Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NYIE MNAPENDA SANA COMMENT ZA KUWAFURAHISHA MNAYOYAPENDA. MKIONA MTU ANATOA MAONI YANAYOBEBA UPANDE USIOUPENDA MNAKASIRIKA.

HAYA TUFANYE RUSSIA ANAZO HIZO NUCLEAR ZA KUIZAMISHA UK YOTE

Hamna mkuu sio hivyo unavyofikiria mi niliona kuwa ulianza vizuri tu kukosoa watu wanaotoa taarifa zinazoonekana za kishabiki kwa kusema Watz tunaujuaji mwingi

Tatizo likaja tena kwako wewe,wewe pia ukarudia kilekile ulicho kikosoa na wewe ukawa shabiki vilevile
 
Mkuu umesoma alicho kisema zele au ndio ili mradi tu.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy criticized the "peace plan" proposed by China and Brazil to end the war in Ukraine.

According to Zelenskyy, he expected his Brazilian counterpart to show an understanding of the situation rather than seeking mere political reconciliation.

"What does it mean to 'just sit and talk'? He [Russian dictator Vladimir Putin] is a murderer. I need to be strong to sit down and discuss anything. He must take steps to show he wants to end the war. You can’t just say: 'We must take steps toward each other.' He invaded, killed people, seized territories, and now Lula says: 'Let them talk.' I could easily talk to Lula because he's not my enemy. Brazil and Ukraine have perfectly normal relations," Zelenskyy explained.

Zelenskyy also labeled the Chinese-Brazilian proposal for resolving the war in Ukraine as a "destructive political statement" made without consulting Kyiv.

1726145427926.jpg
1726145427926.jpg
 
RUSSIANS LOSE IN KURSK AGAIN- The Russians are fighting the Armed Forces of Ukraine in the Sergiyivka district of the Glushkovsky district. Furthermore, the orcs reported the loss of Elizavetivka today. Yesterday a photo with the geolocation of the Armed Forces soldiers in Kulbakino. According to these data, the advance in the Armed Forces is quite significant in Kursk.
1726149604329.jpg
 

Attachments

  • 1726149604329.jpg
    1726149604329.jpg
    508.6 KB · Views: 22
Kwahyo ulichoandika wewe hapa unaona ni point sio? Unadhani Mimi sifahamu kuwa headquarter ya USSR ilikuwa Moscow? Hiyo haiondoi ukweli kuwa nchi zingine pia zilichangia nguvu yao kwenye huo muungano, huwezi kuingelea USSR bila kuzitaja nchi zote zilizounda umoja huo, naona mahaba yamezidi sana kwa Russia,

?
Kuna jambo hapa unashindwa kuelewa.
Halafu headquarters ama capital city ilikua Kyiv sio Moscow.
Katika huo muungano wa USSR 90% ya nguvu ilikua ikitoka Russia.
Mataifa mengine yalikua majimbo tu.
Na nguvu ya Russia ndio iliyokua ikiogopwa.
Hata Chechen walipotaka kujitenga walikinzana na muhimili Russia ambaye ndio mama wa Soviet.
Kataa usikatae Russia ndio ilikua supremacy ya USSR kama unabisha tuanze kuleta ramani,idadi ya kikosi na mchango wa Russia kiuchumi ndani ya USSR.
Vinchi vidogo kama Kazakhstan, Georgia, Afghanistan vilikua vina mchango mdogo sana.
Narudia tena nguvu ya Russia ndio ilikua inaogopwa hapo SOVIET Union.
 
Uturuki kama Taifa maana moyo wa utawala wa Kiotoman au Athuman empire ulikuwa Uturuki.

Athuman empire na Urusi walipigana vita 12 na zote Athuman(Ottoman)empire alishindwa.

Ulisema kama asili maana yake ndani ya shirikisho la Urusi pia wapo.

Jumlisha Wamongoli na Wazungu.
Anhaa kumbe kipindi cha himaya ya Ottoman!?
Nikajua kipindi Turkiye imeshakuwa nchi kama nchi ya Turkiye.
 
