Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🪖 The Armed Forces of Ukraine managed to stop the advance of the occupiers in the Pokrovsk direction, - said Syrskyi.

"Over the past six days, the enemy has not advanced a single meter in the Pokrovsk direction. In other words, our strategy is working," said the commander-in-chief in an interview with CNN

View attachment 3089498

View: https://youtu.be/jCQhOWqqPX8?si=pecEjLNXIKZJo05Q
Angalia, Russia wanavyosonga mbele kukamata miji ,majimbo na vijiji.
 
Ukraine is working to establish subterranean manufacturing facilities for weapons and ammunition, reducing its dependence on foreign military aid, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sept. 6.
 
Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .

Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.

Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.

Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida, hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.

Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
 
Tuamini AI AU Wewe
 
Mtaomba Pooo wenyewe
The Ukrainian Armed Forces advanced and took control of Novoselivka and Khytrivka in the Kursk region, located 8 km north of Malaya Lokna. Russians pull more reserve troops, already 65,000 Russians against 30,000 Ukrainians.
1725733643858.jpg
 
The Ukrainian Armed Forces advanced and took control of Novoselivka and Khytrivka in the Kursk region, located 8 km north of Malaya Lokna. Russians pull more reserve troops, already 65,000 Russians against 30,000 Ukrainians.View attachment 3089713
Zele boy analia lia mpini umemuingia haswa safari hii,
Kp Kipanya 44,Uko front nawewe au upo bonyokwa ndani ndani ya kisii.
 
Ukraine is working to establish subterranean manufacturing facilities for weapons and ammunition, reducing its dependence on foreign military aid, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sept. 6.
Hii tunajua nyie ndio mko nyuma mtaleta watalamu na kila kitu sasa mtatengenezea wapi maana inabidi hicho kiwanda mkijenge chini ya mto au chini ya ardhi na huko tutakiona kitakula moto.
 
Naona kama Ukraine wanachelewa kuvunja hili daraja, kwani wanasubiri nini?
Ukrainian forces still hold about 10,100 km2 (3,900 square miles) in the Donetsk region.
If the Russians maintain their current speed of progress and if no Ukrainian counteroffensive interrupts this pace, then it will take about 8 years for the Russians to occupy the entire Donetsk region.
1725766195866.jpg
 
Ukrainian forces still hold about 10,100 km2 (3,900 square miles) in the Donetsk region.
If the Russians maintain their current speed of progress and if no Ukrainian counteroffensive interrupts this pace, then it will take about 8 years for the Russians to occupy the entire Donetsk region.View attachment 3089875
Urusi wala hakimbizani na muda - West wanatengeneza narrative za kijinga sana - sasa kama mtu anakwambia et ukiendelea kunitwanga kwa spidi hii unanimaliza baada ya miaka 7, hizo na akili?? Why wasiseme kwa jinsi Urusi anavyopigana hatashinda milele.Yaani wanapunguza makali ya kushindwa kwa kigezo kuwa watashindwa baadae. Urusi kapigana Chechnya miaka 10 na hapo ilikuwa vita ya ndani - mwisho wa siku kamaliza kazi. Hii vita kiuhalisia tangu moto umewaka miaka 10 sasa tangu 2014 Crimea ilipochukuliwa. Urusi wamekaa Afghanistan 10 yrs, USA kakaa Afghanistani 20 yrs na kaambulia patupu Taliban wamerudi, USA kaingia Iraq 2003 kakubali yaishe anaondoka 2026 na still hali nado tete kule.Libya tangu wameanza kutwangana 2011 mpaka leo - mwendo mdundo hakujapoa, twende Sudani pale ni mnyukano tu..ndo kwanza kama kumekucha..
SASA why mnaonesha as if URUSI inafanya kitu cha ajabu kwa jinsi muda unavyosonga mbele?? Vita sio baikoko na vita sio kwamba risasi zinamiminwa asubuhi mpaka asubuhi..wanajeshi ni watu pia, wanapoa sio robot.na pia maisha mengine yanaendelea.
Hivyo ngoja waendelee kutwangana tu..mpaka mshindi apatikane
 
Kuna wajinga watakuja kukuambia Russia anapigana peke yake huku Ukraine akisaidiwa na mataifa mengi

Tofautisha biashara na msaada. Umesikia kuwa huo ni msaada kama anaopewa Ukraine? Russia ananunua baadhi ya silaha au components za kutengezea silaha kutoka hayo mataifa uliyo yataja ku- replenish zile zinazotumika Kila siku vitani. Je umesikia Kuna mahali Iran ametoa silaha, mafunzo na military intelligence Kwa Russia?

Anyway nisibishane na wewe Kwa sababu ukweli unaufahamu lakini unajitoa ufahamu. Ukizingatia sources zako ni channel za propaganda za Ukraine yaani The Kyiv Independent
 
Hivi wewe unajua maana ya misaada lkn ?
Kwa kifupi misaada ni kumpa mtu kitu ambacho Hana.
Hivi Kwa akilia Yako Urusi Hana hizo ballistic missiles.
Urusi ana ballistic missiles Bora kuliko hizo za Iran,
Urusi juzi kapeleka silaha Iran anasubiri USA waingie middle east watiwe adabu,Urusi hiihii ambayo imetoa tamko kua itawapa silaha maadui wa west kama vile west inavyompa Ukraine silaha,Leo Urusi ipewe misaada na Iran?
Hivi una uelewa wa kutosha wa masuala ya defence?
Hivi hua unaelewa Nini pale jeshi la USA linapokuja kufanya mazoezi ya kijeshi kati yake na jeshi mfano la Tanzania, au Kenya?
Au mazoezi ya kijeshi kati ya USA na jeshi lolote la third world country?hua unaelewa the motive behind?
Acheni kuhanganika na propaganda za akina kiev independent.
Ok haya basi tufanye sawa ili ufurahi Iran imempa Urusi msaada wa BM,Sasa unaweza kulinganisha msaada wa Iran anaompa Urusi dhidi ya msaada wa all collective west wanaompa Ukraine?
Kumbuka collective west ni nchi za NATO na zisizo za NATO ,NATO yumo mnaemwita world superpower USA, UK, France, German, Denmark, Norway, Belgium, Poland, Spain n.kkwa uchache Hawa ndio walioshikilia high tech ya Dunia,Sasa ambao sio NATO ninpamoja na Australia na hao wawili waliojiunga juzi Finland na Sweden n.k.
Sasa linganisha na Iran uone Hali halisi.
Huyo kipanya44 akili hana, amebaki kujifariji na Viji channel vya propaganda za Ukraine yaani The Kyiv Independent
 
Back
Top Bottom