LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi pia Tulitegemea atoe kichapo cha Mbwa Koko yaani Nato wajinyee kabisa..Lakini ametuangusha sana mpaka sasa vita inapiganwa Ndani ya Urusi...Hili ni aibu sana...

Kingine Urusi angeua wale wakuu wa Ukraine kama Israel inavyoua Hamas..
Ni kweli Ukraine wameingia kwenye ardhi ya Urusi kwa msaada wa nchi zaidi ya 30 lakini mtu mzima na mwenye uelewa Mpana unatakiwa uone je huko kuingia kwao Kursk Kuna faida Gani kwao?
Nakuambia hivi hata USA kwenyewe Wanabishana wao Kwa wao je hiyo hatua ina faida Gani kwa ukraine?
Wameona Haina faida kwao Bali faida kwa Urusi.
Hii kitu inaitwa miscalculation.
Ukweli kwa wataalamu wa mambo ya vita wameipa Urusi credit kubwa sana ,kwani Kursk haikua na ulinzi mkubwa kwa sababu walidharau kabisa kua Ukraine hawatafikiria kuingia kwa sababu waljua kua watakua bize kukomboa miji Yao iliyotekwa na Urusi.
Lakini wakaingia.
Sasa credit kwa Urusi ni namna walivyowahi kwenda kuzima kwa haraka mpango uliokuwepo ambao kwa kweli ungeleta usumbufu mkubwa,mpango wa kuteka kinu Cha nuke na kuikontroo mazima Kursk,hivyo wangekua wanaipa masharti Urusi.
Lakini kwa wachunguzi wa masuala ya vita wanasifu uharaka wa Urusi kuweza kuingia Kursk na kuzima mipango ya Ukraine kabla hawajaleta madhara.
Kitendo Cha kujua lengo la mvamizi,kwenda haraka kuzima na kuweza Kuwazuia kusonga mbele na kuanza kuwapa kichapo Hadi wanapoteana hii ni hatua Bora sana kijeshi.
Hii inaonesha uharaka na wepesi wa jeshi la Russia.
Kumbuka hao Ukraine walioingia Kursk ninwale askari waliopata mafunzo Bora kabisa kutoka nchi za NATO Kwa standard za NATO.
Kama ule mpango ungekamilika Leo tungekua tunaiongelea vita hii Kwa lugha nyingine kabisa.
Kuvamiwa kijeshi sio ajabu lakini jinsi ya kujinasua ndio muhimu.
Kwa hapa hata Mimi nawapa Urusi heko kubwa.
Na Kuna wataalamu wanakuambia Ukraine bila kupewa taarifa muhimu na USA wala Hana uwezo wa kuingia Kursk.
Ndugu yangu narudi pale pale tuache ushabiki pembeni USA Ina technologia kubwa sana ktk masuala ya kijeshi,ukija kwa UK, France na hata German na baadhi ya nchi za Eu hao wakikupa sapoti ujue sapoti yao
sio ya kitoto.
Kwa nchi kama Urusi kuwa contain hao west ujue Urusi anastahili heshima yake.
Wewe unaweza kuwachukulia poa lkn NATO wenyewe wanajua Urusi sio poa kabisa.
Hebu jiulize kidogo TU,
Kama USA UK na France waliweza kuzuia baadhi ya makombora ya Iran yasipige Israel,wanashindwa Nini Sasa kumsaidia Ukraine Kwa kuyazuia makombora ya Urusi yasiipige Ukraine?
Hebu jiulize kama wanampa Ukraine makombora, kwa Nini wanamzuia Ukraine asiyatumie makombora hayo kupiga ndani ya Urusi?
Ukiona hivyo ujue Urusi sio nchi nyepesi.
Ukraine wameingia Kursk kwa sababu ya dharau za Urusi tu kutokuweka ulinzi wa kutosha ktk mji huo,walidhani Ukraine hawatathubutu.
Sasa jiulize hivyo vikosi vya Urusi vinavyowafurusha wanajeshi wa Ukraine vimetoka wapi?

Ushahidi.

US, UK, Poland Took Part in Preparing Ukraine’s Operation in Kursk - Russian Foreign Intel
Yesterday.


The Kiev regime planned the attack with the participation of the US and NATO, Russian presidential aide Nikolai Patrushev earlier said.
Ukraine’s operation in Russia’s Kursk region was prepared with the participation of the US, UK, and Polish intelligence services, the Russian Foreign Intelligence Service (SVR) said.
"According to available information, the operation of the Ukrainian Armed Forces in the Kursk region was prepared with the participation of the US, British, and Polish intelligence services. The units involved in it underwent combat coordination in training centers in the UK and Germany. Military advisers from NATO countries are providing assistance in managing Ukraine’s units that have invaded Russian territory, and in using Western weapons and military equipment," the agency told Russian media.

