Umemaliza🙌🙌🙌👍👍👍👏👏👏Kwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.
Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi
2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna
3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.
5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...
6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.
7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.
8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....
10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..
11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.
Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.
The ministry noted that over the period of combat operations in the Kursk area, the enemy has lost over 12,200 personnel, 96 tanks, 42 infantry fighting vehicles
MOSCOW, September 11. /TASS/. The Ukrainian armed forces have lost over 350 servicemen and 13 armored vehicles, including three tanks, in the borderline Kursk area over the past 24 hours, the Russian Defense Ministry reported on Wednesday.
"Over the past 24 hours, the Ukrainian army’s losses amounted to over 350 personnel and 13 armored vehicles, including three tanks, three armored personnel carriers, seven armored combat vehicles, as well as an artillery gun, two multiple rocket launch systems and 19 motor vehicles," the ministry said in a statement.
The ministry added that over the period of combat operations in the Kursk area, the enemy has lost over 12,200 personnel, 96 tanks, 42 infantry fighting vehicles, 77 armored personnel carriers, 656 armored combat vehicles, 401 motor vehicles, 90 artillery guns, 26 multiple launch rocket systems, including seven HIMARS rocket launchers and five M270 MLRS, eight surface-to-air missile systems, two transporter-loader vehicles, 22 electronic warfare stations and seven counter-battery radar stations, two air-defense radar systems, eight engineering vehicles, among them two obstacle-clearing vehicles and one UR-77 mine-clearing vehicle.
Wanachukua mji gan alaf inaingia akilini super power mpaka leo kavamiwa amezima, Jana drones kma 200 zimetanda anga la super power wa mchongoUmemwelewe Richard kweli wewe?
Au Kila mtu anaongea lwake?
Richard anasema wanajeshi wa Ukraine waliovamia mkoa wa kursk jukumu la kuwafurusha wamepewa wa Chechen.
Sio Ukraine nzima.
Huko kursk vikosi vya urusi vinavyopigana na wavamizi kimojawapo ndio hao Spertnaz Akhmat,Hawa ni kutoka Urusi mkoa wa Chechen.
Huko ndani ya Ukraine wanajeshi wengine wa Urusi wanaendelea kuchukua miji.
Wewe sasa unatudanganya, yani nchi ivamiwe nabado utuambie ni SMO, hatakama ni ushabiki punguza mkuu,Dah!
unapenda sana ligi za kishule ya sekondari.
Sasa Mimi nakuambia uvamizi wa kursk ni sehemu ya SMO.
Kwa sababu smo ndio umepelekea Ukraine kujibu kwa kuvamia kursk.
Hao wavamizi wanapigwa Kila siku na watashindwa TU.
Tatizo lenu nyinyi mnataka waondolewa Kwa siku moja Kwa wao Ukraine ni wajinga?
Unaambiwa waliondoa wanajeshi Bora kutoka ndani ya Ukraine kuja kursk kwa hiyo wanajua mbinu za kukabilaina na majeshi ya Urusi.
Unaona wanavyoiandika wenyewe?
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
11 SEP, 14:08
Ukraine’s army loses over 350 troops in Kursk area over past day — Russia’s top brass
in the Kursk area, the enemy has lost over 12,200
Sasa wewe na huyo uliesema ni mjuaji mna tofauti gani??? Mfumo wa elimu wa Tanzania unazalisha watu wa ajabu sanaHaaahaaa!! Eti UK inaweza futika na kuzamishwa. WABONGO HEBU ACHENI UJUAJI. Yaani wewe unajua kuliko Muingereza mwenyewe. Kama ingekuwa hivyo unafikiri UK angesubutu kuichokoza Russia. Kimsingi hayo mataifa makubwa ya Magharibi yameshafanya tathimini na wanajua Russia anapigika tu na wanachofanya ni hatua kwa hatua kwa kuitumia Ukraine. IPO SIKU DUNIA ITASHANGAZWA ITAKAPOSIKIA NUCLEAR PLANS ZOTE ZA RUSSIA ZIMEPIPIGWA ILI MADHARA YABAKI KWAO HUKOHUKO.
