Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Ukraine wameingia kwenye ardhi ya Urusi kwa msaada wa nchi zaidi ya 30 lakini mtu mzima na mwenye uelewa Mpana unatakiwa uone je huko kuingia kwao Kursk Kuna faida Gani kwao?Urusi pia Tulitegemea atoe kichapo cha Mbwa Koko yaani Nato wajinyee kabisa..Lakini ametuangusha sana mpaka sasa vita inapiganwa Ndani ya Urusi...Hili ni aibu sana...
Kingine Urusi angeua wale wakuu wa Ukraine kama Israel inavyoua Hamas..
Ndio ushindi pekee huu wa ukraine na pro zake 😀
Ila ndani ya ukraine naona inaendelea kuleta faida kubwa sana kama iliopeleka kule odessa mariopol bakhmut soledar nkNimetoka X muda si mrefu nmeona Ukraine imeharibu fuel depots, wameharibu na miundombinu kadhaa ndani ya Russia.
Hii vita italeta hasara kubwa ndani ya Russia.
Ukweli nikwamba vita ningumu sana na vita ningumu haswaa kwa pande zoteUmenijibu vzr sana mkuu lkn kwa mujibu wa majibu Yako basi vita hii ni ngumu, sio rahisi kama tunavyoishabikia humu ni ngumu sana Ukraine kuinuinua mikono juu kwa sababu anauhakika wa kupata wapiganaji kutoka Kila pembe ya Dunia na pia misaada ya kijeshi ni uhakika, Hana hofu ya kupungukiwa wapiganaji lkn ukija kwa rusia naona kama support anayoipata kutoka kwa washirika wake ni kidogo sana, hatakua na uwezo wa kupigana muda mrefu mf: 10years na kwendelea. Nadhani lengo la NATO ni kuhakikisha vita hii inapiganwa kwa mda mrefu ili kuhakikisha wanamdhoofisha Russia.
Kwa kweli ndani ya Russia imekuwa ni Majanga yasiyoisha.,sema tu habari nyingine tunazisoma na kuziacha hukohuko Ili kuwapunguzia presha pro- Russia hapa jamvini.nadhani uozo wa urusi unaanzia ndanindani kabisa,watu wa ndani ya urusi ndio Wanashirikiana na Ukraine kuihujum Russia, maana haliwezekan kila siku Ukraine analenga variable and sensitive target bila kupata support ya wenyejiNimetoka X muda si mrefu nmeona Ukraine imeharibu fuel depots, wameharibu na miundombinu kadhaa ndani ya Russia.
Hii vita italeta hasara kubwa ndani ya Russia.
Mdiyo mkuuUkweli nikwamba vita ningumu sana na vita ningumu haswaa kwa pande zote
Ila bila ushabiki kwamaoni ufuatiliaji na mtazamo wangu ukraine kwake hali tete zaidi na sana
Kuhusiana na misaada kweli ukraine anapokea misaada ya majeshi na silaha tokea sehemu mbali mbali ila hili haliifanyi na halitaifanya russia kushindwa kuendelea kupigana na ukraine hata kwamiaka kumi kama ikibidi
Ukraine anategemea wahisani kwa % zote baada ya uwezo wake wakijeshi kufyekwa
Russia tokea mwanzo alijua kama hii SMO itaingiliwa na hao watu kwahio alijua anaingia vipi na ataimalizaje hii vita kuhusiana na silaha Russia ni taifa kubwa kwenye uga wa silaha anasilaha nyingi sana zakutosha kupigana muda mwingi zaidi ya hio miaka kumi
Kwa sapoti anayopewa ukraine kama ingekua anapigana nataifa jengine nje ya Russia na Americant napengine uchina basi huyo anaepigana nae angekua kashapigwa muda huu
Russia bado yupo kwenye SMO haja change mode kwenda kwenye vita kamili Russia sioni akishindwa kuiendesha vita kwamuda wa miaka kumi ijayo na hata kama itazidi miaka kumi
Kwasasa Russia kazidisha uzalishaji wasilaha maradufu sababu anajua hii vita anayo sanaaa
Pia ukraine sidhanij kama anaweza akapewa sapoti na hao wanaompa kwahio miaka kumi leo german kashapunguza misaada ambae ndio sponsa namba mbili
Mwisho nnachokiamini vita hii tunayo sana sijajua itaisha lini ila nna uhakika ukraine itapigwa na itakubali kupigwa na maeneo yake yatamegwa nayatakua nisehemh halali kabisa ya Russia
Na bado muda sio mrefu tutaanza kuongea lugha moja naona akili zinaaza kuwarudia taratibu.Ukweli nikwamba vita ningumu sana na vita ningumu haswaa kwa pande zote
What even worse! Ndani ya mataifa West hakuna anayethubutu tena kutamka ceisefire au negotiations Tena, naona washirika wachache wa Putin kama Narendra modi na lukashenko wanajaribu kuliongelea hili!Na bado muda sio mrefu tutaanza kuongea lugha moja naona akili zinaaza kuwarudia taratibu.
Putin wahuni wamemkamata korodani akifurukuta tu wanazinyofoa imagine vita vina zaid ya mwaka kitu ambacho hakukitegeme na Leo hii keshaanza kuingiliwa chumbani kwake inaleta picha mbaya sana.What even worse! Ndani ya mataifa West hakuna anayethubutu tena kutamka ceisefire au negotiations Tena, naona washirika wachache wa Putin kama Narendra modi na lukashenko wanajaribu kuliongelea hili!
In the Russian swamps, they have already recognized the inability to reconquer the territories occupied by Kursk by the Armed Forces of Ukraine and canceled the elections. The liberation of Ukraine continues. 😃😄Mambo ni moto! Kumbuka hawa ni wamagharibi ndiyo wanatoa taarifa! Hiyo ni jana!
Ukraine says Russia advancing fast on key city
Communities in and around Pokrovsk are being urged to flee within the next two weeks as Russian forces push forward. Pokrovsk is now “the hottest” front of the war.
“The enemy is advancing faster than expected,” Tretiak said in a radio interview on Tuesday. “So we are trying to do as much as possible to evacuate people by the end of the week.”
By Olga Voitovych, Lauren Kent, Sergey Gudkov and Lizzy Yee, CNN
Updated 10:20 PM EDT, Thu August 22, 2024