Kama report ya Ukraine imesema 50 na wao wamedungua 45 wewe inapata taarifa ganiKati ya ngapi? Maana wanadai kutungua hizo 45, sawa ila kuna evidence zinaonyesha kuwa kuna drones zimetua salama ndani ya Moscow
View attachment 3076152
Kama report ya Ukraine imesema 50 na wao wamedungua 45 wewe inapata taarifa ganiKati ya ngapi? Maana wanadai kutungua hizo 45, sawa ila kuna evidence zinaonyesha kuwa kuna drones zimetua salama ndani ya Moscow
View attachment 3076152
Kwani sasa hivi Russia anawapelekea raha?.Kupiga sio tatizo,shida ni kwamba watapata mafanikio Gani kupiga?
Zaidi watapata shida ya Bure maana Urusi wanaweza wakaifuta Kiev ktk uso wa Dunia.
Urusi anapigana vita hii kitakatifu mno.
Urusi pia Tulitegemea atoe kichapo cha Mbwa Koko yaani Nato wajinyee kabisa..Lakini ametuangusha sana mpaka sasa vita inapiganwa Ndani ya Urusi...Hili ni aibu sana...Urusi imeidhalilisha na onaidhailisha sana NATO.
Zamani nilikua najua kua NATO ni jeshi imara kabisa hapa duniani,kumbe sio kweli,NATO ni Kwa ajili ya vi nchi vidogo vidogo TU kama Iraq,Libya,Serbia na Afghanistan.
Na hata hivyo Wanavizidi kwa airpower tu,bila airpower NATO hamna kitu.
Najua watu watanipinga kwa hoja hii lkn ushahidi usio na punje ya shaka ni watoto wa uswazi watalaban.
Hawa wahuni waliwafurusha NATO kabisa Afghanistan na wakakimbia na kuacha silaha ambazo hata nchi ya Nigeria hawana.
Hizi zote ziko mikononi wa watalaban.
Kumbukeni kama kawaida ya USA hua haendi vitani bila misukule yake.
Alokwenda Afghanistan kuwasaka Alqaida na Talaban yeye akiongozana na nchi kibao,lkni nchi moja moja zikakimbia mapigano akabaki USA peke yake nae miaka mitatu iloyopita akakimbia,Tena sio kukimbia kwa maneno Bali kukimbia kabisa na kuacha silaha Bora kabisa.
Wakati anakimbia Afghanistan ilikua inaongozwa na vibaraka wale lkn kabla hajafika nyumbani kwake USA,Watalabani wakawatoa madarakani vibaraka wa USA na kukalia nchi Hadi Leo.
Natoka tamko kama Kuna mwana JF atabisha kwa maelezo haya na akaja na ushahidi USA hakukimbia Afghanistan nampa Tzs 500,000 taslim.
🤩😍🤗😎Urusi pia Tulitegemea atoe kichapo cha Mbwa Koko yaani Nato wajinyee kabisa..Lakini ametuangusha sana mpaka sasa vita inapiganwa Ndani ya Urusi...Hili ni aibu sana...
Kingine Urusi angeua wale wakuu wa Ukraine kama Israel inavyoua Hamas..
😎🤗😍🤩Al Jazeera ni pto Russia ila habari wanazoripoti huko Kursk hata wao wenyewe haziwapendezi
Ukweli mchungu! Kipanya upo??Nafikiri unamfuatilia huyu mchambuzi wa magharibi.
Will Kursk incursion affect Russia's ability to resupply in Ukraine?
Military analyst Sean Bell answers:
As part of its offensive in the Kursk region, Ukraine has destroyed three Russian bridges over the Seym river which would have been vital resupply routes for Russian forces in occupied territories.
However, the motive for destroying these arterial routes is probably more focused on protecting the Ukrainian forces involved in the operation, rather than disrupting Russian supply lines.
However, although the Ukrainian operation appears designed to have strategic effect, it involves a relatively small area of Russian territory.
Thus Russia will have a significant number of alternative logistic supply options to maintain the huge logistical support required to sustain its forces in occupied Ukraine.
In sum, it appears unlikely that the Kursk incursion will impact adversely on Russia's ability to support its forward-deployed forces.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nimetoka X muda si mrefu nmeona Ukraine imeharibu fuel depots, wameharibu na miundombinu kadhaa ndani ya Russia.Hii vita urusi alibugi pakubwa mno,Kuna habari nyingi sana,sema tu tunaona uvivu kuzileta hapa, fuel depots zinazoharibiwa kila siku..,air fields zinazotiwa kiberit..,viwanda mbalimbali vinavyounguzwa kila siku..,vituo vya reli vinavyochakazwa kila uchao, hizi ni habari hambazo Huwa naona uvivu kuleta hapa lakini Nina uhakika hata Putin akiangalia hizi hasara kubwakubwa anazozidi kulambishwa kila siku anaona kabisa kwamba alibugi!
Spetsnaz AkhmatLeo wamejaribu shambulizi na limefeli.
Nilisema humu Ukraine haina jeshi la ku contain battle kwasasa.
Mkawa mnabisha.View attachment 3076454View attachment 3076455
Kibano kinazidi kuendelea.Spetsnaz Akhmat
Russia anapiga na anakamata maeneo,wao wanqpiga halafu hawakomboi maeneo.Kwani sasa hivi Russia anawapelekea raha?.
Umenijibu vzr sana mkuu lkn kwa mujibu wa majibu Yako basi vita hii ni ngumu, sio rahisi kama tunavyoishabikia humu ni ngumu sana Ukraine kuinuinua mikono juu kwa sababu anauhakika wa kupata wapiganaji kutoka Kila pembe ya Dunia na pia misaada ya kijeshi ni uhakika, Hana hofu ya kupungukiwa wapiganaji lkn ukija kwa rusia naona kama support anayoipata kutoka kwa washirika wake ni kidogo sana, hatakua na uwezo wa kupigana muda mrefu mf: 10years na kwendelea. Nadhani lengo la NATO ni kuhakikisha vita hii inapiganwa kwa mda mrefu ili kuhakikisha wanamdhoofisha Russia.Ukraine inapokea wapiganaji kutoka sehemu mbali mbali za dunia hawa wale wakujitolea tu ikiwemo hata mie nawewe tukichoka kuishi tunaenda tu halaf fresh
Pia ukraine kuna wapiganaji wengine rasmi kabisa ambao walikua wapiganaji kwenye majeshi ya mataifa mengine mbali mbali huko wakastaafu ama wakaacha ama kiachishwa wanaenda kuunga mkono juhudi huko Ukraine (hili hata Russia pia lipo)
Tatu nadhani unasikia ama ulikua unasikia na utaendelea kusikia misaada mbali mbali ama vifurushi tokea G7 tokea NATO tokea UK tokea JAPAN nk (ya silaha na fedha)
Pia kuna mobilization ilifanyika ya hiyari ili kuongeza jeshi maana wali na wanafyekwa kwa wingi na kuna mobilization inafanyika kwa nguvu fuatilia kinachoendelea Odessa nakeengineko
Nadhani kwauchache nimekujibu