waache kujitekenya koloni la Nato ukraine wairudishe crimea tu ndio tutajua wana hoja wajibiweThe Russian occupiers are still blocked at the aggregate plant in Vovchansk, towards Kharkiv, the Ukrainians still didn't want to turn it into dust, because they would be more interested in living Russian soldiers to bring more AZOV soldiers home - ISW
acha ngonjera yaani wanajeshi wa ukraine 300 wawateke na kuwazunguka warusi 1000, labda warusi wa kwamtogole, wameshindwa kureclaim ardhi yao warudishe hata donbass tujue wanapumua⚡Russian Telegram channels report that AFU has taken control of the village of Krasnooktyabrskoye in Russia's Kursk region.
⚡Thus, up to a thousand Russian military personnel will be surrounded. It is possible to leave the encirclement only through the river Seim, but the AFU destroys pontoon crossings.
⚡In the Kursk region, the Russian army is now led by three men - Alaudinov, Evkurov and Dyumin. They are the ones who will be blamed in the end.
Kweli russia yenye satellite huko angani inayolinda mipaka yake na nchi yake kwaujumla kwamba ilishindwa kunusa movements ya wanajeshi zaidi ya ya 10k wa Ukraine
Tena wanajeshi hawakustukiza kama hamas walivyoingia ghaza kuvuusha mpaka majeshi 10k wakiwa na magari na vifaa vyengine sio suala la nusu saa hata kidogo kwamba Russia hawakuhisi kitu
Ukraine acha wavune walichokipanda kwakweli walitegwa wakaingia kingi huko wanapondwa pondwa balaa haswaaaa
Jana wanajeshi wapatao 200 tu walitaka kupita mpaka wa bryansk kule wakastukiwa wakafyekwa wakakimbia na kufa baadae wakaji regroup waingie tena wakafyekwa wakakimbia
Ila kursk majeshi zaidi ya 10k ndio Russia haikuhisi mpaka ikavamiwa kweli acha tuone
Na Ukraine kwamba wanataka wateke Russia kwa majeshi 20k🤔
Ndio shida ya wanasiasa kuingilia fani za watu hizi
Mwisho Ukraine wacha wafe maadam waliyataka
Wanajeshi wa NATO wanakufa zaidi kuliko wa urusiKuna vita wanajeshi hawafi?!
Masponsa wanaogopa kutoa ruhsa ndio shida huanzia hapaWapige makombora kabisa hapo Moscow na wao wasikie utamu wa vita
Ukraine inapokea wapiganaji kutoka sehemu mbali mbali za dunia hawa wale wakujitolea tu ikiwemo hata mie nawewe tukichoka kuishi tunaenda tu halaf freshHebu nisaidie ndgu, kwani jeshi la Ukraine lilikua na wanajeshi wangapi? Maana Toka vita imeanza na idadi ya wanajeshi mnaotwambia wanafyekwa Kila siku sidhani kama Ukraine Bado inawapiganaji. Sasa swali hao wanaoipa urusi upinzani mpaka Leo wameshindwa kumaliza operation Yao ni kina nani??
Lengo ilikua kuifanya urusi itoe askari ukraine ipeleke kursk,wahuni wanaendeleza kichapo tu huko donesk,watarudi Kursk baadaeUkrainian forces are working to encircle approximately 3,000 Russian soldiers in Kursk Oblast after destroying three bridges over the Seym River, potentially dealing a significant blow to the Kremlin.
Ungeweka na takwimu kabisa ili kuipa nguvu hoja yako. Kwamba wanajeshi wa NATO wamekufa wangapi na upande wa Russia wamepoteza kiasi gani.Wanajeshi wa NATO wanakufa zaidi kuliko wa urusi
AkhmatWatu wa upinde wanatafutwa popote pale walipojificha kwenye mkoa wa Kursk.uzuri wameanza wenyewe kukimbia vijiji😂😂
Leo wamejaribu shambulizi na limefeli.Dikteta ameshikwa mbavu mpaka wafuasi wake wamekuwa wapole siku hizi
Kupiga sio tatizo,shida ni kwamba watapata mafanikio Gani kupiga?Wapige makombora kabisa hapo Moscow na wao wasikie utamu wa vita