LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Acha ubishi hadi sasa NATO wanajaribu kila namna kumsogolea 🇷🇺 kama siyo Kumuhofia nini? 🇵🇱 na 🇬🇧 wanahofia Ipo siku Russia yenye nguvu itarudi kuwameza majirani zake.
NATO siokwamba wanajaribu, nikwamba tayari wameshaisogelea Russia kwani hiyo Poland, Lithuania, Latvia si wapo NATO na ni jirani na Russia? Putin kachelewa ilitakiwa awavamie hawa wanachama wa NATO waliopo jirani yake ikabla hawajajiunga li iwe onyo kwa NATO kumsogelea,
 
Nakuona kamanda mkuu wa Ukraine namna mlivyokuwa mkipanga huko Kiev kuvamia Russia!

Nyinyi wabongo ni watu wa hovyo na wajuaji sana
Jamaa ni mjuaji wapi? Hayo ndio yaliyosemwa kuwa malengo ya operation hiyo ya Ukraine Kule Kursk. Si kwasababu ni mjuaji Bali ni kwasababu imesemwa waziwazi kuhusu malengo hayo matatu ambavyo Kwa kiasi kikubwa yanaonekana kufeli vibaya.
 
Huko Russia ni mbali,kuna mataifa mkuu yakisema tunaingia vitani hao NATO wachumba tuu.
Sema ndio hivyo propaganda za West zimetuaminisha kuwa NATO ndio wenye nguvu duniani.
Ila kiuhalisia ukiiondoa Russia na China kuna mataifa yanaweza kusimama na mataifa ya NATO.
Naomba kuyataja hayo mataifa Vietnam na Afghanistan
 
1726134154900.png
 
Ukiona mtu anahangaika na wewe jua anakuhofia.
USA na washirika wake WANAMUOGOPA SANA RUSSIA.
Ndio maana kila leo wanaunda sekeseke za kumpunguza nguvu.
Uvunjwaji wa USSR ulifadhiliwa na USA.
Na sasa vita ya Ukraine ilichochewa na hao USA na washirika wake.
Wakamuongezea na vikwazo vya kiuchumi wakitarajia uchumi ukidumaa atashindwa kuendesha vita,China akampa sapoti ya kiuchumi.
Hayo ya hilo bomu sijui ila kuhusu kuogopwa,Russia anaogopwa sana na hao jamaa.
Hata hiyo NATO iliundwa kwasababu yake Russia,licha ya Warsaw kuvunjwa ila NATO ikabaki.
Na kama upande wa nukes,Russia ndio nchi inayoongoza kuwa na silaha za nuke nyingi na zenye ufanisi.
Hata USA analijua hilo.
Eti zenye ufanisi. Tueleze huo ufanisi wa nuclear za mrusi uliuona wapi. Acheni porojo nyie
 
Nauliza hizi air defense hazifanyi kazi?? Je, wakianza kutumia makombora ya Iran?? Kumbe ndiyo maana wanayaogopa coz wanajua ulinzi hamna!

Russian drones pound power system in Sumy region town, 14 people hurt, Ukraine says​


KYIV, Sept 12 (Reuters) - Russian drones inflicted significant damage to the northern Ukrainian town of Konotop's energy infrastructure in an overnight attack that injured at least 14 people and cut electricity to the settlement, local officials said on Thursday.

By Reuters.

September 12, 202411:02 AM GMT+3

 
Story za SMO zilishaisha siku nyingi, hata Kremlin hawatumii tena hili neno.
Nyie Pro zelensky wabishi sana.
Sasa hapa nakupa makala Tatu zilizoandikwa na TASS wakitumia neno MILITARY OPERATION IN UKRAINE
Sasa wewe na Tass nani ana taarifa sahihi kuhusu mgogoro huu.
Anza na hiyo ya leoleo.


MILITARY OPERATION IN UKRAINE
12 SEP, 12:38
Ukrainian troops execute comrades attempting to surrender in Kursk — army

KURSK, September 12. /TASS/. Ukrainian troops have killed hundreds of their fellow soldiers who tried to surrender to Russian troops since the beginning of fighting in the Kursk Region, Major General Apty Alaudinov said.


MILITARY OPERATION IN UKRAINE
12 SEP, 14:27
Russia pushing Ukrainian troops out of Kursk Region, will undoubtedly succeed — Lavrov
The foreign minister pointed out that "it is the West that supplies Ukraine with offensive weapons that are used in terrorist attacks"
MOSCOW, September 12. /TASS/. Russia's army is steadily pushing Ukrainian forces out of the Kursk Region, and will undoubtedly succeed in completing this task, Foreign Minister Sergey Lavrov said at a roundtable meeting with ambassadors on the Ukrainian issue.

The top Russian diplomat pointed to the fact that NATO member states are talking about this also, behind closed doors.


MILITARY OPERATION IN UKRAINE
12 SEP, 07:27
Kiev lost some 7,000 troops in Sudzha district of Kursk Region — commander
According to Apty Alaudinov, Ukraine is taking heavy casualties
Head of the Akhmat Special Force Major General Apty Alaudinov

Head of the Akhmat Special Force Major General Apty Alaudinov

KURSK, September 12. /TASS/. Since the start of the incursion into the Kursk Region on August 6. the armed forces of Ukraine lost at least 7,000 troops in the Sudzha district alone, Major General Apty Alaudinov, head of the Akhmat special forces commando unit, has told TASS.

"Since the start of this operation in Kursk, the adversary is estimated to have lost around 7,000 troops in our zone of responsibility [Sudzha district] alone," he said.
 
Mkuu umesoma alicho kisema zele au ndio ili mradi tu.
Nimefungua link yote nimesoma , Russia Kwa kuona kipondo anachotembezewa kinazidi kuwa kikali ,Sasa anajaribu kuwatumia marafik zake wachache kama Brazil na china Ili wamsaidie kumshawishi zelensiky wakae mezani wayamalize., bahati mbaya zelensiky anazidi tu kumfungia vioo Tena vya tinted!
 
Kwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
DUH....POLE NDUGU YANGU KWA ANDIKO LAKO HILI....INAELEKEA HUELEWI MAMBO MENGI. NI MAONI YANGU BINAFSI
 
Uturuki kama taifa au kama watu wenye asili ya Uturuki?
Uturuki kama Taifa maana moyo wa utawala wa Kiotoman au Athuman empire ulikuwa Uturuki.

Athuman empire na Urusi walipigana vita 12 na zote Athuman(Ottoman)empire alishindwa.

Ulisema kama asili maana yake ndani ya shirikisho la Urusi pia wapo.

Jumlisha Wamongoli na Wazungu.
 
Back
Top Bottom