LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mbona naona ni habari za Russia kutembeza kipigo tu hapo Kursk!?
Kwa hali kama ile Ukraine pale Kurks anapona kweli!?
 
Kwa hali kama ile Ukraine pale Kurks anapona kweli!?
Leo kipigo kimehamia Magharibi mwa Ukraine
===
The Russian armed forces launched a group strike, including Kinzhal hypersonic systems and UAVs on defense industry enterprises in Lvov, the targets were hit, the Russian Defense Ministry said.
“This morning, the Russian Armed Forces launched a group strike with long-range precision weapons, including Kinzhal hypersonic complexes and strike drones on Ukrainian defense industry enterprises located in the city of Lvov,” the Russian Defense Ministry said in a statement.
The ministry added that these enterprises produced and repaired electronic components of Ukrainian Armed Forces aircraft and missile weapons.
 
Kwamba kuna misaada ya siri ambavyo mimi na wewe hatuijuwi?......
Kama hivyo ndivyo, Russia naye anapokea misaada ya siri ambavyo mimi na wewe hatuijuwi.
Najua wewe hua ni mbishi wa kukubali ukweli.
Iko hivi,kwa mujibu wa uliemjibu ni kwamba.
"Ukraine anapata misaada kutoka west inayowekwa hadharani na misaada mingine inatolewa kwa Siri."

Sasa wewe Kwa kupenda kwako ubishi unasema hata Urusi nae anapewa misaada kwa Siri.
Sawa.
Kwa hiyo bado hoja inabali pale pale kua, Ukraine inapewa misaada kwa uwazi na usiri.
Lakini hakuna ushahidi kwa Urusi kua anapewa misaada kwa uwazi,hadharani ama inayojulikana.

Sasa Mimi nakuambia hivi,

sijawahi kuona ama kusoma ama kuisikia popote pamefanyika mikutano ya ama wakuu wa kijeshi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadili kuisaidia Urusi kwa pamoja kama wanavyokaa wakuu wa kijeshi wa NATO na west wakijadili kuisaidia Ukraine Kwa silaha, fedha na maarifa.

Pia sijaona wala kusoma wala kusikia wakuu wa nchi,au mawaziri wa nje,au wa ulinzi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadilia kuisaidia Urusi kama wanavyokaa wakuu wa nchi za NATO na west,G7,EU n.k kujadili kuisaidia Ukraine.kwa silaha,fedha na maarifa.

Sijawahi kusoma wala kusikia wala kuona nchi nyingi kwa pamoja zikihimizana kupeleka michango ya fedha ama silaha ama kuiwekea na kuiongezea vikwazo Ukraine kama wanavyofanya kwa Urusi.

Sijawahi kuona ama kusikia ama kusoma nchi zikiiwekea vikwazo ama kuitenga Ukraine kama inavyowekewa na kutengwa Urusi.

Kwa hiyo, hizo ndizo tofauti za misaada anayopewa Ukraine na kile ambacho wewe unasema kua Urusi nae anapewa misaada.

Najua utazungumzia drone za Iran,
Je hizi dron zilikua ni misaada ama Iran ilitaka kujaribu drone zake?
ama Iran ilifanya biashara na Urusi?

Mimi sijui,
je Kwa wakati Iran inatoa dron hizo Urusi ilikua Ina uhitaji wa dron hizo?

Au Urusi haikua na dron kabisa?

Je Urusi ilikua imezidiwq halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?

Ama Urusi ilikua inasonga mbele halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?

Je unaweza kulinganisha au kufananisha drone za Iran alizompa Urusi (kama misaada),dhidi na silaha,fedha, intelligence,ushauri,vikwazo kwa Urusi,masanaries,mafunzo na misaada mingine yote anazopewa Ukraine na NATO west toka vita ianze?
Naomba tuwe wakweli.
 
