LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umetisha mkuu🙌 Putin atakuwa ni Disconnector 🦉🐒.

Ngoja ni subiri uchambuzi wa magharibi
Ukraine's Armed Forces have isolated Russia's Glushkovsky district by destroying all three bridges in the area—covering 700 square km.
Could 2,500 Russian troops be surrounded?
We are waiting for update
1724067921394.jpg
s.
 
huku ngonho,ziba,iborogelo mpaka nkinga tunamshauri tu zele apandishe bendera nyeupi maana huyo V.V.P hawezekaniki ni heavy element Iliyozaliwa baada ya star kufa
Nilipokua naenda kumsalimia Babu yangu pale Ibadakuli,kizumbi na ibinzamata
huko shinyanga aliniuliza kua vita inaendeleje?
Nikamwambia zelensky kaingia kursky,
Akanibia sikia mjukuu wangu,historia hua zinajirudia.
Akasema subiri utaona hao walioingia Nini kitawatokea,wangemuuliza jeremani kilichompata wasimgeingia,warusi ni wapole lkn ktk vita ni wakatili mno.
 
Hii 'tactical offensive' na lengo ni Putin aondoe majeshi yake kutoka frontline huko Ukraine na kuyarudisha ili kulinda Homeland na inavyo onekana ni kama inazaa matunda.
 
Nilipokua naenda kumsalimia Babu yangu pale Ibadakuli,kizumbi na ibinzamata
huko shinyanga aliniuliza kua vita inaendeleje?
Nikamwambia zelensky kaingia kursky,
Akanibia sikia mjukuu wangu,historia hua zinajirudia.
Akasema subiri utaona hao walioingia Nini kitawatokea,wangemuuliza jeremani kilichompata wasimgeingia,warusi ni wapole lkn ktk vita ni wakatili mno.
Putin slaughtered 3,400+ Ukraine soldiers Ina maana NATO na Ukraine soldiers walingia wengi Kursk siyo kama 1000 media za West zinavyosema. Kursk ni machinjio ya wavamizi, wajerumani walichinjwa sana hapo, 5+ millions, Sasa ni zamu ya NATO na Ukraine kuchinjiwa hapo.
 
Attachments

  • Screenshot_20240819-131754.png
    Screenshot_20240819-131754.png
    742.2 KB · Views: 2
Kama madai yako ni kweli basi Ukraine wasingeweza vita ya hata wiki moja huko Kursk.
Najua unajua kusoma kiingereza kama hujui nitakutafsiria. Baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wasurrender kwa kukosa maji na chakula kwa siku 6 huku wakitushiwa kuuwawa endapo watarudi nyuma

Mkuu soma hii Summary waliotoa The Economist

Mimi niko hapa naangalia Millitary Bloggers wako ndani ya Russia wanasema takriban askari 250 wa Urusi wamechukuliwa Mateka Jeshi la Ukraine limebomoa Madaraja mawili hadi sasa na Wameambush reinforcement mara ya tatu.
 
Back
Top Bottom