NATO countries are also providing the Ukrainian military with satellite reconnaissance data on the deployment of Russian troops in the area of the operation, the SVR added.
As the situation on the front deteriorates for Ukrainian troops, Kiev's Western handlers have been pushing it to move combat operations deep into Russian territory in recent months, Russia's Foreign Intelligence Service said. One of the goals was to provoke an upsurge in anti-government sentiment and influence domestic policy in the country.
 
22 Aug,
Russian drone demolishes Ukrainian mobile mortar (VIDEO)
Lancet makes precision strike on enemy artillery vehicle in Kursk Region
Source: the Russian Defense Ministry
The Russian Defense Ministry has released a video of a Lancet drone destroying a Ukrainian truck-

mounted mortar somewhere in Russia’s Kursk Region.

Kiev sent thousands of troops and dozens of vehicles across the border earlier this month, hoping to divert Russian reserves. Moscow responded by hunting down the intruders and pressing the offensive in Donbass.

The ten-second video released on Thursday afternoon shows a Lancet striking the mobile artillery platform parked on a street of a civilian village. An armored car right behind the truck is also hit.

A Russian reconnaissance drone captured the moment of impact and the resulting destruction of the vehicle, while several Ukrainian soldiers scattered into nearby houses.


Source: the Russian Defense Ministry
Moscow has published dozens of videos showing the destruction of Ukrainian tanks, infantry fighting vehicles, artillery and air defense launchers over the past two weeks. Among the targets have been Stryker armored vehicles of US manufacture, as well as HIMARS rocket artillery.

The Lancet is a loitering munition developed by a subsidiary of Kalashnikov Concern. It debuted at the 2019 Army expo in Moscow and was first used in Syria the following year. Moscow has dramatically scaled up its production during the Russia-Ukraine conflict and used it on the battlefield to take out even the most modern Western-made vehicles donated to Kiev
 
Three Units of Ukraine’s National Guard Refuse to Obey Orders in Donetsk Region – Reports
Yesterday

Russia’s steady advance throughout the Donetsk People’s Republic (DPR) is shown not just by Russian troops liberating settlement after settlement, by also by Ukrainian soldiers refusing to follow the commands of their superiors.
Three companies of the Ukrainian National Guard have refused to obey orders to fight Russian forces in Donetsk.
The men, led by their commanders, refused to carry out combat missions near Krasnoarmeysk (Pokrovsk in Ukrainian), located in the Kiev-controlled part of the DPR, Strana reported, quoting a serviceman of the second battalion of the 15th National Guard Brigade.
“In mid-August, our second battalion was transferred to Pokrovsk. We immediately took up positions, right from the wheels," a Ukrainian soldier named Vladislav said.

"But the trouble was that we had already arrived at Pokrovsk with a huge manpower shortage," he added. "After a week of fighting there were even fewer of us, 10 to 13 men in a company, including commanders.”
Vladislav said it was impossible to defend the positions, as Ukrainian troops were outnumbered 30 to one by the Russian forces. He said they were regularly under attack.
 
Jana waliovamia kursk waliokufa walikua 4400 Leo wamefika 4700
Hapa sio watu TU wanaokufa,Bali wanakufa watu na vifaa.

Ukraine Loses Over 4,700 Troops During Operation in Kursk Area - MoD

MOSCOW (Sputnik) - The Ukrainian armed forces have lost more than 4,700 servicemen and 68 tanks since the beginning of the operation in the Kursk area, the Russian Ministry of Defense (MoD) said on Thursday.
"In total, during the military operations in the Kursk area, the enemy lost more than 4,700 servicemen, 68 tanks, 27 infantry fighting vehicles, 53 armored personnel carriers, and 336 armored combat vehicles," the MoD said in a statement.
Over the past day, Ukraine lost more than 300 servicemen, 23 armored vehicles, including three tanks, in the Kursk region, the ministry said.
Units of the Russian Battlegroup Sever repelled attacks by Ukrainian troops near two villages in the Kursk region and thwarted attempts by Ukrainian troops to attack in five directions in the region, the ministry said, adding that Kiev lost over 45 soldiers and one tank.
 
Huko Donestk na Lugansk
Wa Ukraine wanazidi kufa TU.
Hii sio poa kabisa.hatushabikii vita Bali tunatoa taarifa ili watu wajue kua vita sio nzuri

Ukraine Loses Up to 765 Soldiers in Fighting With Russia's Yug Group - Russian Military

MOSCOW, August 22 (Sputnik) - Russia's Yug group of forces has eliminated up to 765 Ukrainian servicemen over the past 24 hours, the Russian Defense Ministry said on Thursday.
"The losses of the Ukrainian armed forces amounted to up to 765 troops, four pickup trucks, one Grad MLRS launcher [among other military losses in battles with the southern group]," the ministry said in a statement.
The Tsentr group of forces has taken control of the settlement of Mezhevoe in the Donetsk People's Republic, eliminating up to 640 Ukrainian troops, the statement read, adding that the Zapad group of forces has eliminated up to 440 Ukrainian troops.
Additionally, Kiev has lost up to 130 servicemen in battles with the Vostok group.
 
