LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi amebakiza nyuklia tu silaha karibu zote ameshatumia pale Ukraine
Uzalishaji wa silaha uko Russia ni mara tatu ya uzalishaji wa silaha za NATO na Marekani, uko Russia uzalishaji ni masaa 24 siku Saba za week, Kuna silaha zinasubiri vita ya NATO na Russia, Russia kaweka stock ya kutosha, zingine ndo anafanyia majaribio uko Ukraine.
 
"Shtuka mwamba"warusi wa Jf wapo kwenye jaribio la kukuuwa,tayari wanakuchukulia kama Maiti inayotembea!.
Nimeshawawai.,wengi wao nimeshawakata vichwa ndio maana huoni Tena warusi wengi hapa kama ilivyokuwa siku za nyuma., wengi wao wameshakuwa marehemu.,natoa angalizo la mwisho kabisa kwa @ maoni huru .,nafuatilia mienendo yake kwa ukaribu sana.,aulizie kwa umakini wenzake waliishia wapi!
 
kp kipanya44 upo?? Ujue hawa ni wachambuzi wakimagharibi wanaoaminika!


1) Russian forces recently regained lost positions in Kursk Oblast amid continued Ukrainian offensive operations in the area on September 9

2) Russian forces recently advanced along the Kupyansk-Svatove line, near Siversk, near Pokrovsk, and southwest of Donetsk City.

September 9, 2024, 8:10 pm ET

 
Ni kweli kamanda,Warusi wamepungua sana miezi hii ya karibuni na hata wachache waliobaki wamekuwa waoga mno!
 
Ukraine Sasa anakalia kimabavu ardhi ya urusi.,supapawa 🏃🏃🏃🏃🏃
Wakati Russia anataka kuchukuwa mpaka Kiev. Amewaacha askali wa NATO na Ukraine wajifiye uko kursk.
 

Attachments

  • Screenshot_20240910-163935.png
    314.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240910-145224.png
    385.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240910-144359.png
    444.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240910-144549.png
    312.9 KB · Views: 2
NATO na Marekani walishaacha hizo vita zilizopitwa wakati

Wewe unda hizo siraha utakavyo, wenzako ukiwafanyia choko wanakushenyenta kwa vikwazo tu!

Sasa hivi Russia inampa taabu sana hii vita kwa sababu pia vikwazo vimeanza kumwingia na kuzibana mbavu
 
Aliyeumia sana kwa vikwazo ni nani kama unajua habari za uchumi wa dunia. Vikwazo kwa Russia havijaleta athari sana kama ambavyo mataifa ya Ulaya na Marekani wanavyoumia. Uchumi umedolola sana uko Ulaya,viwanda vingi vimekufa uko ujerumani, UK, France, Italy, USA etc. Russia anapeta tu uchumi wake umekuwa sana.

View: https://youtu.be/XSf6UdVa5WM?si=8AHlnjCGNjEe6VXx
View: https://youtu.be/ItAopi1l_e4?si=lp_qQ8ZqVuz2vqQR
 
Thibitisha
 
Putin katuangusha sana, Mimi mwnyew nilikuwa mfuasi wake mwanzoni mwa vita, ila naona kabisa NATO wapo mlangoni nayeye yupoyupo tu, sijui kakumbwa na nini huyu lofa, yani kazubaa sana mpaka watu wanaingia Kursk anashindwa kuwaangamiza
Putin Hana namna ndio maana anaomba mambo yaishe kwa Sasa
 
Kina Kipanya nyie endeleeni kuimba taarabu, huku wenzenu wanafanya kweli🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺



🚨🇷🇺🚨Kursk region.
Our troops advanced south of Korenevo.
Everything here is sad for the Ukrainian.
The meat grinder works.
17 km² liberated🚨🇷🇺🚨


Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…