Hamna kaka mbona siku zote hujibu kistaarabu??Naona leo umejibu kistaarabu.
Na hii vita Russia hatakiwi kutumia excessive force itakua hatari kwake na kwa ukanda kiujumla.Inapoelekea mambo yatakuwa mazito, wanamtia hasira afungue makucha moto uwake.
Nimeshangaa, sio kawaida yao kabisa.Dikteta ameshikwa mbavu mpaka wafuasi wake wamekuwa wapole siku hizi
Ha ha ha aya bhana, chukua thanks hiyo.Hamna kaka mbona siku zote hujibu kistaarabu??
Ila humjibu mtu kulingana na anavyokuja.
Kipanya 44 unaongea ukiwa Kurks kijiji gani 😂😂😂Kila Mmoja anajua Ukraine nae anayakalia maeneo ya urusi Kwa Sasa.., period!
Kuna vita wanajeshi hawafi?!Wanajeshi wa NATO wanakufa sana
Atatishia kutumia Nuclear muda si mrefu.nasikia amehama Moscow
🤣🤣🤣🤣Wanajeshi wa NATO wanakufa sana
Mvumilie tu, mwenzako anaongea kwa uchungu sana🤣.Kuna vita wanajeshi hawafi?!
Kati ya ngapi? Maana wanadai kutungua hizo 45, sawa ila kuna evidence zinaonyesha kuwa kuna drones zimetua salama ndani ya MoscowMbona zaidi ya 45 drones zimekuwa neutralized. Soma hapa
Large-scale Ukrainian drone attack on Moscow repelled – mayor (VIDEO)
Russia has repelled one of the largest Ukrainian drone attacks on Moscow, shooting down 11 aircraft overnight, officials saywww.rt.com