kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
🪖 The Armed Forces of Ukraine managed to stop the advance of the occupiers in the Pokrovsk direction, - said Syrskyi.
"Over the past six days, the enemy has not advanced a single meter in the Pokrovsk direction. In other words, our strategy is working," said the commander-in-chief in an interview with CNN
View attachment 3089498
Mtaomba Pooo wenyewe
Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .
Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.
Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.
Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida, hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.
Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Tuamini AI AU WeweNdio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .
Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.
Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.
Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida, hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.
Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
The Ukrainian Armed Forces advanced and took control of Novoselivka and Khytrivka in the Kursk region, located 8 km north of Malaya Lokna. Russians pull more reserve troops, already 65,000 Russians against 30,000 Ukrainians.Mtaomba Pooo wenyewe
Zele boy analia lia mpini umemuingia haswa safari hii,The Ukrainian Armed Forces advanced and took control of Novoselivka and Khytrivka in the Kursk region, located 8 km north of Malaya Lokna. Russians pull more reserve troops, already 65,000 Russians against 30,000 Ukrainians.View attachment 3089713
Hii tunajua nyie ndio mko nyuma mtaleta watalamu na kila kitu sasa mtatengenezea wapi maana inabidi hicho kiwanda mkijenge chini ya mto au chini ya ardhi na huko tutakiona kitakula moto.Ukraine is working to establish subterranean manufacturing facilities for weapons and ammunition, reducing its dependence on foreign military aid, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sept. 6.
Huyu yuko Bonyokwa tu hapoZele boy analia lia mpini umemuingia haswa safari hii,
Kp Kipanya 44,Uko front nawewe au upo bonyokwa ndani ndani ya kisii.
Ukrainian forces still hold about 10,100 km2 (3,900 square miles) in the Donetsk region.Naona kama Ukraine wanachelewa kuvunja hili daraja, kwani wanasubiri nini?
Urusi wala hakimbizani na muda - West wanatengeneza narrative za kijinga sana - sasa kama mtu anakwambia et ukiendelea kunitwanga kwa spidi hii unanimaliza baada ya miaka 7, hizo na akili?? Why wasiseme kwa jinsi Urusi anavyopigana hatashinda milele.Yaani wanapunguza makali ya kushindwa kwa kigezo kuwa watashindwa baadae. Urusi kapigana Chechnya miaka 10 na hapo ilikuwa vita ya ndani - mwisho wa siku kamaliza kazi. Hii vita kiuhalisia tangu moto umewaka miaka 10 sasa tangu 2014 Crimea ilipochukuliwa. Urusi wamekaa Afghanistan 10 yrs, USA kakaa Afghanistani 20 yrs na kaambulia patupu Taliban wamerudi, USA kaingia Iraq 2003 kakubali yaishe anaondoka 2026 na still hali nado tete kule.Libya tangu wameanza kutwangana 2011 mpaka leo - mwendo mdundo hakujapoa, twende Sudani pale ni mnyukano tu..ndo kwanza kama kumekucha..Ukrainian forces still hold about 10,100 km2 (3,900 square miles) in the Donetsk region.
If the Russians maintain their current speed of progress and if no Ukrainian counteroffensive interrupts this pace, then it will take about 8 years for the Russians to occupy the entire Donetsk region.View attachment 3089875
Tofautisha biashara na msaada. Umesikia kuwa huo ni msaada kama anaopewa Ukraine? Russia ananunua baadhi ya silaha au components za kutengezea silaha kutoka hayo mataifa uliyo yataja ku- replenish zile zinazotumika Kila siku vitani. Je umesikia Kuna mahali Iran ametoa silaha, mafunzo na military intelligence Kwa Russia?Kuna wajinga watakuja kukuambia Russia anapigana peke yake huku Ukraine akisaidiwa na mataifa mengi
Iranian missile transfer to Russia 'dramatic escalation' in war, US official says
"Any transfer of Iranian ballistic missiles to Russia would represent a dramatic escalation in Iran's support for Russia's war of aggression against Ukraine," National Security Council Spokesperson Sean Savett said.kyivindependent.com