gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
We tulia,wao si walianza,sisi tunamalizaJe unajua Ukraine imewakamata Wanajeshi 200 na ushee wa Urusi kwenye Mkoa wa Kursk na Belgorod?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tulia,wao si walianza,sisi tunamalizaJe unajua Ukraine imewakamata Wanajeshi 200 na ushee wa Urusi kwenye Mkoa wa Kursk na Belgorod?!
Kwa taarifa Yako the ratio is 5:1 yaani waukraine 5 kwa Mrusi mmoja na wengi waliokatwa upande wa Urusi ni boarder guide(maafisa uhamiaji).Je unajua Ukraine imewakamata Wanajeshi 200 na ushee wa Urusi kwenye Mkoa wa Kursk na Belgorod?!
Kwamba wamejikamata matekaSasa hawa si warusi wenyewe
Kula sato mwanagu uwe na akili mingi.Unakula Sato kijana, Doh! Hiyo kitu napenda sana na imenifanya nisiwe natulia kwangu, kwa mwaka natembelea kanda ta ziwa mara tano, hasa kwa ajiri ya samaki tu
Hhiii bhaghoshaaa...!
Ukraine's Armed Forces have isolated Russia's Glushkovsky district by destroying all three bridges in the area—covering 700 square km.Umetisha mkuu🙌 Putin atakuwa ni Disconnector 🦉🐒.
Ngoja ni subiri uchambuzi wa magharibi
Nilipokua naenda kumsalimia Babu yangu pale Ibadakuli,kizumbi na ibinzamatahuku ngonho,ziba,iborogelo mpaka nkinga tunamshauri tu zele apandishe bendera nyeupi maana huyo V.V.P hawezekaniki ni heavy element Iliyozaliwa baada ya star kufa
Kama madai yako ni kweli basi Ukraine wasingeweza vita ya hata wiki moja huko Kursk.Kwa taarifa Yako the ratio is 5:1 yaani waukraine 5 kwa Mrusi mmoja na wengi waliokatwa upande wa Urusi ni boarder guide(maafisa uhamiaji).
Putin slaughtered 3,400+ Ukraine soldiers Ina maana NATO na Ukraine soldiers walingia wengi Kursk siyo kama 1000 media za West zinavyosema. Kursk ni machinjio ya wavamizi, wajerumani walichinjwa sana hapo, 5+ millions, Sasa ni zamu ya NATO na Ukraine kuchinjiwa hapo.Nilipokua naenda kumsalimia Babu yangu pale Ibadakuli,kizumbi na ibinzamata
huko shinyanga aliniuliza kua vita inaendeleje?
Nikamwambia zelensky kaingia kursky,
Akanibia sikia mjukuu wangu,historia hua zinajirudia.
Akasema subiri utaona hao walioingia Nini kitawatokea,wangemuuliza jeremani kilichompata wasimgeingia,warusi ni wapole lkn ktk vita ni wakatili mno.
Najua unajua kusoma kiingereza kama hujui nitakutafsiria. Baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wasurrender kwa kukosa maji na chakula kwa siku 6 huku wakitushiwa kuuwawa endapo watarudi nyumaKama madai yako ni kweli basi Ukraine wasingeweza vita ya hata wiki moja huko Kursk.
Source yako ni RT?!Najua unajua kusoma kiingereza kama hujui nitakutafsiria. Baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wasurrender kwa kukosa maji na chakula kwa siku 6 huku wakitushiwa kuuwawa endapo watarudi nyuma
![]()
VIDEO shows Ukrainian forces ‘surrendering’ in Russian border region
A video showing Ukrainian POWs has surfaced on the internet as a Russian commander says the enemy has been “actively” surrenderingwww.rt.com
Na wewe ni Mrusi?We tulia,wao si walianza,sisi tunamaliza
Mkuu soma hii Summary waliotoa The EconomistSource yako ni RT?!
Yeah,wa isela magazi idobola nshindo ndani ndaniNa wewe ni Mrusi?
Mimi niko hapa naangalia Millitary Bloggers wako ndani ya Russia wanasema takriban askari 250 wa Urusi wamechukuliwa Mateka Jeshi la Ukraine limebomoa Madaraja mawili hadi sasa na Wameambush reinforcement mara ya tatu.Mkuu soma hii Summary waliotoa The Economist
![]()
Ukraine’s top general attacked Kursk out of desperation – Economist
Ukraine’s top commander, Aleksandr Syrsky, launched the Kursk incursion as he was on the verge of being sacked, The Economist reportswww.rt.com
Madaraja matatu, bloggers inategemea wa upande gani,wa ukraine waongo sanaMimi niko hapa naangalia Millitary Bloggers wako ndani ya Russia wanasema takriban askari 250 wa Urusi wamechukuliwa Mateka Jeshi la Ukraine limebomoa Madaraja mawili hadi sasa na Wameambush reinforcement mara ya tatu.