LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna ile unakua na uwezo wa kufanya kitu lakini hutaki kufanya, asio na akili anakuona kama mdhaifu hivi. Anapata kiburi na hamasa ya kukuchokoza zaidi...

Mda ukiamua kusema sasa yatosha anaanza kulalamika unamuonea.

Sidhani hata kama masaa manne yamefika ila Ukraine nzima imedunguliwa. Kiev, Odessa, Nikolaev, Zaporozhye, Zhitomir - no electricity at all.

Chini hapo ni raman ya maeneo yaliyopigwa.



Hakuna Air defence inafanya kazi Ukraine, imetokea mara chache tu upande wa mikoa ya Vinnystia na Kiev mara chache kwasabab Air force yote imepelekwa mpakani karibu na Kursk.

Taratibu wanaanza kuelewa kwanini Mrusi aliwaacha wajazane huko Kursk.

Vita ni sanaa, ila wengi washabiki wa nje tunaendeshwa na mihemko hapa. Kelele mingiiiii haya sasa kumekucha huko.

Kwa kuitaja, mikoa iliyogusa joto la asbh ni hiyo hapo.
▪️Kirovograd
▪️Kremenchuk
▪️Vinnytsia region
▪️Kharkov
▪️Kiev
▪️Mirgorod (Poltava region)
▪️Ternopil region
▪️Poltava region
▪️Lvov region
▪️Zhytomyr region
▪️Vinnytsia region
▪️Ivano-Frankivsk region
▪️Khmelnytskyi region
▪️Odessa region
▪️Chernigov region
▪️Kharkov region
▪️Zaporozhya region
▪️Rivne region

Assume hii mikoa ingekua ya Russia, na Kursk ndio Ukraine. Kisha imagine reactions ya team flan hapa jukwaani namna ambavyo ingekua.
 
Ongera sana maana nasikia vikosi vyote vya Ukraine vimeweka silaha chini na kujisalimisha kwa Putin 😁
 
Ukraine wanatembeza kipondo kotekote,najiuliza jamaa wanapata wapi ubavu kuitunishia msuli urusi na beralus

Ukraine warns that any violation of its state border by Belarus will make all troop concentrations, military facilities, and supply routes in Belarus legitimate targets for the Ukrainian Armed Forces.

At least 17 potential targets have been identified.
 
Naomba hii aisome Pro Russia mwenzetu Somoche mwenye mashaka na uwezo wa Urusi.
Na mwenye kutaka shambulio la maangamizi.
Haya Sasa tukiwaambiaga Putin ni mstaarabu muwe mnaelewa.
Na Urusi ni taifa lisilo na mihemuko muwe mnaelewa.
Na hapo bado wakijifanya kurudisha dozi itaongezeka.
 
 
Ila mkuu twende mbele na kurudi nyuma una moyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…