nyamgogwa na nyampande huko 😂😂😂Huyu mama ni mgombea Urais Marekani.
Anaonesha kabisa kua Urusi ilikua sahihi kuitaka Ukraine iwe nyutro,lkn utakuta Kuna viji great thinker uchwara kutoka nyakasungwa vinasema Urusi ijifunze kuishi vizuri na majirani zake.
Huyu mama anasema hakukua na ubaya wowote kwa Ukraine kutofungamana na upande wowote.
Nyehunge,msalala na nyakasungwa wote tuanajua Urusi ndio mbabe wa Dunia.Nyakalilo, nyamgogwa na nyampande huko 😂😂😂
Mwengine unakuta kaandika kuwa wamezingirwa na sasa wameanza kuiba tv na vyakula......uzingirwe Kisha uibe?, tena uibe