Hujakosea ndugu yangu kuanzia Kamanga,nyamatongo,katungulu,nyamililo,chamabanda,nyamililo,Ibondo,nyampulukano,Mission,kizugwangoma,sima na hata kasungamile wanafatilia habari za Urusi na ukraine,wanajua kabisa Kila kitu,maana ikitokea nchi moja kati ya mbili hizo ikapiga nyukilia basi watu wote watatumia na kufa hovyo.
Ogopa mionzi ya nyukilia itafika Hadi buhongwa,busisi na na nyampande.
Lkn wengi wao huko Wana Imani na mwamba Field marshall,KGB FSB, Lieutenant colonel Vladimir Vladimirovic Putin a.k.a VVP.
Huyu mwamba ni akili kubwa katika sayari hii dhidi ya Viongozi wote wanaoishi chini ya jua katika kizazi hiki.
Huko kwao wanasema ni mbadala wa mwamba Joseph Stalin kwa uwezo wa ki akili.
Ndio maana unaona Marais wa west wote wanakaa vikao kujadili lkn yeye hakaibna Viongozi wengine kuwa jadili west.
Ila anaweza kwenda china peke yake,au NOKO peke yake lkn haitishi vikao na kikundi Cha Marais kujadili vita.
Kikao pekee anakaa na kamati yake ya ulinzi na usalama wa Urusi akiwemo mhuni Dimitry Medvedev na wakuu wa vyombo vya majeshi TU.
Huyu VVP ndio rais aliyekoswa kuuwawa kuliko Rais yoyote hapa chini ya jua na ndio rais anaewindwa kuuwawa kuliko Rais yoyote pia.
Kwa kifupi ndio binadamu anaewindwa zaidi kuuwawa hapa duniani.
Unajua ni Kwa Nini?
Ni kwa sababu amewashinda wapinzani wake Kila idara,kijasusi,kivita,kiuchumi,kisiasa na kidiplomasia.njia pekee ni kutaka kumuua,lkn hiyo nayo imeshindwa.huyu ndio rais pekee duniani alierogwa hadharani nahajarogeka,ushahidi wa picha wa wachawi wa Ukraine wakimrogo upo humu.
Mimi nipo huku kome nakula samaki Sasa hivi.