Hivi wewe unajua maana ya misaada lkn ?
Kwa kifupi misaada ni kumpa mtu kitu ambacho Hana.
Hivi Kwa akilia Yako Urusi Hana hizo ballistic missiles.
Urusi ana ballistic missiles Bora kuliko hizo za Iran,
Urusi juzi kapeleka silaha Iran anasubiri USA waingie middle east watiwe adabu,Urusi hiihii ambayo imetoa tamko kua itawapa silaha maadui wa west kama vile west inavyompa Ukraine silaha,Leo Urusi ipewe misaada na Iran?
Hivi una uelewa wa kutosha wa masuala ya defence?
Hivi hua unaelewa Nini pale jeshi la USA linapokuja kufanya mazoezi ya kijeshi kati yake na jeshi mfano la Tanzania, au Kenya?
Au mazoezi ya kijeshi kati ya USA na jeshi lolote la third world country?hua unaelewa the motive behind?
Acheni kuhanganika na propaganda za akina kiev independent.
Ok haya basi tufanye sawa ili ufurahi Iran imempa Urusi msaada wa BM,Sasa unaweza kulinganisha msaada wa Iran anaompa Urusi dhidi ya msaada wa all collective west wanaompa Ukraine?
Kumbuka collective west ni nchi za NATO na zisizo za NATO ,NATO yumo mnaemwita world superpower USA, UK, France, German, Denmark, Norway, Belgium, Poland, Spain n.kkwa uchache Hawa ndio walioshikilia high tech ya Dunia,Sasa ambao sio NATO ninpamoja na Australia na hao wawili waliojiunga juzi Finland na Sweden n.k.
Sasa linganisha na Iran uone Hali halisi.