LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Luteni Kanali Joshua kamara afisa wa kati wa jeshi la USA alikuwepo pamoja na maafisa wengine wa nchi za NATO katika shambulio lililofanywa na Urusi katika chuo Cha kijeshi kilichoua walimu wa kijeshi na wanafunzi wa kijeshi 600.
Hawa wataalamu wa NATO wanauliwa mara nyingi katika mashambulizi ya namna hii,miili hurudishwa nchini kwao lakini ndugu jamaa,marafiki na wananchi hudanganywa,huambiwa wemefia mafunzoni,ama ajali ya helkopta ama maradhi ama mazoezini ama vinginevyo,kumbe vijana wa Putin hua wameshafanya Yao.

Kwa mateso haya vijana wa Putin wanayowapa NATO ingekua ni Iraq ndio inawafanyia hivyo NATO wangeshaingia mazima.

Jamani eeeh Urusi ni habari nyingine.

Coincidence? - An American officer died in Poznan, Poland, on the day the Russian Armed Forces struck a military institute in Poltava

American media outlets report the death of US Army officer Joshua Kamara in Poland. The reports claim that he died on September 3 at a US military training camp in the Polish city of Poznan. Kamara held the rank of Lieutenant Colonel.

At the same time, there are no reports in the Polish press that any tragic incidents took place in Poznan, including the training camp, on September 3. And the American sources themselves do not report under what circumstances the senior US Army officer died on Polish territory, which raises even more questions.

However, the answer to all the questions may lie on the surface. The fact is that it was on September 3, 2024, that Russian troops launched a missile attack on the military communications institute in Poltava. And earlier there were reports that it was at this institute that Ukrainian servicemen were being trained in the use of NATO-style electronic warfare systems and communications systems under the instructor supervision of Western servicemen.

Of course, it is impossible to reliably assert that the American lieutenant colonel died in Poltava, but there is still a possibility. And it is there for the simple reason that previously in the US, servicemen, including generals, have suspiciously either fatally slipped while walking in the mountains, or suddenly died from sudden heart problems, or awkwardly parachuted from a helicopter – and all this usually happened after Russian strikes on major military facilities in Ukraine. Therefore, it is quite possible that the statements about the “death in Poznan” are a legend created in order to continue not to officially acknowledge the presence of American military personnel in Ukraine.
Ni kweli hufia mafunzoni!
Vitani ni nafasi adhimu ya kupanda cheo, kujaribisha silaha, nadharia mpya, kuwasoma maadui kwa vitendo n.k
 
kp kipanya44 upo?? Ujue hawa ni wamagharibi!

Outgunned and outnumbered, Ukraine’s military is struggling with low morale and desertion​


Two and half years of Russia’s grinding offensive have decimated many Ukrainian units. Reinforcements are few and far between, leaving some soldiers exhausted and demoralized.

By Ivana Kottasová and Kostya Gak, CNN

Published 12:01 AM EDT, Sun September 8, 2024

Kweli wamagharibi wakorofi!

Ukraine Develops High-Precision Glide Bomb for Strikes on Russian Military Targets

Ukraine has developed its own high-precision glide bomb, which Forbes reports could become a “key weapon” for targeting Russian military facilities.

A prototype was recently captured on video during tests by a Ukrainian fighter jet. The bomb features a rocket booster, retractable wings, and a GPS system, with a range of up to 65 km.

If Ukraine begins mass production, it could launch strikes on Russian territory as frequently as Russia shells Ukraine with similar projectiles, the report notes.

1725885974154.jpg
 
Ndio nauliza aki declare full out war Ukraine itakua na hali gani!??
Vita iishe tu kwa kweli.
Ukweli ni kwamba hata west wanaogopa Urusi asitangaze full scale war,maana Hali itakua mbaya sana.
Ndio maana unaona wanqmkataza Ukraine asitumie silaha zao kupiga ndani ya Urusi.
Hujiulizi ni Kwa Nini west wanampa silaha Ukraine lkn wanamkataza asipige ndani ya Urusi wakati Urusi anapiga sehemu yoyote ya Ukraine Kila akitaka?
 