Anhaa kumbe kipindi cha himaya ya Ottoman!?
Nikajua kipindi Turkiye imeshakuwa nchi kama nchi ya Turkiye.
Nchi ya Turkiye imetokea baada ya kuanguka kwa Himaya ya Athuman(Ottoman Empire) kwenye kufanya reformation ndio mtu aitwaye Mustafa Kemal Attaturk akamobilise Republic na kufuta ufalme.

Hii haiondoi ukweli kuwa kichapo kilichoanzia East kwa wazee wa kazi Wasoviet walimtwanga pale Crimea, Hungary na maeneo mengineyo.
Akaja kumalizia kwenye vita ya pili ya Dunia kama sijakosea, na Urusi kuwa baba wa all Slavic nation na protector.

Hii chuki ya kubanwa mbavu na kupunguzwa nguvu itaendelea kuwapa hasira Turkey na chance kama hizi ndio payback huanza kufanya kazi.
 
Nchi ya Turkiye imetokea baada ya kuanguka kwa Himaya ya Athuman(Ottoman Empire) kwenye kufanya reformation ndio mtu aitwaye Mustafa Kemal Attaturk akamobilise Republic na kufuta ufalme.

Hii haiondoi ukweli kuwa kichapo kilichoanzia East kwa wazee wa kazi Wasoviet walimtwanga pale Crimea, Hungary na maeneo mengineyo.
Akaja kumalizia kwenye vita ya pili ya Dunia kama sijakosea, na Urusi kuwa baba wa all Slavic nation na protector.

Hii chuki ya kubanwa mbavu na kupunguzwa nguvu itaendelea kuwapa hasira Turkey na chance kama hizi ndio payback huanza kufanya kazi.
Basi ndio maana Turkey alimbana mbavu Russia kule Armenia.
Ila kipindi kile Uturuki ilikua bado kwa nguvu za kijeshi Russia ilikua GIANT aisee tuache utani.
Pia hata Syria kuna muda wanabanana mbavu.
Maana kule Armenia Nagorno-karabakh Pashinyan aliomba usaidizi wa kijeshi wa Russia dhidi ya Azerbaijan.
Na Azerbaijan inalelewa na Uturuki.
Askari wengi wa Russia waliuawa Karabakh.
 
Zelensky kupitia ukurasa wake wa jukwaa la X amesema, meli hiyo ilishambuliwa muda mfupi baada ya kuondoka katika eneo la bahari la Ukraine.

Katika hatua nyingine Urusi imedai kuwa imeikomboa sehemu kubwa ya Mkoa wake wa Kursk. Hayo ni kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Rais Zelenky wa Ukraine awali alikiri kuwa wanajeshi wa Moscow waliongeza kasi ya mashambulizi ya kulipa kisasi.
 
Wamagharibi hao! kp kipanya44 upo??

Moscow claims it has recaptured 10 settlements in Kursk region​


Russia said Thursday its army had recaptured 10 settlements in its Kursk border region, where Ukraine last month launched a major incursion, seizing dozens of settlements.

Wakati huohuo maneno ya kujifariji yanaendelea!

Ukrainian President Volodymyr Zelensky conceded Russia had launched its own counterattack in the region but insisted that the shock Ukrainian assault was still going to plan.

Issued on: 12/09/2024 - 09:31 -Modified: 12/09/2024 - 15:13

 
Wakuu mnahabari kamili ya hiki kiumbe maana nimeona kama inamsisimko Fulani hivi huko nilipo hiona Kwa mara kwanza?

Nahumu Kuna habari nyingi sana za vita zinazohusisha Russia,Uingereza na Marekani na haya mataifa yote Yana husika katika stori ya huyu mwamba.
Screenshot_20240912-152139_1.jpg
Screenshot_20240912-152213_1.jpg
 
President's Response on the Potential Use of NATO Long-Range Weapons Against Russia

"This would mean that NATO countries, the United States, and European nations are at war with Russia. And if that is the case, considering the fundamental shift in the nature of this conflict, we will make the appropriate decisions based on the threats posed to us," stated Vladimir Putin.
 
kwa mujibu wa PRO UKRAINE:

The Russian army has captured Krasnooktyabrskoye, Komarovka and Snagosta in the Kursk region, confirms Bild military analyst Julian Repke.