Mkuu njia uliyotumia kujuwa kilichotunwa Kiev kwa "SIRI" nimezitumia pia kujuwa kilichoenda Moscow kwa "SIRI"

............tujadiri hisia zetu..........
 
The Ukrainian Armed Forces captured a large group of Russian katsapny in the Kurakhov direction. They speak more than 20 Russians.
 
Anga kama anga halina tena ulinzi tena! Wanajipigia!

Energy facilities hit in nine Ukrainian regions - as firm cuts power at nuclear plant​


Russian airstrikes hit energy facilities and critical infrastructure in nine Ukrainian regions over the past 24 hours, Ukrainian officials have said.


Energy facilities in the western region of Lviv, Sumy and Kharkiv in the northeast, Donetsk in the east, east-central Dnipropetrovsk, and Mykolaiv in the south were attacked, the energy ministry said on Telegram.

 
Hizi missile assaults za Russia kuanzia Kharkov, Sumy, na western and eastern Ukraine kuanzia 1 September, inaonekana zilikuwa ziko very catastrophic kwa Ukraine pamoja na west, kuanzia vifaa, manpower na overall logistics
Production ya missile uko Russia ni mara tatu zaidi ya production ya missile kwa nchi zote za NATO na USA.
 
Mkuu njia uliyotumia kujuwa kilichotunwa Kiev kwa "SIRI" nimezitumia pia kujuwa kilichoenda Moscow kwa "SIRI"

............tujadiri hisia zetu..........
Ok narudi Tena.
Mimi na wewe nadhani tunakubali kua NATO na west wanaipa Ukraine misaada.
Je unaweza kunitajia ni satellite ya nchi Gani ya NATO ndio inaipa taarifa Ukraine ipige melivita au maeneo muhimu ya Urusi ambayo kimsingi bila satellite Ukraine haiwezi kuziona.

Nina uhakika Ukraine Haina satellite ya kuweza kuona baadhi ya malengo muhimu kama meli za Urusi zilipojificha.

Hii ni moja ya Siri ambayo wengi tunaijua ingawa haijawekwa hadharani.

Kumbuka kua Ukraine Haina satellite ya kuweza kumonita meli au baadhi ya silaha za Urus,lakini inaweza kuzigundua na kuzipiga.
Anazionaje?

Hii ni moja ya vitu ambavyo hata usipoambiwa utaweza kuvijua.

Sasa niambie ni nchi Gani duniani inayotumia satellite zake kuisaidia Urusi kujua mienendo ya silaha za Ukraine ama maeneo muhimu ya kupiga.
 

Attachments

  • Screenshot_20240904-135832.png
    441.7 KB · Views: 2
Microelectronics za silaha za Russia kwa zaidi ya asilimia 70 zinatoka China kwa kificho.
 
Ukraine suspends drone chief accused of Russia ties

Kiev has launched an investigation into Roman Gladky, the chief of staff of the Unmanned Systems Forces

Ukraine has suspended the chief of staff of its drone forces following reports that his family lives in Russia.

The decision was made after a meeting of the Verkhovna Rada security committee, the General Staff wrote in a statement on Telegram on Tuesday evening. It said that Ukraine’s top general, Aleksandr Syrsky, has decided that the Security Service of Ukraine (SBU) will “conduct an additional special inspection” with regard to Roman Gladky, the chief of staff of the Unmanned Systems Forces (USF).

Gladky will be “suspended from his official duties for the duration of the inspection,” the General Staff added
 
Microelectronics za silaha za Russia kwa zaidi ya asilimia 70 zinatoka China kwa kificho.
Kwa hiyo Urusi na china hawaruhusiwi kufanya biashara?
Hiyo inawezekana ilikua ni biashara Yao tokea zamani kabla hata ya smo.
Je Ukraine na NATO wanafanya biashara ya silaha?
Je biashara baina ya NATO na Ukraine ilikuwepo kabla ya smo?
 
