Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supapawa kuililia UN iingilie kati sio jambo dogoKipi kimekufanya ushindwe kuamini mkuu
Nuclear mkuu hio ni vinu alaf huezi pigania hapo kwenye ivo vinuSupapawa kuililia UN iingilie kati sio jambo dogo
Wameanza kufa njaa supply ya chakula,silaha na maji hakuna, wanaanza kujisalimisha wanajeshi wa Ukraine.🇺🇦⚰️ The fate of the Ukrainian occupier
He came to the Kursk region, robbed, abused prisoners, loved to take pathetic photos and then he met the good guys from the "Aida Group", was ashamed of his actions and died of grief
Photos were taken from the occupier's phone
HAMAS Wana blockade Miaka nenda Rudi lakini bado hawajafa njaa,sembuse hao askar wa Ukraine.,nyie watu mna propaganda cheap sana!Wameanza kufa njaa supply ya chakula,silaha na maji hakuna, wanaanza kujisalimisha wanajeshi wa Ukraine.
Mzee umeamka80% of all Russian prisoners of war captured during the Kursk operation are conscripts and young children. A number approximately 2300 kids.View attachment 3073768View attachment 3073769
Hujakosea ndugu yangu kuanzia Kamanga,nyamatongo,katungulu,nyamililo,chamabanda,nyamililo,Ibondo,nyampulukano,Mission,kizugwangoma,sima na hata kasungamile wanafatilia habari za Urusi na ukraine,wanajua kabisa Kila kitu,maana ikitokea nchi moja kati ya mbili hizo ikapiga nyukilia basi watu wote watatumia na kufa hovyo.Nyanchenche, nyanzumla, nyaseke, nyanh'olongo, nyanh,wale, nyalubanga, nyakagwe, nyalugusu, nyampanaga, nyakahula! Wote huko ni wajuzi na wachambuzi vita vya Ukraine na Russia 😂😂
Hapana ndugu yangu Millerson,huko Nzega na maeneo yote ya jirani watu wanamuelewa sana mbabe wa vita asieshindwa toka vita vya Chechen ambayo aliwa angamiza kabisa ma Wakala wa USA.mmetusahau na sisi washauri wa zelensiki Na serikali ya kiivu
kutoka hapa (NGONHO nzega)
Umesahau Nyamazugo, Nyachina, Nyatukara, Nyang'homango, Nyakubele kuwa wale ni Warusi halisi 😀😀😀Nyanchenche, nyanzumla, nyaseke, nyanh'olongo, nyanh,wale, nyalubanga, nyakagwe, nyalugusu, nyampanaga, nyakahula! Wote huko ni wajuzi na wachambuzi vita vya Ukraine na Russia 😂😂
View: https://youtu.be/82PIaQtbBmA?si=n88k6Fnn364wTPMM
Kule Ukraine wanajeshi wa Russia hawapati upinzani Tena Odessa itangukia kwa Russia next week. Ukraine wamebugi sana steps, walitaka kupiga picha selfie wakiwa Kursk Russia na propaganda nyingi za west Media. Wamepeleka wanajeshi mahili na vifaa vya kutosha uko Kursk vyote na wanajeshi mahili wanaozea uko Kursk. Ni kama wako kwenye banda la kuku maana wamezungukwa sehemu zote, Russia anatumia ndege kuwagonga vichwa kama koboko. Ardhini wanakutana na na vifaru, mizinga ya kutosha na AK 47, hawana pa kupenya Sasa hivi wanasalimu amri tu.
Ukraine anatembeza kisago kweli kweli tena akiwa ndani ya ardhi ya mvamizi.Punguza hasira Ndugu yangu..Muda utaongea...Ila Askari WA NATO na Ukraine wanakufa Kweli Kweli. Fahamu tu kwamba Kursk is a cursed region for invaders...history tells us so...Wale waliosoma history ya WWIi wataniuelewa. Hakuna mvamizi aliyewahi kupona Kwa kuivamia Russia kupitia Kursk.. Hata WWIi baadhi ya wataalamu WA War studies huainisha kuwa Vita hivyo vya pili vya dunia viliamliwa Kwa kipigo cha Hitler pale Kursk..