Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naongea kwa kukusisitiza.
Kwanza unajua lengo la Ukraine kuvamia Russia!??
Malengo yalikua matatu;
-Kukamata nuclear plant iliopo Kursk ili iwe kama leverage kipindi cha majadiliano.
-Kupunguza kasi ya mashambulizi ya Russia ndani ya Ukraine.
-Kulipunguza jeshi la Russia ndani ya Ukraine na kulivuta Kursk.

Je kuna kilichofanikiwa!??
Pia nimekuuliza Russia kwa kukiwekea ulinzi kinu cha Kursk na kuweka vizuizi mji wa Sumy ambao Ukraine ndio hutumia kupitisha misaada,unavyodhani wewe anamaanisha nini??
Nakuona kamanda mkuu wa Ukraine namna mlivyokuwa mkipanga huko Kiev kuvamia Russia!

Nyinyi wabongo ni watu wa hovyo na wajuaji sana
 
Dah ndugu yangu,hivi wewe na Urusi nani anajua maan ya SMO?
Wao wenyewe waniita SMO,wewe unakuja kupinga.
Hebu kuwa serious basi.
Hebu tuwaachie warusi wenyewe wanaoiona hii smo kua ni smo.
wewe mwafrika mwenzangu pamoja na ujuajibwako wote huu wa masuala ya vita,ujuaji huo wewe ama walimu wako walisomea kwa warusi wachina au wengine.
Urusi ni moja ya nchi yenye vyuo vingi sana vya kijeshi na hao hao ndio sisi tunapeleka raia wetu kwenda kusoma lkn hakuna hata Mrusi mmoja utakae mkuta kwenye vyuo vyetu hutaki acha lkn huo ndio ukweli wenyewe.
Labda kwetu chuo Cha Sanaa Bagamoyo ndio unaweza ukawakuta Warusi wanajifunza Sanaa zetu.
Kwa hiyo kama Urusi wao bado wanaoiona hii smo kua ni smo tuwaachie wao.
Story za SMO zilishaisha siku nyingi, hata Kremlin hawatumii tena hili neno.
 
Nakuona kamanda mkuu wa Ukraine namna mlivyokuwa mkipanga huko Kiev kuvamia Russia!

Nyinyi wabongo ni watu wa hovyo na wajuaji sana
Mie nimezungumza kwa mujibu wa Wazungu wenyewe,tena ngojea nikultee na ushahidi.
 
Nakuona kamanda mkuu wa Ukraine namna mlivyokuwa mkipanga huko Kiev kuvamia Russia!

Nyinyi wabongo ni watu wa hovyo na wajuaji sana
Mimi huwa naongea kuelimishana sio kubishana.
Ndio maana hunioni nikichangia kila mara humu ndani hadi niwe na ushahidi.
Aya bishana na mzungu mwenzao.
Usipotosheka sema nikuletee analysis nyingine.
Screenshot_2024-09-12-07-04-48-56_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-12-07-05-02-46_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-12-07-05-10-68_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-12-07-05-23-25_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-12-07-05-34-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-12-07-05-46-33_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Mkuu kwa komenti hii naomba nimtetee mdau uliekua unamjibu kwa hoja yake ya uwezo wa Urusi kuifuta UK katika uso wa Dunia.
Naamini hata yeye sio maneno yake,nadhani ni kutokana na kusoma kutoka makala mbalimbali ambazo zinaelezea uwezo huo wa makombora ya Urusi yawezayo kuzifuta nchi Kam UK France na mji kama Texas.
Sasa kama wao walitudangaya sisi sio kosa letu.
Tumesoma maandiko Yao.

Kama kombora moja TU la Satan 2 linaweza kuifuta ufaransa na sehemu ya jiji la Texas,je UK inahitaji kupigwa kwa makombora mangapi?
Tunahisi Urusi anayo zaidi ya 100

The Economic Times

Satan 2: Russia unveils deadly nuclear missile that can wipe out an area the size of Texas and France

The missile has been designed with stealth technology, means that it can be fired at a target without being detected by enemy radars.
By Shaurya Karanbir Gurung, ET Online
Follow us
Last Updated: Oct 26, 2016, 07:02:00 PM IST34
NEW DELHI: Russia has unveiled the first image of its beast of a nuclear missile called the RS-28 Sarmat, also known as Satan-2.

It is Russia’s new super-heavy thermonuclear-armed intercontinental ballistic missile (ICBM), which can wipe out parts of the earth the size of Texas and France, according to Russia’s Zvezda TV channel. The missile is capable of targeting major cities of the UK and other European nations. It has an estimated range of 10,000 kilometres.