Nimetoka X muda si mrefu nmeona Ukraine imeharibu fuel depots, wameharibu na miundombinu kadhaa ndani ya Russia.

Hii vita italeta hasara kubwa ndani ya Russia.
Ila ndani ya ukraine naona inaendelea kuleta faida kubwa sana kama iliopeleka kule odessa mariopol bakhmut soledar nk

Wachafuzi uchwara kwenye ubora wenu kama kawaida

Ukraine baada ya miezi miwili wanaipiga Russia mara moja ama tano ila mnakuja hapa kuchafua kwamba Russia inapata au itapata hasara sana

Hongereni wachafuzi😀
 
Umenijibu vzr sana mkuu lkn kwa mujibu wa majibu Yako basi vita hii ni ngumu, sio rahisi kama tunavyoishabikia humu ni ngumu sana Ukraine kuinuinua mikono juu kwa sababu anauhakika wa kupata wapiganaji kutoka Kila pembe ya Dunia na pia misaada ya kijeshi ni uhakika, Hana hofu ya kupungukiwa wapiganaji lkn ukija kwa rusia naona kama support anayoipata kutoka kwa washirika wake ni kidogo sana, hatakua na uwezo wa kupigana muda mrefu mf: 10years na kwendelea. Nadhani lengo la NATO ni kuhakikisha vita hii inapiganwa kwa mda mrefu ili kuhakikisha wanamdhoofisha Russia.
Ukweli nikwamba vita ningumu sana na vita ningumu haswaa kwa pande zote

Ila bila ushabiki kwamaoni ufuatiliaji na mtazamo wangu ukraine kwake hali tete zaidi na sana

Kuhusiana na misaada kweli ukraine anapokea misaada ya majeshi na silaha tokea sehemu mbali mbali ila hili haliifanyi na halitaifanya russia kushindwa kuendelea kupigana na ukraine hata kwamiaka kumi kama ikibidi

Ukraine anategemea wahisani kwa % zote baada ya uwezo wake wakijeshi kufyekwa

Russia tokea mwanzo alijua kama hii SMO itaingiliwa na hao watu kwahio alijua anaingia vipi na ataimalizaje hii vita kuhusiana na silaha Russia ni taifa kubwa kwenye uga wa silaha anasilaha nyingi sana zakutosha kupigana muda mwingi zaidi ya hio miaka kumi

Kwa sapoti anayopewa ukraine kama ingekua anapigana nataifa jengine nje ya Russia na Americant napengine uchina basi huyo anaepigana nae angekua kashapigwa muda huu

Russia bado yupo kwenye SMO haja change mode kwenda kwenye vita kamili Russia sioni akishindwa kuiendesha vita kwamuda wa miaka kumi ijayo na hata kama itazidi miaka kumi

Kwasasa Russia kazidisha uzalishaji wasilaha maradufu sababu anajua hii vita anayo sanaaa

Pia ukraine sidhanij kama anaweza akapewa sapoti na hao wanaompa kwahio miaka kumi leo german kashapunguza misaada ambae ndio sponsa namba mbili

Mwisho nnachokiamini vita hii tunayo sana sijajua itaisha lini ila nna uhakika ukraine itapigwa na itakubali kupigwa na maeneo yake yatamegwa nayatakua nisehemh halali kabisa ya Russia
 
Nimetoka X muda si mrefu nmeona Ukraine imeharibu fuel depots, wameharibu na miundombinu kadhaa ndani ya Russia.

Hii vita italeta hasara kubwa ndani ya Russia.
Kwa kweli ndani ya Russia imekuwa ni Majanga yasiyoisha.,sema tu habari nyingine tunazisoma na kuziacha hukohuko Ili kuwapunguzia presha pro- Russia hapa jamvini.nadhani uozo wa urusi unaanzia ndanindani kabisa,watu wa ndani ya urusi ndio Wanashirikiana na Ukraine kuihujum Russia, maana haliwezekan kila siku Ukraine analenga variable and sensitive target bila kupata support ya wenyeji
 
Ukweli nikwamba vita ningumu sana na vita ningumu haswaa kwa pande zote

Ila bila ushabiki kwamaoni ufuatiliaji na mtazamo wangu ukraine kwake hali tete zaidi na sana

Kuhusiana na misaada kweli ukraine anapokea misaada ya majeshi na silaha tokea sehemu mbali mbali ila hili haliifanyi na halitaifanya russia kushindwa kuendelea kupigana na ukraine hata kwamiaka kumi kama ikibidi

