Hii ni Id yako nyingine sio? suala siyo mimi kuwa na degree suala ni kujua kuandika kwa usahihi. nyie watoto sikuhizi hamjui kuandika kwa usahihi.
Taarifa mtu analeta kwa maneno matupu kama yeye ndio anapigana frontline watu wenye akili timamu watajua hizo ni porojo tupu.
Tupo na kina
DAEMUSHIN humu na sikuhizi namuona
Maonihuru sikuzote huwezi kuwabeza sababu wanaleta na reference.Muwaige hao jamaa ndivyo inavyopaswa kuleta habari namna hiyo.
Mengine ulioandika ni mipasho ya kike acha hiyo tabia mdogo wangu