The Sarmat is set to replace the RS-36, a family of ICBMs and space launch vehicles that entered service in the 1970s, according to Sputnik. The replacement will happen by 2020, according to Russia Today. The multi warhead missile is expected to carry up to 10 heavy warheads or 16 lighter ones or a combination of both. It will also have counter-measures to overpower enemy missile defences
Kwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
 
NYIE MNAPENDA SANA COMMENT ZA KUWAFURAHISHA MNAYOYAPENDA. MKIONA MTU ANATOA MAONI YANAYOBEBA UPANDE USIOUPENDA MNAKASIRIKA.

HAYA TUFANYE RUSSIA ANAZO HIZO NUCLEAR ZA KUIZAMISHA UK YOTE
Wewe kwa akili timamu unadhani mtu anaemsaidia mtu akuue au amfundishe mbinu na kumpa silaha akuue ni ndugu yako??? Hivi ile ukraine unajua ni nchi imeisha???? Imebomolewa sanaa inatumika tu kama uwanja ila uhalisia wanajeshi wanaoitwa washauri wa kijeshi toka NATO wako pale wanauwawa kila siku...

Hakuna watu waongo dunia hii kama BBC..CNN..SKY...FRANCE NEWS...DW...Media zote hizi zikisaidiana na vigazeti vyao zinatumika kusambaza uongo na propoganda mbaya kwa rushwa wanazopewa wamiliki ili waandike hivyo...

Urusi inatusaidia kuweka New World Order kama unahisi haina Nuclear kama mlivyojipa matumaini kwamba ina matui ya nazi basi tupieni bomu lipige kambi ya jeshi ndani ya Urusi kwa kutumia silaha zetu tutaona reaction yao mm nshasema bora watu wa sasa tufutwe wajinga ni wengi mnoo waje wengine wajipange...
 
Ukrainian attempt to capture Black Sea rig foiled – MOD
Russian troops repelled Kiev’s special forces and sank eight US-made Willard Sea Force boats, according to Moscow

Moscow’s forces repelled a Ukrainian attempt to seize a Russian jack-up drilling rig in the Black Sea overnight Tuesday into Wednesday, the Russian Defense Ministry reported on Wednesday.

According to the ministry, Kiev’s Main Intelligence Directorate (GUR) sent 14 American-made Willard Sea Force boats with Ukrainian Navy special ops onboard to capture the ‘Krym-2’ rig. Media reports suggest the rig is located between the Crimean peninsula and the Ukrainian city of Odessa.

In its report, the ministry stated that the Russian military and the Black Sea Fleet sank eight of the boats and killed up to 80 Ukrainian servicemen. The remaining boats managed to escape and did not even make an attempt to return for their wounded soldiers who were left in the water, Moscow claimed.

“Another ‘media operation’ of the Kiev regime in the Black Sea, timed to coincide with the arrival of high-ranking US and EU representatives in Ukraine on September 11, was downed in blood and took the lives of many dozens of Ukrainian servicemen,” the Russian Defense Ministry wrote in its daily update.

The attack comes after Kiev’s forces had previously made similar attempts to capture other Russian drilling rigs in the Black Sea in September of last year and in June 2022. The structures, including the Krym-2, belong to the company Chernomorneftegaz, which was previously part of the Ukrainian energy company Naftogaz, before being nationalized by Russia and registered as a enterprise in Crimea in 2014 when the peninsula ceded from Ukraine and became part of Russia.
Mkuu hivi kuna namna unaweza unatupatia na losses upande wa Russia kama unavyotupatia upande wa Ukraine? au wewe umejikita upande wa Ukraine tu. Au upande wa Russia huwa hawapati loses huko vitani.
 
Kwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
Ukiona mtu anahangaika na wewe jua anakuhofia.
USA na washirika wake WANAMUOGOPA SANA RUSSIA.
Ndio maana kila leo wanaunda sekeseke za kumpunguza nguvu.
Uvunjwaji wa USSR ulifadhiliwa na USA.
Na sasa vita ya Ukraine ilichochewa na hao USA na washirika wake.
Wakamuongezea na vikwazo vya kiuchumi wakitarajia uchumi ukidumaa atashindwa kuendesha vita,China akampa sapoti ya kiuchumi.
Hayo ya hilo bomu sijui ila kuhusu kuogopwa,Russia anaogopwa sana na hao jamaa.
Hata hiyo NATO iliundwa kwasababu yake Russia,licha ya Warsaw kuvunjwa ila NATO ikabaki.
Na kama upande wa nukes,Russia ndio nchi inayoongoza kuwa na silaha za nuke nyingi na zenye ufanisi.
Hata USA analijua hilo.
 
