D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kipanya, kushambulia ooohhhhh!!!
kulinda aaahhhhhh!!!
😂😂😂😂😂 ebu acha kuchekesha watu.vipi KurksHuoni urusi wanaangaika kumpigia magoti zelensiky wakae mezani wayamalize huku zelensiky akiwafungia vioo?View attachment 3094272
Wameingia kwenye mtego wanapigwa kama ngoma
RUSSIANS LOSE IN KURSK AGAIN- The Russians are fighting the Armed Forces of Ukraine in the Sergiyivka district of the Glushkovsky district. Furthermore, the orcs reported the loss of Elizavetivka today. Yesterday a photo with the geolocation of the Armed Forces soldiers in Kulbakino. According to these data, the advance in the Armed Forces is quite significant in Kursk.Wamagharibi hao! kp kipanya44 upo??
Moscow claims it has recaptured 10 settlements in Kursk region
Russia said Thursday its army had recaptured 10 settlements in its Kursk border region, where Ukraine last month launched a major incursion, seizing dozens of settlements.
Wakati huohuo maneno ya kujifariji yanaendelea!
Ukrainian President Volodymyr Zelensky conceded Russia had launched its own counterattack in the region but insisted that the shock Ukrainian assault was still going to plan.
Issued on: 12/09/2024 - 09:31 -Modified: 12/09/2024 - 15:13
![]()
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Nimemnukuu sehemu moja muhimu"Ukraine tayari anashambulia ndani ya Russia kwa kutumia drones na silaha nyingine nyepesi,ila kama wakiamua kutumia highl precisions western made hawawezi,hivyo satellite za wamagharibi na Marekani zitahusika hadi man power itahusika,na huko ni kujihusisha moja kwa moja kwa wamagharibi na Marekani katika vita,na sisi tutajibu kulingana na vitisho vitavyokuja".President's Response on the Potential Use of NATO Long-Range Weapons Against Russia
"This would mean that NATO countries, the United States, and European nations are at war with Russia. And if that is the case, considering the fundamental shift in the nature of this conflict, we will make the appropriate decisions based on the threats posed to us," stated Vladimir Putin.
View attachment 3094422
Ngoja tuone itakuaje make dubu anaelekea kufungua makucha yakeNimemnukuu sehemu moja muhimu"Ukraine tayari anashambulia ndani ya Russia kwa kutumia drones na silaha nyingine nyepesi,ila kama wakiamua kutumia highl precisions western made hawawezi,hivyo satellite za wamagharibi na Marekani zitahusika hadi man power itahusika,na huko ni kujihusisha moja kwa moja kwa wamagharibi na Marekani katika vita,na sisi tutajibu kulingana na vitisho vitavyokuja".
Hii inamaanisha ili hayo yafanyike basi NATO wahusike directly.
Ngoja tununue popcorn na coke tuone yajayo.
Hawa Ukraine imefikia hatua nawaonea huruma.
Armenia alijichanganya tangu alipoingia waziri mkuu Pashinyan.Basi ndio maana Turkey alimbana mbavu Russia kule Armenia.
Ila kipindi kile Uturuki ilikua bado kwa nguvu za kijeshi Russia ilikua GIANT aisee tuache utani.
Pia hata Syria kuna muda wanabanana mbavu.
Maana kule Armenia Nagorno-karabakh Pashinyan aliomba usaidizi wa kijeshi wa Russia dhidi ya Azerbaijan.
Na Azerbaijan inalelewa na Uturuki.
Askari wengi wa Russia waliuawa Karabakh.
Mkuu Nikol Pashinyan aliingia 2018 baada ya kufanya maandamano ya kumtoa madarakani Serzh Sergsyan.Armenia alijichanganya tangu alipoingia waziri mkuu Pashinyan.
Pashinyan ni pro west na aliingia madarakani kwa mtindo wa maandamano na kuiponda Urusi.
Alijitenga na Urusi na kuongeza ukaribu na NATO Nations mpaka kushiriki baadhi ya vita na mazoezi.
Afghanistan
edit
In February 2010, Armenia deployed approximately 130 soldiers in Afghanistan, as part of the NATO-led International Security Assistance Force (ISAF). They served under German command protecting an airport in Kunduz.[8][9]
Iraq
edit
After the end of the invasion of Iraq, Armenia deployed a unit of 46 peacekeepers under Polish command. Armenian peacekeepers were based in Al-Kut, 100 km (62 mi) from the capital of Baghdad.[10]
Kosovo
edit
Since 2004, Armenia has been an active contributor to the NATO-led operation in Kosovo and currently deploys approximately 70 peacekeepers as part of NATO's Kosovo Force.[3]
Pashinyan alipolianzisha kwa Arzebaijan alitegemea msaada Toka Western world walipomkacha, ndio akataka kujisogeza Urusi kisa wao ni member wa CSTO.
Urusi ikaamua kubaki neutral, ndio Armenia ikaanza kubanguliwa kwa msaada wa Uturuki.
Kwa nini Arzebaijan aliachwa afanye atakavyo?
Arzebaijan ipo ndani ya sphere of influence ya Urusi na wana biashara nyingi kati Yao.
Armenia kwa Sasa yupo kwenye crossroad hajui ashike upande gani? Ila hakuna mvutano kati ya Urusi na Uturuki kwenye eneo hili.
Ila upo mgogoro na uadui wa muda mrefu kati ya Waturuki na Armenia.
Kwa kweli mimi nimeelewa zaidi kumbe ili ufyatue lile dude lazima upate coordinates za Satelites ambazo zinakuguide maanake kumbe sio kama kurusha embe au jiwe ukampiga mtu.Nimemnukuu sehemu moja muhimu"Ukraine tayari anashambulia ndani ya Russia kwa kutumia drones na silaha nyingine nyepesi,ila kama wakiamua kutumia highl precisions western made hawawezi,hivyo satellite za wamagharibi na Marekani zitahusika hadi man power itahusika,na huko ni kujihusisha moja kwa moja kwa wamagharibi na Marekani katika vita,na sisi tutajibu kulingana na vitisho vitavyokuja".
Hii inamaanisha ili hayo yafanyike basi NATO wahusike directly.
Ngoja tununue popcorn na coke tuone yajayo.
Atumie nuclear kwani Urusi imeishiwa wanajeshi, nuclear ni chaguo lamwisho baada ya mipango yote kufeliKwa kweli mimi nimeelewa zaidi kumbe ili ufyatue lile dude lazima upate coordinates za Satelites ambazo zinakuguide maanake kumbe sio kama kurusha embe au jiwe ukampiga mtu.
Ili ufanye hivyo lazima watoe codes na utalaam wa kuzitumia na hao watalam ni wao NATO.
Kwa maana nyingine moja kwa Moja Urusi itatangaza vita na Nato hapo sasa Nuclear itabidi zitumike hamna namna.
Pole kizazi hiki kifutwe tujipange upyaaa wajinga ni wengi sana..
Atazifikiaje hizo satellite. Ni vema mkajua umbali uliopo huko juu zilipo satellite. Labda afanikiwe kuharibu vituo vinavyoendesha hizo satelliteNimemwelewa Putin kwamba, satellite za NATO zitakuwa halali ya Urusi.
Ninaamini sio muda mrefu Russia atashangazwa na hatakuwa na nafasi ya kutumia Nuclear zake.Atumie nuclear kwani Urusi imeishiwa wanajeshi, nuclear ni chaguo lamwisho baada ya mipango yote kufeli
Hujamuelewa!Nimemwelewa Putin kwamba, satellite za NATO zitakuwa halali ya Urusi.