Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Taarifa za kiutafiti na kiuchunguzi zimegundua na kuthibitisha kua Kila baada ya shambulio baya na kubwa likifanywa na Urusi ambalo hua linapelekea kufa kwa askari wengi wa Ukraine,huko USA pentagon hua pia kunatokea msiba wa ma afisa waandamizi kutokea.
Kifo au Vifo vya maafisa hao wa NATO wa USA ama nchi nyingine husemwa kua wamekufa kwa ajali ama ya helkopta ama mazoezini.
Taarifa husema kwamba wataalamu hao walifia nje ya Ukraine na hawakua Ukraine.
Lakini miili Yao hurudishwa kwa mazishi.
Kuanzia Leo fuatilieni Kila Urusi wakipiga sehemu muhimu sana huko huko Ukraine, muda mfupi ndani ya baadhi ya nchi za NATO utasikia misiba.
Hii ni habari ya kweli nimeipata YouTube.