LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
HIi vita ama sijui niite mgogoro ila hapana ni vita hii ina propaganda ya hali ya juu ,

Ukisikiliza Warusi wa mwembe mtengu hapa wanakwambia Ukraine kwisha habari yake ataomba maji muda sio mrefu mabomu kila kona kapigwa
Mara Zelensky anabubujikwa machozi ya majuto tu huko

Hujakaa sawa unachungulia wa Ukraine waliopo Mkuranga mwembe kiguta huko utasikia

Majeshi ya Ukraini yapo ndani ndani huko ya Urusi ,Putin anataka atorokee sijui wapi huko ila hamna njia🤣🤣🤣 kwa moto anaopelekewa😅😅

Basi ni tafrani tu kwa kweli hii vita mkweli sijui nani
 
My friends Ukrainians have been offering some beautiful gifts to Russia last night. Rostov, Moscow, Belgorod and many more regions received bavovnas

Even the Moscow power plant was successfully hit with drones na umeme ukazimwa. Dadeq sasa magaidi yanaonja uchungu wa dawa yaliyoitengeneza yenyewe
 
Dozens of drones reportedly targeted several Russian regions overnight on Sept. 1, including Moscow, Tver, Voronezh, Tula, Kaluga, Bryansk, Belgorod, Lipetsk, and Kursk, according to local officials.

Russia's Defense Ministry claimed that 158 drones were downed overnigh
 
Kelele za chura hazimzuii ndovu kunywa maji.
Ukraine inateseka na itaendelea kuteseka.
Usidhani Russia atakaa kimya pasi na kulipiza hilo shambulizi.
Tena yeye hulipiza mara dufu.
Kaa mkao wa kula usikimbie Russia akilipiza.
 
Kuna jitu linaenda kulia muda si mrefu.
 
Huko Kursk hawa Ukraine watapona kweli!??
 
Jana huko Kharkiv kichapo kiliendelea sanaaa

Agiza Balimi kubwa ya moto niletee bill
 
Ukisikia Hii Kauli
Difficulty
challenging
Tough
hard

Kutoka kwao ujue wamekula timbwili halijawahi kuonekana hapa Dunian.
Putin aliwachezea mchezo hawaamini kazuia kinu cha Kursk kutekwa na amewapangia makuruta tu ndio wanacheza nao pale Kursk halafu ndege zinakuja zinawachoma moto zinaondoka.
Huko ndani ya Ukraine wamepigwa balaa...
 
Russia aliachie Dude sisi Afrika huku sijui tutapona?? Hata tukifa potelea mbali kwanza ujinga ni mwingi sana.
 
HUu Mgogoro umefika patamu unakaribia kuisha sasa na kuisha kwake ni kuachia dude kuchoma washngton yp
yote tuanze upyaaa
 
The wreckage of a missing Russian helicopter was located with no survivors found, a day after the Mi-8 helicopter went missing with 22 passengers on board in the Kamchatka Peninsula in the Russian Far East, reported Russian state media on Sept. 1.
 
Huko Kursk hawa Ukraine watapona kweli!??
In fact Mkuu hatujui idadi kamili ya wa Ukraine( NATO)(West)walioingia
Lakini kama ni elfu 12 Hadi kuifikia mwezi wa 10 wote watakua wamemalizwa.
Labda wawe lakini na zaidi.
Hata hivyo wanazidi kupoteza vifaa Kila siku ,Sasa sijui watawezaje kujilinda wakiwa ndani ya Kursk.
Na kadri siku zinavyozidi kwenda mbele Urusi wanazidi kuwa dhibiti zaidi na wao wanazidi kupungua nguvu,mwisho wa siku watashindwa TU.
Naongelea huko kursk.
 
Elfu 30 kikubwa Russia anazuia Summy wasio gezeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…