Ni kweli Ukraine wameingia kwenye ardhi ya Urusi kwa msaada wa nchi zaidi ya 30 lakini mtu mzima na mwenye uelewa Mpana unatakiwa uone je huko kuingia kwao Kursk Kuna faida Gani kwao?
Nakuambia hivi hata USA kwenyewe Wanabishana wao Kwa wao je hiyo hatua ina faida Gani kwa ukraine?
Wameona Haina faida kwao Bali faida kwa Urusi.
Hii kitu inaitwa miscalculation.
Ukweli kwa wataalamu wa mambo ya vita wameipa Urusi credit kubwa sana ,kwani Kursk haikua na ulinzi mkubwa kwa sababu walidharau kabisa kua Ukraine hawatafikiria kuingia kwa sababu waljua kua watakua bize kukomboa miji Yao iliyotekwa na Urusi.
Lakini wakaingia.
Sasa credit kwa Urusi ni namna walivyowahi kwenda kuzima kwa haraka mpango uliokuwepo ambao kwa kweli ungeleta usumbufu mkubwa,mpango wa kuteka kinu Cha nuke na kuikontroo mazima Kursk,hivyo wangekua wanaipa masharti Urusi.
Lakini kwa wachunguzi wa masuala ya vita wanasifu uharaka wa Urusi kuweza kuingia Kursk na kuzima mipango ya Ukraine kabla hawajaleta madhara.
Kitendo Cha kujua lengo la mvamizi,kwenda haraka kuzima na kuweza Kuwazuia kusonga mbele na kuanza kuwapa kichapo Hadi wanapoteana hii ni hatua Bora sana kijeshi.
Hii inaonesha uharaka na wepesi wa jeshi la Russia.
Kumbuka hao Ukraine walioingia Kursk ninwale askari waliopata mafunzo Bora kabisa kutoka nchi za NATO Kwa standard za NATO.
Kama ule mpango ungekamilika Leo tungekua tunaiongelea vita hii Kwa lugha nyingine kabisa.
Kuvamiwa kijeshi sio ajabu lakini jinsi ya kujinasua ndio muhimu.
Kwa hapa hata Mimi nawapa Urusi heko kubwa.
Na Kuna wataalamu wanakuambia Ukraine bila kupewa taarifa muhimu na USA wala Hana uwezo wa kuingia Kursk.
Ndugu yangu narudi pale pale tuache ushabiki pembeni USA Ina technologia kubwa sana ktk masuala ya kijeshi,ukija kwa UK, France na hata German na baadhi ya nchi za Eu hao wakikupa sapoti ujue sapoti yao
sio ya kitoto.
Kwa nchi kama Urusi kuwa contain hao west ujue Urusi anastahili heshima yake.
Wewe unaweza kuwachukulia poa lkn NATO wenyewe wanajua Urusi sio poa kabisa.
Hebu jiulize kidogo TU,
Kama USA UK na France waliweza kuzuia baadhi ya makombora ya Iran yasipige Israel,wanashindwa Nini Sasa kumsaidia Ukraine Kwa kuyazuia makombora ya Urusi yasiipige Ukraine?
Hebu jiulize kama wanampa Ukraine makombora, kwa Nini wanamzuia Ukraine asiyatumie makombora hayo kupiga ndani ya Urusi?
Ukiona hivyo ujue Urusi sio nchi nyepesi.
Ukraine wameingia Kursk kwa sababu ya dharau za Urusi tu kutokuweka ulinzi wa kutosha ktk mji huo,walidhani Ukraine hawatathubutu.
Sasa jiulize hivyo vikosi vya Urusi vinavyowafurusha wanajeshi wa Ukraine vimetoka wapi?
Ushahidi.
US, UK, Poland Took Part in Preparing Ukraine’s Operation in Kursk - Russian Foreign Intel
Yesterday.
The Kiev regime planned the attack with the participation of the US and NATO, Russian presidential aide Nikolai Patrushev earlier said.
Ukraine’s operation in Russia’s Kursk region was prepared with the participation of the US, UK, and Polish intelligence services, the Russian Foreign Intelligence Service (SVR) said.
"According to available information, the operation of the Ukrainian Armed Forces in the Kursk region was prepared with the participation of the US, British, and Polish intelligence services. The units involved in it underwent combat coordination in training centers in the UK and Germany. Military advisers from NATO countries are providing assistance in managing Ukraine’s units that have invaded Russian territory, and in using Western weapons and military equipment," the agency told Russian media.
NATO countries are also providing the Ukrainian military with satellite reconnaissance data on the deployment of Russian troops in the area of the operation, the SVR added.
As the situation on the front deteriorates for Ukrainian troops, Kiev's Western handlers have been pushing it to move combat operations deep into Russian territory in recent months, Russia's Foreign Intelligence Service said. One of the goals was to provoke an upsurge in anti-government sentiment and influence domestic policy in the country.