Thubutuu..,atagombaniwa kama Mpira wa kona
nikajua marekani ndiyo atakwenda kumpiga urusi kumbe mpaka waungane ndipo wamgombanie duuh basi urusi niijidude likubwa sana .. bongo bwana...ingekuwa rahusi hivyo kama unavyotamka wangeungana kitambo kumgombania lakini kwakuwa urusi siyo libya basi watulize mishono waendelee kujiandaa

Watu wanadhani Russia ni sawa na Libya! unapoizungumzia Russia katika sekta ya kijeshi na mashine nzito hana mpinzania nduyo maana vikomba vya wanawake vimundwa viitwavyo Nato kwa lengo la kumsuta Russia ila ukiwaambia piga hawezi wamekatangauliza kavulana kalikotatuliwa malinda kupima ukubwa wa mashine ya russka leo hii Ukraine ni Gaza ya Ulaya kabakwa bila kupewa maji...kamejitutumua kushika pumbu huko kursk mwenzake russia anaona raha kukunwa pumbu huku anachomeka ndani zaidi mashine donbas..matajiri wa urusi wanaanza kugawana dimbas siku si nyingi kila mmoja na ki plot chake ..huku nyie mnaleta ushabiki wa kushiba mihogo...Urusi siyo Libya waanze kumng'oa pale syria kwa asad ndipo turudi huku
 
Huko Russia ni mbali,kuna mataifa mkuu yakisema tunaingia vitani hao NATO wachumba tuu.
Sema ndio hivyo propaganda za West zimetuaminisha kuwa NATO ndio wenye nguvu duniani.
Ila kiuhalisia ukiiondoa Russia na China kuna mataifa yanaweza kusimama na mataifa ya NATO.
 
Russia ana nuklea zenye uajabu wake ikktokea umerusha nuklea russia basi nuklea za russia zinajiwasha auto na kufuata ilikitokea nuklea hata bila kuongozwa ni mfumo imara ndiyo maana wanamfunzi maalum huko mashuleni kuhusu nuklea

kumbuka hakuna nchi yoyote yenye huo mfumo wa auto...ingekuwa rahisi kuivamiq russia basi nato zamani sana wangeingia ila kama tunataka kuleta ushabiki basi usa ni bora ila uhalisia russia ni mwanaume usa ni mwanamke
 
Waturuki wana uchungu wa kupigwa na kufurumushwa kutoka Crimea na Urusi.

Walipigwa maeneo mengi ya Eastern Europe na kuondolewa na Urusi.

Hivyo kinyongo Chao Cha kale bado kipo na wanatamani wapate nafasi ya kulipa kisasi
Kumbe Warusi Wana uadui na Turkiyê
,hili sikulijua.Kwa hiyo ni kama wanavyolipiza kisasi Wakazaria kwa Urusi leo.Sijui visasi hivi mpaka lini.
 
Waturuki wana uchungu wa kupigwa na kufurumushwa kutoka Crimea na Urusi.

Walipigwa maeneo mengi ya Eastern Europe na kuondolewa na Urusi.

Hivyo kinyongo Chao Cha kale bado kipo na wanatamani wapate nafasi ya kulipa kisasi
Uturuki kama taifa au kama watu wenye asili ya Uturuki?
 
Russia ana nuklea zenye uajabu wake ikktokea umerusha nuklea russia basi nuklea za russia zinajiwasha auto na kufuata ilikitokea nuklea hata bila kuongozwa ni mfumo imara ndiyo maana wanamfunzi maalum huko mashuleni kuhusu nuklea

kumbuka hakuna nchi yoyote yenye huo mfumo wa auto...ingekuwa rahisi kuivamiq russia basi nato zamani sana wangeingia ila kama tunataka kuleta ushabiki basi usa ni bora ila uhalisia russia ni mwanaume usa ni mwanamke
Duh! Hapa Kuna Hadith za kufurahisha kweli,hasa kwa wale hawabanwi sana na majukum 🤩😍😎🏃🏃
 
russia Loses Another Supersonic Fighter Jet

Ukrainian media, citing sources in the Armed Forces of Ukraine (#AFU), report that a russian Su-30SM fighter jet went missing last night near #Sevastopol.

According to reports, the Su-30SM, along with a Su-35, had been launching Kh-31P missiles towards mainland Ukraine while flying over the sea north of Sevastopol.

Mi-8 and Ka-27 helicopters from the Black Sea Fleet airfield in Kacha were deployed for a search operation.

An oil slick approximately 3 km in diameter, along with wreckage of the aircraft, including part of the wing, was found in the search area indicated on
1726120228513.jpg
the map.
 
"Ukraine's membership in NATO is inevitable and the country is on the way to joining the alliance," - Blinken, United States Secretary of State
1726121192881.jpg
 
Kwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.

Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi

2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna

3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.

5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...

6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.

7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.

8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....

10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..

11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.

Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.
Nimejifunza kitu hapa, SMO siyo Vita
 
Back
Top Bottom