Ufaransa wamemkamata Founder wa telegram.Leo telegram inazingua Sana au ni mimi tu . Sijapata habari mpya tangu asubuhi.
Yawezekana Kuna figure inaweza kuwa amekamatwa na Durov atumike kama leverage ya exchange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufaransa wamemkamata Founder wa telegram.Leo telegram inazingua Sana au ni mimi tu . Sijapata habari mpya tangu asubuhi.
Naona umeanza kujifariji mwenyewe, sio mbaya maana ukikosa furaha basi jipe mwenyewe furahaHistoria imeshaandikwa kwamba kwa mara ya kwanza jeshi la nchi ya kigeni limevamia urusi since world war II..,kama imemchukua urusi zaidi ya miaka 2 kuikomboa Donbass,na bado mpaka Sasa hajaweza,huko Kursk nadhani itamchukua zaidi ya miaka 5
N.B.huko Donbass urusi alikuwa akijarbu kukomboa tangu mwaka 2014 kwa kutumia mamluki, iliposhindikana akaamua ajitokeze yeye mwenyewe halisi Katika rangi yake mwenyewe lakini bado Ngoma ngumu.,narudia Tena urusi bado ana safar ndefu sana kuikomboa Kursk
Baba yangu sio choko, fala weweDogo ni nani? Mimi babako
Well analysis mkuuYaani nyie pro USA na NATO sijui hua ni utoto au kutokua na ufahamu wa kutosha wa Geopolitics ndio hua unawasumbua!?
Hapa ukweli umeongea kitoto mno,hoja Yako imekosa weledi na urali.
Hivi Kwa akili za kitoto kabisa ,hasa watoto wa darasa la sita au la saba wanapojadili mada hii hawawezi kutoa ulinganifu dhaifu kama wako.
Hivi kweli mmawezaje kulinganisha Nchi dhaifu kijeshi ya Iraq enzi za Sadam Husein dhidi ya nchi za NATO?
Kweli mtu umemaliza hata form four TU katika Discussion hawezi kulinganisha Iraq na NATO.
Nchi ya Iraq kuilinganisha na NATO hakiwezi kutoa majibu sahihi kua NATO ni umoja wenye nguvu za kijeshi Bora kabisa hapa duniani,kwa sababu Iraq ni nchi dhaifu sana ,wala haikua inaunda silaha zake zaidi ya ku modify vikombora vichache kutoka Urusi.
Waliweza kumodify kombora la kizamani la USSR la Scud B na kuliita El Abbas na jingine El Hussein, na vijisilaha vingine vidogo vidogo.
zaidi ya hapo Iraq hawatengenezi silaha.
Iraq hawakua na mfumo wa maana wa ulinzi wa anga ,hawakua na navy ya maana,wala airforce ya maana kuweza kulinganisha na airforce,navy na ground forcces ya NATO.
Hebu fikiria vizuri wewe mtoto, USA ambayo nyinyi mnaamini ndio number one super power inatengeneza Kila aina ya silaha hapa duniani na silaha nyingine ambazo hata nchi nyingine hawana,hebu fikiria nchi kama UK, German na nchi nyingine zote za NATO Kwa wakati huo huku ukiiondoa ufaransa ambayo haikuenda vitani pamoja na NATO,zitazame nchi hizo uwezo wao wa kuzalisha silaha na uwezo wao kijeshi kisha zilinganishe na Iraq ndio mtajua kua nyie ni watu wa aina Gan.
Leo hii NATO kupata ushindi dhidi ya nchi kama Iraq hii ni aibu kubwa mno.
Kumbuka Iraq haikua ikisaidiwa na nchi yoyote hapa duniani.
Hoja ya pili katika makala Yako ni kuilinganisha NATO na Urusi.
Hoja hii moja Kwa moja inaipa ukuu na heshima kubwa mno Urusi.
Na hoja hii ndio inatufungia mjadala wetu juu ya nani zaidi kati ya Urusi na USA.
Nadhani nyie pro NATO wote humu hua mnaipa Urusi heshima kubwa mno kwa kuilinganisha na NATO.
Kwa sababu nyote humu na sehemu nyingine duniani hua mnasema USA ndio superpower Sasa kama super power wenu peke yake hawezi kukabiliana peke yake na Urusi mpaka awe na ushirikiano na nchi nyingine kubwa kijeshi duniani za ulaya ambazo ndio zinaunda umoja wa NATO, basi maana yake huyo superpower wenu haiwezi Urusi akiwa peke yake.
