maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
"I love ODESSA"sasa URUSI inajiandaa kuichukua mazima ODESSA
Odessa Ina utajiri wa $ trillions 7, ndo maana USA hataki kukata tamaa. Hiyo Odessa itarudishwa nyumbani kwao USSR ( Russia)."I love ODESSA"
Tukiichukua Odessa home watu lazima wale Biriani ya Bata mzinga
🤣🤣🤣🤣, wabongo 🙌🏿🙌🏿🙌🏿, ina utajiri wa $ trillion 7Odessa Ina utajiri wa $ trillions 7, ndo maana USA hataki kukata tamaa. Hiyo Odessa itarudishwa nyumbani kwao USSR ( Russia).
Silaha za kusaidiwa, mishahara ya wapiganaji usaidiwe, hiyo vita utashinda vipi!
TENA MBALI HASA,Anaona mbali.