"The real situation could be much worse than on my map ," he notes.

In Snagost, Russians took Ukrainian soldiers prisoner, writes Repke.

"Propaganda aside, if one of the goals of the Kursk operation was to 'replenish the national exchange fund,' today is a good day to reconsider this operation," the analyst said.

He believes that the Ukrainian Armed Forces were aiming to capture Korenevo here, which was " an important part of Ukraine's strategy in this area - which already failed in mid-August."
 
Mkuu kwa komenti hii naomba nimtetee mdau uliekua unamjibu kwa hoja yake ya uwezo wa Urusi kuifuta UK katika uso wa Dunia.
Naamini hata yeye sio maneno yake,nadhani ni kutokana na kusoma kutoka makala mbalimbali ambazo zinaelezea uwezo huo wa makombora ya Urusi yawezayo kuzifuta nchi Kam UK France na mji kama Texas.
Sasa kama wao walitudangaya sisi sio kosa letu.
Tumesoma maandiko Yao.

Kama kombora moja TU la Satan 2 linaweza kuifuta ufaransa na sehemu ya jiji la Texas,je UK inahitaji kupigwa kwa makombora mangapi?
Tunahisi Urusi anayo zaidi ya 100


The Economic Times

Satan 2: Russia unveils deadly nuclear missile that can wipe out an area the size of Texas and France


The missile has been designed with stealth technology, means that it can be fired at a target without being detected by enemy radars.
By Shaurya Karanbir Gurung, ET Online
Follow us
Last Updated: Oct 26, 2016, 07:02:00 PM IST34
NEW DELHI: Russia has unveiled the first image of its beast of a nuclear missile called the RS-28 Sarmat, also known as Satan-2.

It is Russia’s new super-heavy thermonuclear-armed intercontinental ballistic missile (ICBM), which can wipe out parts of the earth the size of Texas and France, according to Russia’s Zvezda TV channel. The missile is capable of targeting major cities of the UK and other European nations. It has an estimated range of 10,000 kilometres.

The Sarmat is set to replace the RS-36, a family of ICBMs and space launch vehicles that entered service in the 1970s, according to Sputnik. The replacement will happen by 2020, according to Russia Today. The multi warhead missile is expected to carry up to 10 heavy warheads or 16 lighter ones or a combination of both. It will also have counter-measures to overpower enemy missile defences
Nimeona taarifa za mtu anayesemekana ni Jasusi wa Kirusi alikuwa anakipiga pale arsenal miaka ya ya 2012 hivi;Andrey Arshavin

Kumbe alikuwa anaipeleleza serikali ya Uingereza,dah! na mzee Wenger Naye wanamuangalia kama alikuwa hajui kitu kuhusu huyo mwamba ama lah!

Ila Kwa mujibu wa niliposoma wanasema details zilivuja kuanzia Marekani kuhusu uwepo wa Jasusi huyo hapo Uingereza

Inaonekana Warusi walitoka kufanya project zao juzi juzi tu hapo.

Story inasimumua na kufundisha kitu Fulani hivi
 
Lavrov -
Kiev was allowed to use long-range weapons against Russia long ago:

We have no doubt that the decision to lift restrictions on the use of long-range weapons to attack the territory of the Russian Federation was taken long ago, and now they are trying to make it look prettier and more respectable in the public space. We understand perfectly well that the West has called this war against Russia an existential war. The goal is to inflict a strategic defeat on us, but once again, I would like to remind you that other great figures in the history of international relations, including Napoleon and Hitler, had the same goals, and it is not for nothing that many foreign politicians who remain reasonable periodically remind their more zealous colleagues that it is disastrous for them to forget these lessons of history.
 
Back
Top Bottom