Haya sio maneno yangu Bali ni maneno Yako wewe mwenyewe hapo juu,umesema kua NATO wakiingia vitani kamili dhidi ya Urusi basi Urusi itapigwa na Putin atanyongwa kama Sadam Husein.
Hapa wewe mwenyewe unakili kwa kinywa chako kua hakuna nchi moja ya ulaya Magharibi peke yake inaweza kuishinda Urusi peke yake bila kushirikiana na nchi nyingine zinazounda umoja unaoitwa NATO.
Kwamba hata super power wenu USA hawezi kuishinda Urusi bila nchi nyingine zinazounda NATO.
Hii ndio tafasiri ya hoja zako.
Mimi nilitarajia ungesema kua USA akiingia vitani na Urusi USA itaishinda Urusi na kumnyonga Putin.
Hapa Kwa maana nyingine umemaanisha kua Urusi moja inaweza kushindwa na nchi 32 pekee.
Nchi moja peke yake haiwezi kuipiga Urusi.
Labda nikuambie kitu Cha mwisho hapa unqpoona sio NATO pekee inayokabiliana na Urusi,Bali ni all collective west,sio TU wanapeleka silaha,Bali pia wameiwekea vikwazo ili idhoofike kiuchumi ishindwe kugharamia vita.
je kwa akili Yako wewe unavyoona Urusi hii ya Putin Hadi tarehe hii ya Leo imeshindwa kugharamia vita baada ya kuwekewa vikwazo?
Unajua kua USA akitaka kupitisha ajenda yake hashindwi?
alikataliwa na UN kua Iraq isipigwe kwa sababu Haina WMD lakini kwa ubabe USA wakaenda kumpiga.
Sasa kwa Nini wasimpe Ukraine uanachama wa NATO kibabe kisha wapate sababu ya kuingia vitani kama NATO, ili kumpiga Urusi?
Kumbuka Kuwait na Kosovo hazikua Wanachama wa NATO lkn NATO walizipigania.
Hata Iraq na Libya zilipigwa na NATO.
Lakini pia napenda nikuambie kua,wanajeshi wa NATO wanashiriki vita hii Kwa jina la marcenaries(mamluki) je wamebadilisha Nini.?
Mfano mwingine NATO waliweza kuyaangusha makombora na droni za Iran zilizokua zinaelekea kuipiga Israel,lakini zelensky kawaomba na kuwasihi waweke No fly zone wamekataa alipoona Israel imepata huduma hiyo akawalaumu sana alisema kwa Nini mnatubagua sisi Ukraine mbona Israel mmeipa huduma ya kudungua makombora yaliyopigwa na Iran?
Jibu ni kwamba Urusi sio sawa na Iraq wala sio sawa na Iran.
Ila napenda nikuhakikishie kua Urusi nae ana washirika ambao NATO wakiingia hawatakaa wakitazama,nao wataingia kuisaidia Urusi.
Ni akina nai hao? Mimi sijui ila wapo.
Je vita itakuaje?
Mimi sijui.
Tafakari.
Mmiliki wake kaswekwa ndani huko ufaransaLeo telegram inazingua Sana au ni mimi tu . Sijapata habari mpya tangu asubuhi.
kp kipanya44 kwani hiyo kursk ina eneo la kilometa za mraba kiasi gani? Kwa taarifa yako ni zaidi ya mkoa wa morogoro. Km² 29000+. Sasa kukalia hiko kieneo ndio unatambaaah.Nawahurumia mnavyojitekenya na kycheka wenyewe 😭🤣😁😅🤣
The situation in the Kursk region on August 23, 2024.View attachment 3078369
Russia continues to burn:kp kipanya44 kwani hiyo kursk ina eneo la kilometa za mraba kiasi gani? Kwa taarifa yako ni zaidi ya mkoa wa morogoro. Km² 29000+. Sasa kukalia hiko kieneo ndio unatambaaah.
Unajua kuna watu wengine ukiangalia kwa ukongwe walio nao unaweza fikiri ni matured kifikra lakini holla hii jamii forum ni majukwaa kibao lakini mtu anaongea mashudu utafikiri kajiunga leoKijana unatatizo gani kwani mbona povu sana
Nyuzi zandani zipo watu wameamua kutozifatilia kama hizi
Nenda kale tunda kimasihara ule uzi wandani mbona nanaona una wachangiaji tele
Kuna watu wana stress mzee 😀😀😀Unajua kuna watu wengine ukiangalia kwa ukongwe walio nao unaweza fikiri ni matured kifikra lakini holla hii jamii forum ni majukwaa kibao lakini mtu anaongea mashudu utafikiri kajiunga leo