Ukraine anategemea wahisani kwa % zote baada ya uwezo wake wakijeshi kufyekwa

Russia tokea mwanzo alijua kama hii SMO itaingiliwa na hao watu kwahio alijua anaingia vipi na ataimalizaje hii vita kuhusiana na silaha Russia ni taifa kubwa kwenye uga wa silaha anasilaha nyingi sana zakutosha kupigana muda mwingi zaidi ya hio miaka kumi

Kwa sapoti anayopewa ukraine kama ingekua anapigana nataifa jengine nje ya Russia na Americant napengine uchina basi huyo anaepigana nae angekua kashapigwa muda huu

Russia bado yupo kwenye SMO haja change mode kwenda kwenye vita kamili Russia sioni akishindwa kuiendesha vita kwamuda wa miaka kumi ijayo na hata kama itazidi miaka kumi

Kwasasa Russia kazidisha uzalishaji wasilaha maradufu sababu anajua hii vita anayo sanaaa

Pia ukraine sidhanij kama anaweza akapewa sapoti na hao wanaompa kwahio miaka kumi leo german kashapunguza misaada ambae ndio sponsa namba mbili

Mwisho nnachokiamini vita hii tunayo sana sijajua itaisha lini ila nna uhakika ukraine itapigwa na itakubali kupigwa na maeneo yake yatamegwa nayatakua nisehemh halali kabisa ya Russia
Mdiyo mkuu

Ila kumbuka Ukrane anaelekea mwezi mmoja tangu tangu aivamie rasimi Russia

Subiri na yeye ifike miaka 2 kama ilivyo uvamizi kwa Russia ndani ya aridhi ya Ukrane halafu tuje tulinganishe uyasemayo
 
🇺🇦 Day 910 of the war in Ukraine!
Today, Ukrainian troops carried out a successful operation at the Russian military airfield Marinovka in the Volgograd region. This was a Russian military airfield from which Russian aircraft launched missiles at Ukraine. It is known that there were 29 military aircraft at the airfield yesterday: 14 SU-24 and 15 SU - 34.
Ukrainian troops carried out an attack on this airfield with drones in several waves. Oddly enough, this airfield was not well covered by air defense systems and even slow-moving drones were able to break through and get into the fuel depot. This depot was located only 300 meters from the aircraft parking lot.
In addition, some Ukrainian drones were filled with small balls and when the drone exploded over the aircraft, the balls flew apart and simply pierced these aircraft.
According to the already published pictures, there are no more Russian aircraft left there after the Ukrainian attack on this airfield.
Photo: satellite photo of Russian air base destroyed by Ukrainian forces t
1724371697661.jpg
oday.
 
Mambo ni moto! Kumbuka hawa ni wamagharibi ndiyo wanatoa taarifa! Hiyo ni jana!

Ukraine says Russia advancing fast on key city​


Communities in and around Pokrovsk are being urged to flee within the next two weeks as Russian forces push forward. Pokrovsk is now “the hottest” front of the war.

“The enemy is advancing faster than expected,” Tretiak said in a radio interview on Tuesday. “So we are trying to do as much as possible to evacuate people by the end of the week.”

By Olga Voitovych, Lauren Kent, Sergey Gudkov and Lizzy Yee, CNN

Updated 10:20 PM EDT, Thu August 22, 2024

 
What even worse! Ndani ya mataifa West hakuna anayethubutu tena kutamka ceisefire au negotiations Tena, naona washirika wachache wa Putin kama Narendra modi na lukashenko wanajaribu kuliongelea hili!
Putin wahuni wamemkamata korodani akifurukuta tu wanazinyofoa imagine vita vina zaid ya mwaka kitu ambacho hakukitegeme na Leo hii keshaanza kuingiliwa chumbani kwake inaleta picha mbaya sana.
 
In the Russian swamps, they have already recognized the inability to reconquer the territories occupied by Kursk by the Armed Forces of Ukraine and canceled the elections. The liberation of Ukraine continues. 😃😄
 
Mambo ni moto! Kumbuka hawa ni wamagharibi ndiyo wanatoa taarifa! Hiyo ni jana!

Ukraine says Russia advancing fast on key city​


Communities in and around Pokrovsk are being urged to flee within the next two weeks as Russian forces push forward. Pokrovsk is now “the hottest” front of the war.

“The enemy is advancing faster than expected,” Tretiak said in a radio interview on Tuesday. “So we are trying to do as much as possible to evacuate people by the end of the week.”

By Olga Voitovych, Lauren Kent, Sergey Gudkov and Lizzy Yee, CNN

Updated 10:20 PM EDT, Thu August 22, 2024

In the Russian swamps, they have already recognized the inability to reconquer the territories occupied by Kursk by the Armed Forces of Ukraine and canceled the elections. The liberation of Ukraine continues. 😃😄
 
Back
Top Bottom