Russia hurt Ukraine bad in Kursk Region using only token force

Major General Apty Alaudinov noted that the Ukrainian armed forces relocated the best-prepared units, equipped with Western vehicles, for the Kursk operation

KURSK, September 4. /TASS/. The Ukrainian armed forces have suffered significant losses in terms of personnel and vehicles in the Kursk Region in the past three weeks, says Major General Apty Alaudinov, deputy head of the Russian Armed Forces and commander of the Akhmat special forces unit.

"Not a single unit deployed at the swathes where our forces are currently advancing has been removed. And we were able to stop the enemy and inflict devastating damage using just token forces," Alaudinov said.

He noted that the Ukrainian armed forces relocated the best-prepared units, equipped with Western vehicles, for the Kursk operation.

"All the weapons they had - all of this was forwarded to the Kursk direction in order to enter the Kursk territory and take the nuclear power plant, located right next to Kursk - in Kurchatov. This way, they hoped to force Russia to withdraw its forces from all parts of the frontline and to bring us to our knees, to force us to negotiate on their own terms," he noted.
 
Ukrainian losses: what is known about situation in Kursk Region

According to the report, Ukrainian sabotage groups trying to penetrate deep into Russia’s interior continue to be met with resistance

MOSCOW, September 4. /TASS/. Russian forces have thwarted two Ukrainian attacks in the last 24 hours, having beaten back several more near three villages in the Kursk Area, the Russian Defense Ministry said.

The enemy’s losses over the day amounted to up to 450 troops.

TASS put together the main facts about the situation.

Operation to eliminate Ukrainian formations
- Russia’s Battlegroup North units supported by army aviation and artillery fire thwarted two attacks by enemy assault groups in the area of the villages of Malaya Loknya and Komarovka.

- Russian units also undermined attempted Ukrainian attacks in the area around the villages of Korenevo, Olgovka and Pogrebki.

- Ukrainian sabotage groups trying to penetrate deep into Russia’s interior continue to be met with resistance.

- Aviation delivered strikes on enemy reserves in 12 locations in the Sumy Region.

Ukrainian losses
- Over the last 24 hours, the enemy's losses have amounted to up to 450 troops and 17 armored units, including a tank, an infantry fighting vehicle and 15 armored combat vehicles, 40 motor vehicles, four artillery guns, including three French-made Caesar self-propelled artillery systems, a US-made M777 artillery system, as well as two launch pads of US-made multiple launch rocket systems, including an M142 HIMARS and an M270 MLRS.

- Overall, since the onset of combat in the region, the adversary has lost over 9,700 personnel, 81 tanks, 39 infantry fighting vehicles, 70 armored personnel carriers, 576 armored combat vehicles, 313 motor vehicles, 72 artillery guns, 22 launch pads of multiple launch rocket systems, including seven HIMARS and three MLRS, eight launch pads of air defense systems, two transport-loading vehicles, 17 radio-electronic warfare stations, seven counterbattery radars, two air defense radars, eight units of engineering equipment as well as two obstacle-clearing vehicles and one UR-77 mine-clearing vehicle.
 
Kuna watu wanapiga sana tena vibaya mno, sasa watu kama hawa wanajua kabisa effect ya kipogo chao, kabla ya yote atakuonya tena mbele za watu, kuonya huko sio mikwara bali anatafuta Justification ili ukiingia kwenye 18 zake akumalize kabisa.

Hapo sasa hata watu wenyewe watakwambia uliambiwa bwana mkubwa ukaleta ubishi haya sasa kaa utulie😎
 
Mzee Mzima upooo??
Tupe haaaabriiii
Za Kursk bila kusahau Kyiv
This is how the Kursk region is now. The Russians are unable to stop the Ukrainian advances and they take advantage of this to reach Russian weapons depots and military barracks and load the enemy's ammunition. I marked the progress of Ukrainians in the period from 28.08 to 04.09.2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…