PIA KWENYE HII DUNIA MWENYE JEURI YA KUTAMBIA NUCLEAR NI MAREKANI TU MAANA NI YEYE TU AMBAYE ALIIFANYIA KAZI . WENGINE WANAWEZA KUSEMA WANA NUCLEAR LAKINI KUMBE NI TUI LA TATU LA NAZI
Tusubiri na kuonaUkraine anunue nuclear za magendo ili Urusi akianza na yeye awe na majibu.
Sawa ila kuhusu USA kumpa msaada USSR hapa umeteleza mkuu.Wachana na WW2 ambapo USSR ilipewa misaada na marekani, kwanza USSR ilipoteza wanajeshi wengi kuliko walioshindwa vita, tuongelee vita ya Leo ambapo urusi ipo peke ake, nimekuelewa sana mkuu wangu ila ngoja tuone Putin atafanya nini kuhusu uvamizi huu wa Ukraine
Kwani uliambiwa Chechen ni nchi tofauti?Chenchen Bado haiwezi kuhimili vita na Ukraine hapa tusidanganyane, yani hicho kikosi hakifikishi hata wapiganaji 50000 ndio kije kuhimili vita na nchi? Hili ni jeshi la urusi linapigana na wanaokufa Wana sare jeshi la urusi, Hapa Putin anatakiwa apige kama netanyahu kule gaza, tofauti na hapo Bado Putin katuangusha sanaa
Waturuki wana uchungu wa kupigwa na kufurumushwa kutoka Crimea na Urusi.Erdogan?I do not believe he said these words,especially given the fact that his policies and those of the West are so different.I do not believe he would like to be seen as supporting the West since he has shifted his alliance to BRICS.
Hivi Putin akiamua kila ATCMS moja inayotua Moscow,kutakua na Long range bomb 1 inayotua New York shida ingekua wapi?Jambo ambalo Russia watalifanya ni kwamba Ukraine akitumia hizo ATCMS, basi tusije kushangaa miji kama Kiev umesambaratishwa kwa mabomu yenye nguvu zaidi na kufanywa majivu.
Thubutuu..,atagombaniwa kama Mpira wa konaHivi Putin akiamua kila ATCMS moja inayotua Moscow,kutakua na Long range bomb 1 inayotua New York shida ingekua wapi?
Na wewe kama huna uwezo wa kuelewa jambo usiulize swali.Wewe sasa unatudanganya, yani nchi ivamiwe nabado utuambie ni SMO, hatakama ni ushabiki punguza mkuu,
Atagombaniwa kama mpira wa Kona na nani?Thubutuu..,atagombaniwa kama Mpira wa kona
Mkuu wala hujakosea wazo lako,kwa kifupi hatuko mbali sana na hicho unachokosema.Hivi Putin akiamua kila ATCMS moja inayotua Moscow,kutakua na Long range bomb 1 inayotua New York shida ingekua wapi?
Kumbe wewe ni mashabiki ndio maana unakalili mambo.Hofu yetu sisi mashabiki wa Urusi ni Ukraine kuendeleza vita vyake huko Kursk, sasa unaenda mwezi wa pili malengo ya Ukraine hayajafanikiwa, lakini uvamizi huu bado umweka doa au mimi ndio nattizama vibaya mkuu
Mkuu wala usimlaumu huyo mtaalamu,nadhani alisoma makala hii ya CNN.NYIE MNAPENDA SANA COMMENT ZA KUWAFURAHISHA MNAYOYAPENDA. MKIONA MTU ANATOA MAONI YANAYOBEBA UPANDE USIOUPENDA MNAKASIRIKA.
HAYA TUFANYE RUSSIA ANAZO HIZO NUCLEAR ZA KUIZAMISHA UK YOTE
Ndugu yangu kumbe swali lako kumbe lilishajibiwa .Hivi Putin akiamua kila ATCMS moja inayotua Moscow,kutakua na Long range bomb 1 inayotua New York shida ingekua wapi?