Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tafsiri yako tu hiyo mkuu.US kaivamia Russia yeye na wenzake wa ulaya . Ukraine ni chambo tu
Siyo tafsiri yangu wamekamatwa wanajeshi wa marekani na ufaransa wakipigana vita huko Russia.Tafsiri yako tu hiyo mkuu.
Mvamizi ni Russia dhidi ya Ukraine.
Kuna wahindi, wakorea, wachina na mtanzania, wanapigana upande wa Russia.Siyo tafsiri yangu wamekamatwa wanajeshi wa marekani na ufaransa wakipigana vita huko Russia.
Fake News hizo ni habari za kubumba, NATO wazidi kutorosha pesa kupeleka kwenye account zao za uswizi, Cayman islands, Bermuda,etcNi kweli itafurahisha sana upande flani kwa kuwa Wana uhaba wa habari njema.,kwa kukumbusha tu Russia ameshapoteza ndege kama hizo.,368 View attachment 3082880
Hao vijana na wazee kujiunga na jeshi watatoka wapi, wengi wamekimbilia nchi za jirani, wengine mpaka wanakufa kwenye maji wakivuka mito kukwepa kutolewa kafara uko mstari wa mbele.The EU decided to create a center in Kiev to coordinate and train the Ukrainian military, Borrell said.View attachment 3082970
Hizi ADS alizonazo Ukraine ndo hizohizo wanazo Poland. Hawataweza kuzuia chochote.Kuleba, Sikorski discuss steps to use NATO air defenses to take down targets over Ukraine
In the military sphere, we focused on the issue of MIG jets and agreed on further steps to create the possibility for Ukraine's neighbours to intercept from their territory Russian missiles and drones in the Ukrainian airspace, Foreign Ministers of Ukraine said
MOSCOW, August 28. /TASS/. Foreign Ministers of Ukraine and Poland Dmitry Kuleba and Radolsaw Sikorski discussed the Kiev’s request for NATO to use their air defense systems to protect the Ukrainian airspace.
"In the military sphere, we focused on the issue of MIG jets and agreed on further steps to create the possibility for Ukraine's neighbours to intercept from their territory Russian missiles and drones in the Ukrainian airspace," Kuleba said on his X page.
Speaking at the "Poland of the Future" forum in Olsztyn earlier, Kuleba admitted that, due to the West’s concerns regarding an escalation of the conflict, "each Ukrainian request for a new type of weapon was initially met with denial."
On July 8, Polish Prime Minister Donald Tusk said that Warsaw will discuss the option of downing missiles travelling over western parts of Ukraine close to the Polish border. Back then, Washington treated the Polish initiative with skepticism. In Particular, White House Strategic Communications Advisor John Kirby noted that this could lead to an escalation of the conflict.
Mkuu, waufahamu mchezo wa Chess?Duh!!! Hakuna kitu kama hiko mkuu.
Vyombo vya habari vya nchi za magharibi muda si mrefu wataanza kuleta habari halisi.Dah,hii habari inafurahisha moyo sana! Samahani kwa usumbufu!
Ukraine F-16 destroyed during Russian attack, BBC told
One of the F-16 fighter jets sent from Nato allies to Ukraine has been destroyed, a Ukrainian military source has told the BBC.
The aircraft went down amid a barrage of Russian missiles on Monday, killing pilot Oleksiy Mes, Ukraine's military said. It marks the first loss of its kind since the planes were delivered earlier this month.
The destruction of the aircraft is a blow to President Zelensky, who said he will deliver a "victory plan" to US President Joe Biden next month.
18 hours ago
Ukraine F-16 destroyed during Russian attack, BBC told
The incident happened just weeks after Kyiv took delivery of the supersonic aircraft.www.bbc.com
Kama Russia amepoteza vyote hivyo, upande wa Ukraine imepoteza kiasi gani?Ni kweli itafurahisha sana upande flani kwa kuwa Wana uhaba wa habari njema.,kwa kukumbusha tu Russia ameshapoteza ndege kama hizo.,368 View attachment 3082880
Sasa mbona zimepigwa zote balaa Mapanya uongo hutaacha mzeeUkraine has received from the United States an exclusive version of an electronic warfare system that turns F-16s into real "invisible" for Russian radars, Defense Express reports.
These systems are so advanced that even other NATO countries do not have iView attachment 3081227t.
Amesahau kwamba Russia nao wameingiza hizohizo teknolojia za hali ya juu na mashambulizi aloyafanya jumatatu na jumanne yote yaliweza kukwepa "jamming system" ya Ukraine.Sasa mbona zimepigwa zote balaa Mapanya uongo hutaacha mzee
Hiyo namba ni ndogo sana ukilinganisha na wanajeshi wa Ukraine wapatao 12000 walokwama huko Kursk hawawezi toka wala kurudi nyuma (retreat) na supplies zaisha, pia hakuna ndege ya F-16 wala marubani wa kuendesha ndege hizo.According to what the newspaper le Monde managed to capture, the number of dead Russian soldiers is so great that to save ceremonies, burials are carried out in groups of 20 Russian soldiers.View attachment 3083152