Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Bakhamut msenge anakili walikufa zaidi ya watu elfu 50 mpaka 60.
Unayo evidence ya hilo "Hangar" lililoteketea?Ina maana haujui maana ya "hangar" na inahusiana vipi na mambo ya ndege ndege especially za kivita?
Duh!!! Hakuna kitu kama hiko mkuu.Hiyo mıji yote ipo chini ya Russia na ni. Chasiv Yar palikuwa na vita ilochukua muda mrefu.
Lakini
Picha
Yaani watu mpaka wameingia Kursk ila bado wanaomba ruhusa ya kushambulia ndani ya Russia? Hivi hata Marekani wenyewe si watakuwa wanashangaa comedians wa ukraine wanataka nini hasa?Ukrainian Officials Push for U.S. Approval to Strike Russian Targets
Ukrainian Defense Minister Rustem Umyerov and President's Office Head Andriy Yermak are heading to Washington with a list of Russian targets for long-range American weapons, according to CNN.
"During personal meetings with representatives of President Biden's administration, Ukrainian officials will present a list of priority targets in Russia, seeking to persuade the U.S. to lift restrictions on the use of long-range weapons," the article states.
Sources note that without striking these targets, it will be challenging for Ukraine to shift the war in its favor.
On August 30, Umyerov will meet with U.S. Defense Secretary Lloyd Austin. It is currently unclear whom Yermak will meet.
A member of parliament interviewed by journalists emphasized that territory near the border, which can be reached with Western weapons, is still part of the Russian Federation.
"We see strikes deep into Russian territory by American weapons as no more provocative than strikes near the border. Both are Russian territory, regardless of how deep the targets are located," he said.
View attachment 3082593
zile f-16 vipi kwan hazifanyi kazi au zele kapewa kwaajili ya maonyesho
maana kuna mtu alisema putin anaziogopa kama kisonono
Halafu anaponda watu humu wakati hajui hata tofauti ya hanga (hangar) na anga 😀 😀 JF burudani.Ina maana haujui maana ya "hangar" na inahusiana vipi na mambo ya ndege ndege especially za kivita?
Nimejikuta nacheka Jamaa amekosoa mpaka elimu kumbe yeye ndo kapotea mazima. Ndo hasara za kuwa mjuaji kupitilizaHalafu anaponda watu humu wakati hajui hata tofauti ya hanga (hangar) na anga 😀 😀 JF burudani.
fungue na huku kwetu hayo magari mazuri sana unakuta gari dogo matairi makubwa utafiri wahuni wa chuga na viatu vyaoKAMAZ ni kampuni ya kutengeneza magari malori aina ya Kamaz ya Urusi.
Kamaz plant to be opened in Senegal soon — Foreign Minister
Russian businessmen might invest in energy, oil and gas and food sectors of Senegal’s economy, Yassine Fall noted
MOSCOW, August 29. /TASS/. A plant of the Russian truck producer Kamaz will be opened in Senegal soon, Foreign Minister of Senegal Yassine Fall said at a joint press conference with Russian Foreign Minister Sergey Lavrov.
"Various Russian investors contribute to development of Africa," she said. "The Kamaz plant will also be situated in the territory of Senegal in the near future," she noted.
Russian businessmen might invest in energy, oil and gas and food sectors of Senegal’s economy, the minister noted. She called for mutually beneficial cooperation in the sphere of mineral fertilizers and exchange of technologies.
Ni kweli itafurahisha sana upande flani kwa kuwa Wana uhaba wa habari njema.,kwa kukumbusha tu Russia ameshapoteza ndege kama hizo.,368Dah,hii habari inafurahisha moyo sana! Samahani kwa usumbufu!
Ukraine F-16 destroyed during Russian attack, BBC told
One of the F-16 fighter jets sent from Nato allies to Ukraine has been destroyed, a Ukrainian military source has told the BBC.
The aircraft went down amid a barrage of Russian missiles on Monday, killing pilot Oleksiy Mes, Ukraine's military said. It marks the first loss of its kind since the planes were delivered earlier this month.
The destruction of the aircraft is a blow to President Zelensky, who said he will deliver a "victory plan" to US President Joe Biden next month.
18 hours ago
Ukraine F-16 destroyed during Russian attack, BBC told
The incident happened just weeks after Kyiv took delivery of the supersonic aircraft.www.bbc.com
Us kaivamia Ukraine kama Russia alivyo vamia?Huu ushauri ungewapa marekani. Ukraine inaongozwa na marekani
US kaivamia Russia yeye na wenzake wa ulaya . Ukraine ni chambo tuUs kaivamia Ukraine kama Russia alivyo vamia?