Kiev loses over 11,400 troops since incursion in Kursk area — Russia’s top brass


MOSCOW, September 9. /TASS/.
"Over the period of combat operations in the Kursk area, the enemy has lost over 11,400 personnel, 89 tanks, 42 infantry fighting vehicles, 74 armored personnel carriers, 635 armored combat vehicles, 371 motor vehicles, 85 artillery guns, 24 multiple launch rocket systems, including seven HIMARS rocket launchers and five MLRS, eight surface-to-air missile systems, two transporter-loader vehicles, 22 electronic warfare stations and seven counter-battery radar stations, two air-defense air defense systems, eight engineering vehicles, among them two obstacle-clearing vehicles and 1 UR-77 mine-clearing vehicle," the ministry said in a statement.
 
Urusi inaipiga Ukraine kama mzazi anavyompiga mtoto wake.
Tazama hata jinsi anavyowahudumia mateka wa Ukraine,ni tofauti na waukraine wanavyowahudumia mateka wa kiRussia
Na Hali hii ndio inayopelekea Urusi kupigana vita taratibu

Conditions in Russian hostage even better than in Ukrainian units — commander.
MOSCOW, September 9. /TASS/. The conditions of Ukrainian troops held captive by Russia are even better than in Ukrainian units, they receive food and medical care, Major General Apty Alaudinov, commander of the Akhmat special forces commando unit, told TASS.

"[Ukrainian] prisoners of war are in conditions that are actually miles better than those they used to have while being in their units. And the second thing is that we fully provide the prisoners of war with food and everything they need, and they receive full medical care. So, everything is fine with them in this respect," he said.

Earlier, Alaudinov noted that the Ukrainian armed forces allowed Russian prisoners to call their relatives only if Kiev could get political benefits from it.
 
Nimekikumbuka hiki kichekesho, hivi Bado hawa wanajeshi wa mchongo kutoka URUSI wamezungukwa?

UKRAINE kwa propaganda za kijinga.

Haya na wale wanajeshi 3000 muliotwambia wamezungukwa huko KURSK bado na wao hawajajisalimisha?
1725906112698.png


Wale wanajeshii laki moja waliozungukwa KHERSON nao wameshajisalimisha?
1725905704066.png
 
Ukweli ni kwamba jata west wanaogopa Urusi asitangaze full scale war,maana Hali itakua mbaya sana.
Ndio maana unaona wanqmkataza Ukraine asitumie silaha zao kupiga ndani ya Urusi.
Hujiulizi ni Kwa Nini west wanampa silaha Ukraine lkn wanamkataza asipige ndani ya Urusi wakati Urusi anapiga sehemu yoyote ya Ukraine Kila akitaka?
Nahisi kama Russia akitangaza full out war basi hiko kipigo kitakachotokea tutaionea huruma Ukraine na kupiga magoti tuisalie kwa Yesu kristu Nazareth.
 
Ndugu yangu,kumbuka unaongea na watu wazima humu.
Mafunzoni ni mafunzoni na vitani ni vitani.
Full stop.
Mbona hiyo ipo wazi kabisa mkongwe!
Pamoja na hela, pia kina marupurupu ya kupanda cheo askari akitoka salama vitani.
Zama zimebadilika sana, zamani solaha zilijaribiwa jangwani n.k, kwa sasa zinajaribiwa front line ili kunadiwa vyema
 
Nimekikumbuka hiki kichekesho, hivi Bado hawa wanajeshi wa mchongo kutoka URUSI wamezungukwa?

UKRAINE kwa propaganda za kijinga.

Haya na wale wanajeshi 3000 muliotwambia wamezungukwa huko KURSK bado na wao hawajajisalimisha?
View attachment 3091861

Wale wanajeshii laki moja waliozungukwa KHERSON nao wameshajisalimisha?
View attachment 3091856
Ukraine utawaweza?!
 

Attachments

  • Screenshot_20240909_214927_X.jpg
    Screenshot_20240909_214927_X.jpg
    242.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom