kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 4,003
- 10,765
Mkuu kwani degree mbona ni Elimu ya kawaida? jitahidi uipate usiwe una pata hasira watu wakiitaja.Unataka reference zipi wewe na Ka degree kako ka kubumba Ka UDSM
Ukraine na West wanachapika huko frontline kila siku we unakuja na taarifa zako za kishamba hapa na kuanza kubeza elimu za wenzio kwamba eti unachokileta wewe ndio sahihi wenzio wanaongopa
Russia ameichoma mikoa zaidi ya nane siku chache Tu hapa zilizopita since 27 august au na hii unahita reference we poyoyo ??
Acha ushamba BWA mdogo,degree holder umeleta wazo lipi jipya huko kijijini kwenu unakoishi au umegundua nini kinachowasaidia huko kijijini kwenu
Tukirudi kwenye mada hakuna ushamba wowote kutaka watu waweke source ya habari.Hapa sio kijiwe cha kahawa cha kupigana kamba.
Wewe ni mjinga na tulia ueleweshwe.

