Yani we jamaa ndio huwa sikuelewi kabisa unachoandika make huwa unajichanganya kwenye maandiko Yako, yani mara useme Urusi inapigana na NATO, mara NATO Bado haijatangaza vita na Urusi, mara NATO inapigana vita na Urusi kwa kivuli/kinyonge, sasa sijui point Yako ni ipi hasa, mimi nimefuatilia vita hii toka ilipoanza hakuna popote unapoweza kunidanganya, nivile tu huwa naheshimu mawazo ya kila mtu humu, ila wewe una ushabiki uliopindukia, hakuna vita ya urusi na NATO hapo na siku ikitokea wewe mwenyewe utaona utofauti na vita inayopiganwa sasa, siungi mkono vita hivi, kiukweli Ukraine inaonekana kuelemewa lakini sio kwa mahaba haya yako.
Sujichanganyi hata kidogo inataka uelewa wa Hali ya juu sana ya siasa za kimataifa.
Ntajitahidi kukuelewesha TU na utanielewa.
Ila majibu yangu Yako wazi kabisa isipokua pengine ni uelewa wako TU wa siasa za Dunia ndio yanakupiga chenga.
Ila kama huoni Hali halisi basi una tatizo mahali.
Iko hivi,Ukraine wanapigana na Urusi Kwa kushirikiana na NATO bega kwa bega.
NATO wanaipa Ukraine Kila aina ya misaada ya Hali na Mali ili kuishinda Urusi.
Yaani katika wanajeshi wa Ukraine Kuna wanajeshi kamili wa NATO wala sio mamluki au askari wa kukodiwa bali ni wanajeshi rasmi wa NATO wanapigana kwa kubeba bunduki,kuendesha mitambo,kutafuta taarifa kuchakata habarima kuwapa jeshi la Ukraine,kutoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine ndani na nje ya Ukraine,kuonesha sehemu za kupiga na hatimae kupiga malengo.
Sehemu kubwa ya mambo haya Ukraine Hana utaalamu Bali anapewa na NATO.
NATO wanatamani sana waingie kwa uwazi kama walivyofanya kwa nchi nyingine lakini wanaogopa kuingia waziwazi kwa sababu wanajua uwezo wa Urusi kujibu mapigo sio sawa na nchi walizojiinhiza mfano Libya,Iraq, Yugoslavia na Afghanistan .
Tumeshuhudia wanajeshi wa NATO kamili,naposema kamili simaanishi wale mercenaries wanaotoka nchi nyingine kuja kupigana Kwa malipo hapana,namaanisha wanajeshi kamili wa NATO wameuawa vitani,mfano kutoka USA,UK,France, German, Poland,Canada ,Sweden,Finland n.k.
Tumeshuhudia wengi wa wanajeshi wa NATO wamefukiwa kwenye mahandaki baada ya kulipuliwa na Islander missile za Urusi.
NATO Kam NATO wamekua wakikaa vikao kujadili kuishinda Urusi.
NATO wametoa matamko ya kuishinda urusi.na mambo mengi tu tumeshuhudia.
Shida ni moja watu pamoja na wewe wanataka waone NATO wameingia waziwazi kupigana na Urusi lakini hicho ndicho NATO wanaogopa kukifanya wanaona ni Bora wapigane nyuma ya ukraine kwa ujanja kwamba Wanamsaidia .
Hii makala hapa chini inaweza kukuonesha ushiriki kamili w NATO.
NATO wanakuambia wako tayari kupigana na Urusi Kwa miaka hat kumi na wamewataka ulaya wawe tayari kwa Hali hiyo.
Europe must brace for decade of Ukraine war - Nato chief
BBC
18 July 2024
Europe must be prepared for a decade of Ukranian war, the outgoing secretary general of Nato has warned.
Speaking to the BBC, Jens Stoltenberg said the "paradox" of the war in Ukraine is the longer the western military alliance commits to fighting the war, the faster a resolution will be reached.
Asked if Nato allies had to be prepared for the conflict in Ukraine going on for more than 10 years, Mr Stoltenberg said: "Yes."
He added: "But the main message is that the stronger the support for Ukraine and the longer we are willing to commit, the sooner this war can end.
"When we communicate very clearly that we are here for long haul, that we have strong enduring support for Ukraine, then we have the conditions for a solution where Ukraine prevails as a sovereign independent state."
It comes as Nato announced a command unit to coordinate support for Ukraine will be operational in Germany from September.
"This will provide more predictability and accountability and support and it will also demonstrate our enduring commitment to support Ukraine," Mr Stoltenberg said.
"The time to stand up for freedom and democracy is now and the place is Ukraine."