kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Russian forces advanced in eastern Toretsk and north of Chasiv Yar in Ukraine’s Donetsk Oblast, but made no progress in the Pokrovsk sector over the past day.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hufia mafunzoni!Luteni Kanali Joshua kamara afisa wa kati wa jeshi la USA alikuwepo pamoja na maafisa wengine wa nchi za NATO katika shambulio lililofanywa na Urusi katika chuo Cha kijeshi kilichoua walimu wa kijeshi na wanafunzi wa kijeshi 600.
Hawa wataalamu wa NATO wanauliwa mara nyingi katika mashambulizi ya namna hii,miili hurudishwa nchini kwao lakini ndugu jamaa,marafiki na wananchi hudanganywa,huambiwa wemefia mafunzoni,ama ajali ya helkopta ama maradhi ama mazoezini ama vinginevyo,kumbe vijana wa Putin hua wameshafanya Yao.
Kwa mateso haya vijana wa Putin wanayowapa NATO ingekua ni Iraq ndio inawafanyia hivyo NATO wangeshaingia mazima.
Jamani eeeh Urusi ni habari nyingine.
Coincidence? - An American officer died in Poznan, Poland, on the day the Russian Armed Forces struck a military institute in Poltava
American media outlets report the death of US Army officer Joshua Kamara in Poland. The reports claim that he died on September 3 at a US military training camp in the Polish city of Poznan. Kamara held the rank of Lieutenant Colonel.
At the same time, there are no reports in the Polish press that any tragic incidents took place in Poznan, including the training camp, on September 3. And the American sources themselves do not report under what circumstances the senior US Army officer died on Polish territory, which raises even more questions.
However, the answer to all the questions may lie on the surface. The fact is that it was on September 3, 2024, that Russian troops launched a missile attack on the military communications institute in Poltava. And earlier there were reports that it was at this institute that Ukrainian servicemen were being trained in the use of NATO-style electronic warfare systems and communications systems under the instructor supervision of Western servicemen.
Of course, it is impossible to reliably assert that the American lieutenant colonel died in Poltava, but there is still a possibility. And it is there for the simple reason that previously in the US, servicemen, including generals, have suspiciously either fatally slipped while walking in the mountains, or suddenly died from sudden heart problems, or awkwardly parachuted from a helicopter – and all this usually happened after Russian strikes on major military facilities in Ukraine. Therefore, it is quite possible that the statements about the “death in Poznan” are a legend created in order to continue not to officially acknowledge the presence of American military personnel in Ukraine.
Kweli wamagharibi wakorofi!kp kipanya44 upo?? Ujue hawa ni wamagharibi!
Outgunned and outnumbered, Ukraine’s military is struggling with low morale and desertion
Two and half years of Russia’s grinding offensive have decimated many Ukrainian units. Reinforcements are few and far between, leaving some soldiers exhausted and demoralized.
By Ivana Kottasová and Kostya Gak, CNN
Published 12:01 AM EDT, Sun September 8, 2024
Asikuhesabie dhambi yoyote mpaka kufa kwako.Anirehemu Tena!?🥱😭
Ndugu yangu,kumbuka unaongea na watu wazima humu.Ni kweli hufia mafunzoni!
Vitani ni nafasi adhimu ya kupanda cheo, kujaribisha silaha, nadharia mpya, kuwasoma maadui kwa vitendo n.k
Ukweli ni kwamba hata west wanaogopa Urusi asitangaze full scale war,maana Hali itakua mbaya sana.Ndio nauliza aki declare full out war Ukraine itakua na hali gani!??
Vita iishe tu kwa kweli.
Mkuu kuna jamaa alikupa wiki 2 utakua umepakimbia Jamiii forum yupo wapAnirehemu Tena!?🥱😭
Huyu hapa nilitunza kumbukumbu zake,hata Hivyo nilishampuuza maana ana miemko isiyo na muelekeo!Mkuu kuna jamaa alikupa wiki 2 utakua umepakimbia Jamiii forum yupo wap
Nahisi kama Russia akitangaza full out war basi hiko kipigo kitakachotokea tutaionea huruma Ukraine na kupiga magoti tuisalie kwa Yesu kristu Nazareth.Ukweli ni kwamba jata west wanaogopa Urusi asitangaze full scale war,maana Hali itakua mbaya sana.
Ndio maana unaona wanqmkataza Ukraine asitumie silaha zao kupiga ndani ya Urusi.
Hujiulizi ni Kwa Nini west wanampa silaha Ukraine lkn wanamkataza asipige ndani ya Urusi wakati Urusi anapiga sehemu yoyote ya Ukraine Kila akitaka?
Mbona hiyo ipo wazi kabisa mkongwe!Ndugu yangu,kumbuka unaongea na watu wazima humu.
Mafunzoni ni mafunzoni na vitani ni vitani.
Full stop.
Asha mitako yuko wapi mkuu. watu udenda unatutoka huku.Huyu hapa nilitunza kumbukumbu zake,hata Hivyo nilishampuuza maana ana miemko isiyo na muelekeo!View attachment 3091777
Ukraine utawaweza?!Nimekikumbuka hiki kichekesho, hivi Bado hawa wanajeshi wa mchongo kutoka URUSI wamezungukwa?
UKRAINE kwa propaganda za kijinga.
Haya na wale wanajeshi 3000 muliotwambia wamezungukwa huko KURSK bado na wao hawajajisalimisha?
View attachment 3091861
Wale wanajeshii laki moja waliozungukwa KHERSON nao wameshajisalimisha?
View attachment 3091856
urusi ni nomaaaaUkraine utawaweza?!